Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema hadi kufikia Desemba 31, mwaka huu kila mtu mzima nchini anatakiwa kuwa na Namba ya Mlipa Kodi (TIN).
Hayo yameelezwa na Ofisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi (TRA), Hamadi Mteri wakati wa ufunguzi wa semina kwa wanachama wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa...
Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi.
Akioa...
bado
bandari
kutafuta
mashamba
miaka
miaka 100
mkataba
mkurugenzi tpa
muda
plasduce mbossa
sakata la bandari
shughuli
tpa
ufafanuzi
utekelezaji
wafanyakazi
Spika anasema wacheni kupotosha:
--
Spika wa Bunge, Dr Tulia Ackson ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizosambaa zikidai kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari limesharidhia Azimio la Bunge kuhusu pendekezo la mkataba wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai...
Naomba kupandiaha barua ya Ikulu mnamo mwezi January 23 ambayo ilitoa taarifa ya kufukuzwa kazi wakurugenzi kadhaa,soma jina namba 2 na jina namba 5 halafu pitia majina namba 80 na jina namba 115 kwenye teuzi zilizofanyika jana.
Katibu Mkuu kiongozi na wizara ya utumishi wanahitaji kumsaidia...
Wakuu, sina haja ya kuwasalimia kutokana na mvurugo bila kusahau matusi ya Mkuu Mpwayungu naomba kuuliza wajuvi hivi mwalimu akishindwa kuchangia mchango wa MWENGE ambao ni shilingi elfu tano katika halmashauri hii anakuwa amemkosea nani kwa sababu naona ni wazi tunatafutana lawama. Kuna...
Mhe. Waziri wa ardhi Angela Mabula nakusalimu.
Watanzania bara tumechanganyikiwa kusikia Wenzetu Zanzibar wana Ekari 6000 Bagamoyo na wametoa onyo kwa mtu yeyote kutojaribu kusogelea pale.
Kinachotuumiza zaidi ni kuona sisi watanganyika kwenye ardhi yetu tukipigwa beat namna hiyo ili hali...
Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi.
Soma pia: Uzi mkuu...
Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa...
SERIKALI IMETOA UFAFANUZI KUHUSU UNUNUZI WA TANGA CEMENT UNAOFANYWA NA TWIGA CEMENT
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement, kuwa umefuata taratibu za kisheria na kwamba kampuni inayopinga ununuzi huo ya Chalinze Cement imeshafutiwa usajili...
Mheshimiwa Rais mama yetu mpendwa. Wakazi wa Kipunguni Dar salaam ambao tuliteseka Zaid ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo.
Lakini tunaona siasa zimeanza maana mpaka Sasa bado hatujajua lini tutalipwa. Ingawa mmbunge wetu Segerea Bona Kimori...
Wanabodi,
Tangu Bunge la Bajeti lianze, Alhamisi ya leo ndio kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu anautumia muda wa kujibu maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu.
Sasa kwanza wenye access kualia Bunge live, angalieni maswali ya leo kwa Waziri Mkuu, kisha nitawaeleza kitu
Karibuni
UTANGULIZI...
Nikiwa kama mtumishi wa umma nilikopa NMB bank lakini kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nikafukuzwa kazi, hivyo marejesho bank mwajiri akawa hapeleki.
Baada ya miezi nane kutokana na mambo ya rufaa nikafanikiwa kurejeshwa kazini na mwajiri kuamliwa kulipa mishahara yangu wakati...
Salaamu wana Jf baada ya kuonana na madaktari katika zahanati mbili tofauti za serikali yalinipata yafuatayo:
Kwa ufupi niliingia zahanati ya kwanza saa moja asubuhi hadi saa nane mchana hapo nikaingia kwa daktari kwa masikitiko makubwa zahanati ya jimbo nikaandikiwa kipimo cha mkojo...
Waziri wa Elimu hakika umekuwa unajitahidi sana kutendea haki Wizara unayosimamia na kwa hakika hapa mheshimiwa Rais anastahili kupongezwa kwa kukuona kuwa unafaa kuongoza Wizara hii jeti sana kwa taifa kwa ujumla.
Mheshimiwa Waziri tunaomba dawati la wizara linalosimamia ubora wa elimu kutupia...
1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi.
2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
Wiki hii kumetoke trending katika mitandao mingi ya ya kijamii inayomuonesha Askari polisi akiwa kwenye gari na akisikiliza wimbo wa Whozu "Vava vava Vavavavayo" .
Nimezunguka Twitter kote na Instagram , kuna walioenda moja kwa moja na kumpa tuhuma za Ushoga. Sasa kwa kuwa video hiyo...
TAARIFA KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS)
Ufafanuzi kuhusu bidhaa ya Majani ya Chai ya "SAFARI PRIMIUM TEA"
@TBS_Tanzania
====
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha utata unaotokana na taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.