Utangulizi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha Zanzibar. Kuanzishwa kwa chama hiki kumekuwa na athari nyingi katika nyanja tofauti za maisha ya wananchi...
Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa..
Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari.
Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa zimekatwa mpaka chini hivyo kupelekea kuchimbika baada ya mechi ya Simba SC dhidi ya Azam FC.
Hata hivyo...
Sheria ya kazi inampa haki mfanyakazi kwenda likizo ya siku 28 kila baada ya miezi 12 ya kazi. Na endapo mfanyakazi ataachishwa kazi akiwa na likizo ambayo hakwenda kwa sababa maombi ya likizo yake hayakuwa approved na mwajiri anatakiwa alipwe mshahara wake wa mwezi kwa kila likizo ambayo...
Habari wakuu
Kama title inavyojieleza naomba kufahamu hivi page ipo chini ya taasisi ya serikali au ipo chini ya mtu binafsi.
Ni kwasababu mara nyingi nimeona caption zake zinaanza na neno " nime... " Nimefanya hivi n.k
Lakini kuna vingine pia ni kama havihusiani na page au viko kibinafsi...
TBL naomba Ufafanuzi wa hizi bia mbili hapo kwenye picha
Moja imejaa mpaka juu na nyingine haijajaaa
Na hata Lebo na vizibo ni tofauti
Swali ni je kuna fake na original Kati ya hizi bia?
TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI
Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify
Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400...
Rais AMEMTEUA Jaji mstaafu Awadh Mohammed bawazir kuwa mwenyekiti wa mamlaka ya rufani ya zabuni za umma (PPAA) AKICHUKUA nafasi ya Jaji MSTAAFU SAUDA MJASIRI Ambaye AMESTAAFU
Habari wana jamii,kuna jambo naomba muongozo kidogo wa kisheria kwa mwenye ufahamu nalo.Tuna mali tumerithi toka kwa baba yetu na tuko watatu lakini kwa bahati mbaya mwenzetu mmoja amefariki na kuacha watoto wawili ambao ni wakubwa (above 18).
Baada ya msiba tulikaa kama familia na sehemu ya...
Wakuu.
Nimekuja kwenu hapa wale wenye ujuzi wa leseni za magari nina maswali naomba majibu kupatiwa majibu, najua natakiwa kwenda kuwauliza askari wa barabarani au TRA Tanzania ila sasa naomba majibu yenu hapa kwanza
Swali namba 1:
Leseni ya kuendesha pikipiki zipo makundi kuna Class A, A1, A2...
Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi.
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Nimeona taarifa zikienea mitandaoni juu ya raia wapya wale wanne walioomba na kukubaliwa na hawa tisa wanaoomba,
Kwa wasomi wetu naombeni ufafanuzi juu ya hili. Maana katika kila jambo katika dunia lina hasara na faida yake,.
Je, kama kunaweza kuwa na hasara...
Kwamba mdahalo wameukimbia?
Kwani Nchimbi walisema je?
Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini?
Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana?
Viva CDM kuanza safari mpya free from "chawa wala viroboto!"
Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu
Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
Habari wa kuu! Samahani nina jambo huwa linanipa Shaka kwenye mwili wangu je ni kinga kuwa nyingi au kuna kitu kinaendele. Mwilini mwangu sina chanjo yoyote na sijawahi kuchomwa sindano ya dawa yoyote lbda ya ganzi wakati natoa jino. Pia naweza kukaa miaka 7 sijaumwa zaidi ya mafua tu na...
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae
Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae
Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
Pia soma:
~ Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo
~ Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.