Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana ambayo sio sawa kwa vichanga.
Sijajua hizo products ndo zilizopo pia Tanzania au hizi zilizoingia...
Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka.
Video imeambatanisha.
NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Mkoa wa Manyara (TCCIA Manyara) kimeeleza kuwa taarifa zilizosambaa mitandaoni zikimtaja mshauri wa biashara na mwajiriwa wa TCCIA Manyara, Ramadhani Rashid Msangi aliyehukumiwa kwenda jela miaka 3 au kulipa faini ya shilingi 900,000 kwa kosa la...
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental).
Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi...
Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
1. Je, ukiwa na Akaunti ya Benki fulani ila hukuitumia kwa miaka kati ya 5 hadi 10 ukitaka Kuendelea nayo inawezekana (japo najua itakuwa Imeshafungwa) Kuihuisha au Kuiamsha (Activate) au uachane na haya yote na Ufungue tu Akaunti mpya?
Tafadhali Wataalamu / Wabobezi wa Benki GENTAMYCINE naomba...
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amefunguka akisema waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kutoka nje, kwa kuwa Tanzania ina hazina...
Awali Member wa JamiiForums.com anadai baadhi ya Maafisa wa Afya wamekuwa wakichezea mifumo ili ionekane baadhi ya Dawa na Huduma hazipo kwenye vituo vyao wakati Wanufaika wa Bima ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wanapohitaji, akitoa mfano hali hiyo imetokea katika Taasisi ya Moyo Jakaya...
UFAFANUZI KUHUSU TOZO YA WHARFAGE
JUMAPILI MACHI 10, 2024
DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandnari Tanzania (TPA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tozo ya Wharfage kwa Wateja na Wadau wa huduma za Bandari na kuweka usahihi wa taarifa kwa Umma kwa ujumla kama ifuatavyo.
Wharfage ni tozo ya...
Habari wadau,
Jamiiforums imekuwa sehemu ya wanachama kushiriki kutoa maoni yao, kuelezea kero zao na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali nchini, nafasi inayowawezesha kufanya maamuzi mkiwa na taarifa sahihi na zenye ubora. Wapo viongozi wachache kama Dkt. Gwajima D ambao wamekuwa...
UFAFANUZI WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA, KUHUSU HOJA YA HOSPITALI ZA SERIKALI KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KUONGEZA MAKALIO NA MATITI ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 14 FEBRUARI 2024 VIWANJA VYA BUNGE DODOMA
Ndugu Waandishi wa Habari, asanteni kwa nafasi hii...
Jeshi la Polisi nchini limetoa ufafanuzi wa taarifa iliyo ripotiwa katika baadhi ya vyombo vya Habari ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho, kashfa Polisi yahusishwa na kutekwa kwa Baba na mwanawe.
Akitoa taarifa hiyo leo Januari 31,2024 msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamshna...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi wa Habari iliyosambaa katika mitandaoni ya kijamii kuwa “Huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili, Wagonjwa wanakufa” taarifa hiyo siyo ya kweli na ipuuzwe, kwani hakuna mgonjwa aliyekufa kutokana na tatizo la kutokuwekewa kifaa cha...
Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika - y yThe Tanganyika Law Society (TLS), Wakili Harold Sungusia tarehe 19 Januari 2024 ametoa ufafanuzi, ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uongozi wake ikiwemo tuhuma zinazungumzwa dhidi yake.
Sungusia ambaye anashika Madaraka ya Urais tangu...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa kutoa Ripoti ya Matibabu (Medical Report) kwa Mgonjwa licha ya kuwa inalipiwa Tsh. 100,000 kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akidai kuwa zamani ripoti hiyo ilikuwa bure, Uongozi wa Muhimbili umetoa majibu.
Mdau amedai kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Siku chache baada ya Mheshimiwa Luhaga Mpina kuzungumza hadharani na kulaumu au kutoa shutuma zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kununua vifaa vya kuongeza makalio badala ya kutumia pesa hizo kutoa huduma kwa wananchi.
Serikali kupitia naibu waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.