ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  2. Roving Journalist

    JKCI yatoa ufafanuzi madai ya baadhi ya Watumishi wao kutoa huduma kwa kujuana

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums aliyetoa malalamiko yake kuhusu baadhi ya huduma za Watumishi wa hapo. Kusoma zaidi alichoeleza Mdau bofya hapa ~ Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa...
  3. Yericko Nyerere

    Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?

    Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa, Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA...
  4. B

    Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  5. K

    Msaada kuhusu HESLB, Maisha magumu hela hakuna boom hawaweki

    Wakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee! Ila hakuna disbursement wala check number. Na hujapata message ya boom shida inakuwa ipo kwa loan officer AU shida inakuwa Kule board ya mikopo? Mana loan officer chuoni...
  6. KabudiMasta

    Ufafanuzi kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Kwema wana JF, Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa...
  7. enzo1988

    YAS NA MIXX BY YAS, tunaomba ufafanuzi mtandao unasumbua!

    Kuanzia saa nane mchana mpaka muda huu huduma zote hazipatikani, tunaomba ufafanuzi!
  8. F

    Naomba ufafanuzi kuhusu rangi za taasisi

    Kuna mvutano kidogo kuhusu rangi za jezi,katiba ya yanga inataja rangi za klabu ni njano,kijani na nyeusi,sasa jezi zilitolewa safari hii hasa za mashindano ya kimataifa,ni tofauti na hizo zilizotajwa kwenye katiba,je katiba imevunjwa?Wataalamu wa sheria naomba ufafanuzi
  9. Roving Journalist

     Hospitali ya Taifa Muhimbili yatoa ufafanuzi hoja ya Mdau kuhusu "Huduma zake ni janga kwa Wagonjwa"

    Baada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi. Kusoka hoja za Wadau bofya hapa chini: ~ DOKEZO: Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake...
  10. pombe kali

    EWURA toeni ufafanuzi wa katazo la kuuza mafuta kwenye vidumu

    Ni kitu cha ajabu na kushangaza, nina kimashine changu nyumbani ambacho kinatumia petrol, miaka yote nimekuwa nikinunua mafuta kwenye vituo Siku za hivi karibuni nilienda kituo cha mafuta fulani nikaambiwa kuwa wamekatazwa na EWURA kuuza mafuta kwenye vidumu, nikaomba kumuona msimamizi wa kituo...
  11. S

    Naomba ufafanuzi; kwanini jina la Mkoa linamaana tofauti kiutawala na kwenye taasisi wana maana nyingine wakati serikali yetu ni moja?

    Habari wadau! Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo! Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili! Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya! Kwa mfano; Mkoa wa Dar es salam ni moja ya sehemu ya utawala wa kiserikali nactaasisi zake! Sasa kwanini...
  12. Walcotinho

    Msaada ufafanuzi Kodi ya Mapato Yatokanayo na Ajira

    Habari familia, kuja jambo linanitatiza, kwa waliopo kwenye ajira hasa binafsi, Kuna hii Kodi ya mapato inayotokana na mshahara, aisee hii Kodi ni kubwa mno inaumiza Sana, sijajua ndo utaratibu ulipo tangu zamani ama ni mabadiliko yaliyotokea hivi karibuni? Maana unakuta anayelipwa Gross...
  13. maelekezo

    Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  14. P

    Ufafanuzi kuhusu Famasi na radiology

    Habari wakuu Ninaomba ushauri Kwa mdogo wangu asome kozi ipi Kwa ngazi ya degree kati ya famasi na radiology,na ipi Ina nafasi nzuri Katika kujiajiri mwenyewe hata ukikosa nafasi ya ajira serikalini nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo
  15. E

    UMEME 'KUSHTUKA', TANESCO WATUPE UFAFANUZI...

    Nimetumia neno 'kushtuka' kwa sababu huu si ukatikaji wa umeme uliozoeleka. Kwamba kwa siku za karibuni nimeshuhudia umeme ukikata na kurudi kwa sekunde moja au mbili; na hii imetokea zaidi ya mara tano katika kipindi cha saa 12. Hali hii nimeishuhudia nikiwa nimejituliza nyumbani siku ya...
  16. C

    Inawezekana vipi unafanya kazi muda wa miaka hata mitatu halafu NSSF inasoma zero?

    Habari zenu wadau, mimi nlikuwa nauliza hivi, kwani kazi ya kushughulikia makato(ile 20% ya mshahara kama sikosei) NSSF baina ya kampuni na mfanyakazi ni jukumu la nani? Na inawezekana vipi unafanya kazi muda wa miaka hata mitatu halafu NSSF inasoma zero?? Naombeni ushauri juu ya hili wadau
  17. Annie X6

    Nahitaji ufafanuzi wa hili jambo nitaelezea kidogo ufahamu wangu

    Habari hii picha inamaana nitaelezea ila naomba ufafanuzi kwa anayejua zaidi. 1. Nitaanza na sunlight kwamba jua lina vitamin muhim kwanhiyo ni vema wkt flan kufurahia uwepo..wake na sio kukaa ndani muda wote. 2. Kupunzika. Baada ya kazi ni vema kupata muda wa kutosha upunzishe mwili na...
  18. BRO LEE

    Naomba ufafanuzi

    Habari wana jamvi, naomba ufafanuzi wa kisheria kwa jambo hili. Bwana X aliomba mkopo wa benk kwa dhamana ya nyumba ambayo ilikuwepo eneo ambalo halijapimwa na viongozi wa mtaa wakadhibitisha hati ya mauziano kisha bank ikatoa mkopo. Bwana X akashindwa kulipa mkopo wake bank ikaikamata kupitia...
  19. Lanlady

    Naomba ufafanuzi wa kisheria kwenye jambo hili

    Ikiwa Mtu ametoa tuhuma zinazohusu mtu au chama fulani, lakini kwenye tuhuma hizo akaandika jina ambalo sio sahihi. Je, Mtu huyo anaweza kushtakiwa na wahusika ambao kiuhalisia sio waliotajwa. Mfano badala ya kusema JamiiForum wamefanya hivi au vile, yeye akasema 'jamaaforum!' Je, JamiiForums...
  20. BICHWA KOMWE -

    Je, mkojo huambatana na bomu? Ufafanuzi wa kisayansi

    Kuna ile hali umejikalia zako mara unahisi kwenda kutoa haja ndogo. Unafika unamaliza haja lakini unabanwa na bomu la hewa chafu unaliachia bwaaaaa... Kuna wakati mko wengi kwenye choo cha stendi unamaliza kutoa haja halafu bomu linabana mno unajikuta unaliachia kiwizi wizi bana. Nimetafakari...
Back
Top Bottom