ufanisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ushauri : ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato, TRA igawanywe na kuwa mamlaka mbili, mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

    Salamu Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan Wazir wa Fedha, Dkt.Mwigulu Nchemba Ninayo furaha sana kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa baraka zake kuu tunazoendelea kuzishuhudia katika Taifa letu. Kwa namna ya pekee kabisa ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani, umoja na...
  2. ERB, ECI Waanza Utekelezaji wa Makubaliano ya Kuongeza Ufanisi kwa Wahandisi

    ERB, ECI WAANZA UTEKELEZAJI WA MAKUBALIANO YA KUONGEZA UFANISI KWA WAHANDISI. Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) na Baraza la Uhandisi la India (ECI) wameanza utekelezaji wa makubaliano kati yao ambayo yalisainiwa mwezi Disemba 2024 lengo kuu likiwa ni kuchangia maendeleo ya kiuchumi...
  3. Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

    Habari wakuu . Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso. Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy). Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi. Kunywa mkojo robo...
  4. M

    Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  5. Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

    Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi! Hii ni kada gani hapa nchini?
  6. Mhe. Katimba Awataka Wakandarasi wa TARURA Kutekeleza Miradi kwa Ufanisi

    MHE. KATIMBA AWATAKA WAKANDARASI WA TARURA KUTEKELEZA MIRADI KWA UFANISI Naiba Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewataka makandarasi wanaopatiwa kandarasi za ujenzi wa barabara za TARURA kutekeza miradi hiyo kwa ufanisi na kwa wakati kama ilivyo makubaliano ya katana...
  7. Kamishna Mwenda: Ufanisi wa Bandari waongeza mapato TRA

    UFANISI WA BANDARI UMEONGEZA MAPATO YA TRA - KAMISHNA MWENDA Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amesema Uwekezaji uliofanywa katika Bandari ya Dar es Salaam na Kampuni za DP World na ADANI umechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la Mapato kwa TRA ndani ya kipindi...
  8. Dkt. Biteko: Kutumia umeme bila ufanisi kunaongeza mzigo kwenye uzalishaji wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumia umeme kwa ufanisi na hivyo...
  9. Tanzania kuimarisha ufanisi wa mfumo wa kodi ili kukuza uwekezaji nchini

    Tanzania imechukua hatua stahiki za kuimarisha ufanisi wa mfumo wake wa kodi, ili kukuza uwekezaji na biashara na mataifa mbalimbali duniani. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahamoud Thabit Kombo, amesema hayo tarehe 13 Novemba, 2024 jijini Dar es Salaam...
  10. Matumizi ya Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) katika Kuboresha Ufanisi na Usalama wa Majadiliano kwenye Jukwaa la Jamiiforums

    Jukwa la Jamiiforums linaweza kuboreshwa kwa kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) kuharakisha usimamizi wa maudhui na kuleta uzoefu mpya kwa mtumiaji. Hapa kuna baadhi ya njia za kuingiza AI katika jukwaa la Jamiiforums: 1. Usimamizi Wa Maudhui na Uchambuzi wa Hisia za Wachangiaji...
  11. K

    Je, herbal clinics zina ufanisi?

    Itifaki ikiwa imezingatiwa. Kumekuwa na ongezeko kubwa la verbal clinics mijini, herbal clinics hizo zinanadiwa sana kuwa zina uwezo wa kutibu magonjwa lukuki. Je zina ufanisi? Changia uzoefu wako.
  12. Mbunge Kenneth Nollo: Maslahi ya askari polisi yaboreshwe ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi Mpango wa Taifa 2025/2026

    Serikali imeshauriwa kuboresha mazingira na maslahi ya askari polisi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi wa polisi katika mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa mwaka 2025/2026. Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 6, 2024 na Mbunge wa Bahi (CCM), Kenneth Nollo wakati akichangia katika mpango huo...
  13. Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
  14. Upo vipi ufanisi wa kutumia dawa hii katika kupunguza matumizi ya pombe...

    Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe Kali ( konyagi) kwangu Mimi nikinywa pombe nakuwa Na hamu ya kula Na hata kunenepa Huwa nanenepa...
  15. Katika matibabu sindano zinafanya kazi haraka na kwa ufanisi kuzidi vidonge.

    Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona . Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano . Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana...
  16. Home made incubator yenye ufanisi mkubwa.

    Habari? Katikat pitapita mitandaoni na kusoma vitabu tofauti tofauti juu ya hizi mashine za kutotolesha vifaranga nimefanikiwa kutengeneza Moja yenye uwezo wa mayai 33. Na nimefanya majaribio mara mbili imekuwa na ufanisi wa 100% yaan imetotoa vifaranga 66 kwa awazo zote mbili. Ili uweze...
  17. Bodi ya Mikopo (HELSB) imekosa Tija na mantiki katika Ufanisi, changamoto kubwa ni mfumo wa kamati za Teuzi

    Kweli dunia ya Sayansi na technology, CEO wa taasisi unaenda kupitisha utaratibu wa Kuwapata wadaiwa Sugu kwa njia ya fichua? This is total embarrassment to the government na hii ni ishara hatuna watu sahihi kwenye Taasisi za Umma. Wakopaji wana NIDA, identifications , Ujazaji wa form...
  18. Pendekezo Kwa utumishi wa imma kufanyisha interview Ili kuongeza ufanisi na tija.

    Nawaasalimu Kwa Nina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!!!!!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada , niiombe serikali yeti tukufu mosi iunde tume ya usaili kwenye ajira hasta kazi za wakuu wa idara na wasaidizi wake, Mfano Maafisa utumishi wote kwenye kazi ya halimashauuri Hadi mkoani...
  19. Pendekezo Kwa utumishi wa imma kufanyisha interview Ili kuongeza ufanisi na tija.

    Nawaasalimu Kwa Nina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!!!!!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada , niiombe serikali yeti tukufu mosi iunde tume ya usaili kwenye ajira hasta kazi za wakuu wa idara na wasaidizi wake, Mfano Maafisa utumishi wote kwenye kazi ya halimashauuri Hadi mkoani...
  20. Ufanisi wa Rais ni watu waliomzunguka!

    Moja ya Eneo Muhimu la watu katika uongozi ni Wale unao onana nao Kila siku (Wanaokuzunguka) kama ni Machawa utafanya vituko vingi. Rais anapaswa kuzungukwa na vichwa vyenye Hekima ndio wa kumshauri sio Vijana ambao hawajawa tested na matukio, angalia waliofanya kazi na Nyerere/ Mkapa n.k...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…