Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea shutuma mbalimbali kutoka kwa wananchi kwamba amekuwa akiwakamua waumini hela zote hadi wanakosa...
Chonde chonde Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania (TEC)! Jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya Papa ya kuwaruhusu Mapadre wetu kubariki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Hiyo kauli yake pamoja na huo waraka wake alioutoa bila shaka mnafahamu ni kwa namna gani...
Mhe. Ummy naona kama umepanic sana, au wasaidizi wako wamepanic sana. Waambie barua zinatosha .
Issue ya ubovu wa miundombinu ya vituo vya Afya kwa ulimwengu na hali ya uchumi wa Tanzania haina pingamizi . Cha msingi kazi imefanyika kwa kiwango chake.
Kwa mantiki hiyo nikuombe msiendele...
Wakuu kwema?
Suala la mita za DAWASA limekuwa ni changamoto na kero kubwa kwetu watuamiaji, na si kwamba ni watu wachache, malalamiko ni mengi ikiwemo na kwangu mdau lakini DAWASA wanakaza shingo.
Nilishangazwa na mhudumu wa DAWASA kuona ni jambo la kawaida kwa familia ya watu watatu kuletewa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza kuwa timu ya wataalam imeshafika kufanya tathimini ya daraja hilo.
Bashungwa ametoa pole kwa...
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
Kwa sasa amepiga...
Naomba ufafanuzi kama ukiwa mtumishi wa Serikali zaidi ya miaka 20 je kama ukifukuzwa kazi kuna mafao yoyote utapata?
Au ukiamua kuacha kazi, Je kuna mafao yoyote unaweza kupata? Na je kama una mkopo benki hilo deni linalipwaje na wewe uko nje ya utumishi.
Baada ya memba wa JamiiForums.com kulalamikia mchakato wa kuwaondoa Wananchi walio ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Mgori mamlaka zimejibu na kutoa ufafanuzi, soma hapa hoja ya Mdau - Watu wanaodhaniwa Askari wa Polisi na Maafisa Msitu wawapiga Wananchi, kuchoma moto makazi na mazao Wilaya ya Chemba...
Wakulima wa zao la Vanilla Mkoani Kagera wameendelea kuiomba Serikali kuingilia kati kuwasaidia kupata malipo yao ya zao hilo walilouza kwa Kampuni ya Sosaka Limited.
Imeelezwa kuwa Kampuni hiyo ilifuata taratibu zote na kupata vibali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, ikanunua Vanilla...
Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi.
Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
Hivi karibuni kumekuwa na Trends kuwa kuna kiwanda fulani hapa Dar es Salaam kinatengeneza mayai ambayo sio ya kutagwa na kuku na haya mayai bhana yanakuja yakiwa yamepakia viini viwili ndan yake.
Tunaomba msaada wa ufafanuzi kutoka kwa wataalamu wa chakula na dawa, juu ya haya mayai ya kisasa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko ya Bw. Emmanuel Gadi kuwa, TRA imetengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini nje ya mfumo halali wa Serikali kinyume na Sheria ya Forodha.
Tunapenda kuufahamisha umma...
Wanabodi,
Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.
Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
"Hivi ni kweli Zanzibar ina Unafuu wa vifaa vya Kielectroniki?
Na vipi kuhusu gharama za kusafirisha bidhaa?"
Ni swali ambalo wengi wamekua wakijiuliza kuhusu unafuu wa bidhaa pamoja na gharama za usafirishaji wa vifaa vya Kielectroniki kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara.
Kwa hili, Naomba...
Wakuu, kwa wale ambao mlishatembelea fukwe za ununio aisee ni nzuri balaa kuna lounge za kibabe sana maeneo yale natarajia hii game ya Arsenal na Manchester city niende kuitazama katika fukwe hizo.
naona tv zipo za kutosha ila sijajua kama kuna access ya dstv kwa maeneo yale wenye uzoefu na...
Jana limetumwa tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one, English course kutoka kwa makatibu tawala wa mikoa lililotoka OR-TAMISEMI.
Agizo hili limeelekezwa kwa walimu wa shule za sekondari za serikali.
Hivi ndani ya OR-TAMISEMI au wizara ya elimu, viongozi hawajui utofauti wa formal na...
Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
baada
kidato
kusambaza
masomo
mtu
mtu mwingine
mwanafunzi
mwingine
nafasi
nyerere
serikali
sifa
taarifa
tamisemi
ufafanuzi
uongo
waziri
yericko nyerere
Wanajf mimi ni kijana mkazi wa Arusha miaka 37, msomi kias na pia mjasiriamali, maji ya kunde na mrefu kiasi, mkiristo.
Future wife awe na sifa hizi;
~ Miaka 32 kushuka.
~ Mweupe (weupe asili).
~ Asiwe mrefu sana wala mfupi.
~ Asiwe mnene sana.
~ Mkirsto.
~ Anayejielewa na kujua maana halisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.