Wizara ya Afya, imetoa ufafanuzi wa maswali yaliyokuwa yakiulizwa mara kwa mara na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote.
Muswada huo umeshafikishwa Bungeni na Oktoba 19, Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma na Maendeleo ya...
Wanajukwaa:
Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo...
Na Grace Semfuko, MAELEZO
Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya utendaji kazi wa taasisi hizo kwa Vyombo vya Habari, ili kuwaonesha Wananchi maendeleo yanayofanywa na...
Nimechaguliwa chuo Cha institution of social work kozi ya human resources nataka kubadilisha nisome kozi ya labour relation na public management naomben ushauri wenu niende ipi Kati ya hizo au nibaki na hiyo niliochaguliwa
Kati kozi ya bachelor of education in psychology na bachelor of science in economics project planning and management ipi ni nzuri? Naomba msaada wa ufafanuzi.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu wapi zipo shilingi trilioni 360 zilizopo kwenye mashauri ya madai 1,095.
Waziri Nchemba amesema, kuna jumla ya mashauri 400 katika mabaraza ya rufani za kodi (TRAT) yenye thamani ya shilingi trilioni 4.2 na dola za Marekani...
Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
african leaders
afrika
baada
basi
biden
comments
daladala
kupanda
kwao
london
lumumba
mabasi
magufuli
marais
mataifa
mheshimiwa
mitandaoni
moja
msiba
ndugu
ndugu zangu
nyerere
pamoja
rais
rais biden
rais samia
samia
serikali
suala
ufafanuzi
uhakika
uingereza
viongozi
wawakilishi
wazungu
Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali.
1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni.
Sasa swali la...
Wakuu heshima kwenu.
Naombeni ufafanuzi na maelekezo ya kufata Ili kufunga MITA ya luku inayojitegemea.
Je hatua gani za kufata?
Vitu gani vinahitajika?
Gharama ya mchakato mzima ikoje??
Asanteni sana.
TANESCO
Salama wandugu
Nimemsikiliza Mwigulu akijieleza kuhusu tozo hakuna cha maana anachoeleza zaidi ya kumung'unya maneno
tulishasema ondoeni tozo siyo kuilemba lemba na kuipaka wanja ionekane kama asali wakati ni pilipili,kodi zilizopo zinatosha kuendesha nchi ila nyie mnacheka na wafanyabiashara...
Wakati bado waziri wetu wa fedha anaendelea kutapa tapa kwa vigugumizi akielezea mambo ambayo naamini hata yeye mwenyewe moyoni mwake anajua anatekeleza wajibu tu na si ukweli, tunaambiwa ni namna ya watu wengi, wananchi washiriki kwenye kuchangia SOLIDARITY FUND! - hebu nisaidieni ufafanuzi wa...
Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.
Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba
Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
Naomba kuuliza mtu anatakiwa apaki gari kwa dakika ngapi mjini ndio aanze kuchajiwa/kumulikwa? Nilipaki gari ndani ya dakika moja kununua maji ya kunjwa nikachajiwa, naona kama haijakaa vizuri!
Naamini Muheshimiwa Kinana akikumbana na hii hali, atatusaidia kuwajulisha wahusika watoe muongozo
Tafadhali tuwekane sawa, DStv haijihusishi na kurusha maudhui yasiyofaa katika jamii. Malalamiko haya yanatakiwa kupelekwa moja kwa moja kwenye channel husika. DStv wanarusha channels tofauti, sio kosa lao pale yanapotokea mambo ambayo yanahusiana na maudhui mabaya.
Kinachotakiwa kufanyika...
Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya.
Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuwepo.....
Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.
Je, hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu.
6000 ni ndogo kwa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.