ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

  2. K

    Naomba ufafanuzi juu ya P2

    Naomba kuuliza:- 1. Hivi mwanamke akifanya sex na mwanaume 1 leo na akameza p2 then kesho kutwa ake akafanya tena sex na mwanaume wa 2 Ikatokea akawa na mimba je iyo mimba inakuwa ya mara ya 1 au mara 2?
  3. Anganjwiri92

    Msaada wa ufafanuzi wa uhamisho kutoka Halmshauri kwenda Mamlaka ya Bandari

    Habari wana JF, Pasipo kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumishi kwenye Halmshauri X, nimeajiriwa kama afisa mtendaji, ila kwa bahati mzuri nina diploma ya shipping and port operation management pale Bandari College sasa lengo langu...
  4. The Sunk Cost Fallacy 2

    Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  5. Stephano Mgendanyi

    Ufafanuzi kuhusu nyumba ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Maweni, Igunga inayosambaa mitandaoni

    UFAFANUZI KUHUSU NYUMBA YA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MAWENI, IGUNGA INAYOSAMBAA MITANDAONI Tarehe 20 Septemba 2021 nikiwa naendelea na Ziara ya Kijiji kwa Kijiji kwenye Jimbo la Igunga, Nikiwa na Wasaidizi wa Ofisi ya Mbunge na Waandishi wa Habari, tulifika Shule ya Msingi Maweni iliyopo...
  6. ChampN199

    Naomba ufafanuzi kuhusu private candidate

    Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina PHYSICS-D HISABATI-C ENGLISH L-C HISTORY-D CHEMISTRY-C CIVICS-D GEOGRAPHY-D KISW -C BIOS- D Comb nnayotaka kuisoma itakuwa CCD , Je naweza kuruhusiwa kufanya pepa...
  7. Raia Fulani

    Hotuba ya Rais kuhusiana na ruhusa ya mikutano na ufafanuzi alioutoa

    Rais katika hotuba yake kasema vyama pinzani/kosovu vitaendelea kuwa kosovu alimradi yeye yupo madarakani. Kwamba watakachokosoa, na serikali yake ikaona vina mantiki basi haraka wanafanyia kazi na Rais anapata pongezi zake na wanaaminiwa na wananchi na wanaendelea kushika dola. Wakati Rais...
  8. Lafacha

    MSAADA: Ufafanuzi wa majibu ya ultrasound

    naombeni mnifafanulie vizuri majibu haya ya ultrasound. SASISHA (updates):- Namshukuru ALLAH leo tarehe 02 januari 2023 mimi pamoja na familia yangu tumebarikiwa watoto wawili wote wa KIKE. njia iliyotumika kujifungua ni njia ya kawaida. Nawashukuruni nyote. MBARIKIWE.
  9. D

    Watumishi Wa Umma Naombeni Ufafanuzi hapa!

    Kwa muajiriwa ambaye hajatimiza Miaka mitatu kazini. Je, inawezekana akapewa ruhusa akarudi kujiendeleza masomoni ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe?
  10. Blauzi mbovu

    Nahitaji ufafanuzi wa kodi ya biashara

    Habari zenu wakuu ! Leo nakuja kwenu nikihitaji ufafanuzi wa masuala kadhaa yanayohusisha kodi ya biashara. Ni kiasi cha miaka minne sasa tangu niingie ktk ulingo wa kutafuta maisha kupitia biashara. Nimekuwa nikihangaika na biashara tofauti tofauti za kila namna lengo niingizie kipato...
  11. sifi leo

    Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

    Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu. Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili... Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
  12. JOTO LA MOTO

    Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

    Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi. Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali mmoja kutoka kwenye orodha. Na je, kuuza au kununua hisa kwa wakati ina uhusiano na ni Dalali gani ume...
  13. Chizi Maarifa

    Haya mabehewa TRC Wamezitolea ufafanuzi wa Kitaalamu kabisa

    Ukiangalia haya ni kama yale ambayo huwa yanauzwa kupatana.com au zoomtanzania. Sijui lakini. Au kikuu.com Naamini ukiwa mzoefu wa ku tafuta tafuta vitu kwenye mtandao utayakuta used hapa bongo au nchi za wenzetu. Haya mabehewa utaambiwa hayajawahi pata ajali na pia aliyekuwa anayatumia ni...
  14. Mukulu wa Bakulu

    Ufafanuzi: Nafuu ya kodi unapoagiza/kununua gari za Afrika Kusini

    Habari wakuu. Naomba kutoa angalizo ama ufafanuzi kidogo kuhusu nafuu ya kodi pale utakapoagiza gari zilizotengwa South Afrika. Nimeona mijadala mingi humu watu wakisema kuna unafuu mkubwa wa kodi ukiagiza gari South Afrika kuliko Japan. Hilo jambo linaweza kua sahihi ama linaweza kua na...
  15. SAFAM classic

    Naomba ufafanuzi

  16. MakinikiA

    Ufafanuzi kuhusu kupunguzwa kwa vifurushi (bundles)

    Nyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai. Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.
  17. R

    Serikali kutoa ufafanuzi matumizi ya Milioni 480 kutangaza matokeo ya Sensa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote. Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
  18. J

    Watu wanaosema tunamrudishia Rais mchakato wa Katiba wanachangamsha Genge

    Mjumbe wa Kikosi Kazi cha Prof. Mukandala Mhe. Zitto Kabwe yuko mubashara kipindi cha Kipima Joto ITV. SWALI: Ripoti ya Kikosi Kazi kuhusu Demokrasia ya Vyama Vingi. Je, imejibu matarajio ya wananchi? Karibu! ======= Zitto Kabwe Kwa mazingira ya Tanzania, mchakato wowote hauwezi kumkwepa...
  19. desmond3076

    Naombeni ufafanuzi ndugu wanasheria

    Ndugu wanasheria salaam, Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili, Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa wakati huo kiinua mgongo million 67, baada ya hapo aliendelea kupata pension Kama laki 5 kila mwezi...
  20. JumaKilumbi

    UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

    Na Jumakilumbi, 15.10.2022 Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa...
Back
Top Bottom