Kuna desturi ya hawa wahisani wanapotupatia pesa zao za misaada au mikopo yenye mashariti nafuu hutupangia pia na matumizi yake na kututaka tutii baadhi ya mashariti yao.
Je, wakija taka kutupatia pesa kwa mashariti ya kuruhusu mapenzi ya jinsia moja tutazipokea?
Nawasilisha kwa unyenyekevu...
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan
Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda
Rais Museveni...
Na Tom Wanjala
Mwezi Juni mwaka huu, maelfu ya wahitimu kutoka vyuo vikuu nchini China walifuzu na shahada mbalimbali. Miongoni mwao, walikuwa wanafunzi kutoka bara la Afrika. Wahitimu hawa walijumuika na wenzao wa China, wakiwa wamevalia majoho rasmi, tayari kupokea vyeti vya kuashiria kuwa...
Taswe.or.tz, vegrab.co.tz na wadau wengine muhimu tulipitisha mradi wa kuwawezesha wawekezaji katika mradi wa pilipili kichaa kwa 50%. Unachotakiwa ni kuchangia 4.2M/Acre kisha utaweza kupata huduma zifuatazo:
1. Shamba kwa muda wa miaka mitatu
2. Kufyeka shamba
3. Kung'oa visiki
4. Kulima...
Habari za muda huu wana jamvi?
Mimi ni kijana wa kitanzania (Me) nina umri wa miaka 26, nimedahiliwa kusoma Bachelor of Science in Nursing katika chuo kikuu cha dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo 2021/2022 as equivalent applicant (najiendeleza kutoka Diploma).
Shida yangu ni kupata ufadhili wa...
Habari ya jumatatu wandugu.
Hii nafasi ni kwa watoto wasiokua na wazazi/yatima na waliokua kwenye mazingira magumu
Unatakiwa kufika na mtoto tarehe tajwa saa moja na nusu asubuhi - Zingatia muda
Tusambaze ujumbe huu tukaguse maisha ya watoto wetu
Na Mungu atubariki🙏
Je hii speed yakutangaza mapambano dhidi ya corona inaendana na uhalisia? Wizara makatazo yake hayapo specifiki kulingana na tatizo lilivyosambaa bali wapo general.
Unasema tusikusanyike bila kusema wapi, unasema watu wasiingie mahabusu bila vipimo bila kutuambia lini mmepeleka wataalam wa...
Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.
Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe...
KWANINI FURSA YA UFADHILI WAKIMASOMO NJE YA NCHI NI KWA NGAZI ZA JUU TU ZA ELIMU?
UTANGULIZI.
Katika nchi yetu ya Tanzania na afrika kuna wimbi kubwa la wasomi ambao wanawaza kwenda nje ya nchi kwa mgongo wa scholarship zinazotolewa na nchi za marekani,ulaya na asia.Katika namna yakutafuta...
Amani iwe nanyi Wakuu,
Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo mengine mabaya yanayofanana na hayo imekuwa ndio sehemu ya walio wengi. Imekuwa ngumu zaidi kupeana...
Wakubwa shikamoni wadogo wenzangu habari zenu mimi ni mwanafunzi wa uguuzi na ukunga katika ngazi ya diploma.
Niliamua kusitisha masomo kutokana na kukosa ada ambayo nilijichanga kama kijana lakini kutokana na changamoto nimeshindwa kumalizia mwaka wa tatu naomba kama kuna mtu yoyote ana...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kimasomo kwa atakayeguswa ama anaefaham mashirika yanayotoa misaada ya kimasomo kwa ngazi ya cheti.
Natamani sana kuendelea na masomo ila hali ya kimaisha ndo changamoto kwangu nilifaulu kwenda form five nikasoma mpaka form six ila sikufanya mitihani yangu.
Kwa...
Habari wanaJF,
Samahani naombeni Mnisaide hivi Mtu anapataje sponsorship kwa mfano ya kusoma Canada, ni kwamba unaomba?
Naombeni tu kufahamu juu ya hilo.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.