Matumizi ya mifumo ya kielekroniki katika taasisi mbalimbali za serikali yamekua na matokeo mazuri hasa kwa upande wa kupunguza msongamanokupunguza rushwa na hata pia kwenye suala la ukusanyaji wa mapato imerahisisha.
Lakini pamoja na mafanikio hayo mifumo hii ya kielektroniki Kuna muda...
Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
Tunaposimama kwenye njia panda za maendeleo na utunzaji wa mazingira, wakati umefika kwa Tanzania kuweka njia dhabiti na yenye dira kuelekea mustakabali endelevu na wenye mafanikio. Changamoto tunazokabiliana nazo leo, kama vile ukataji miti, mbinu zisizo endelevu za uchimbaji madini, na...
Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa.
Ndio maana kuna mashirika kadhaa ya serikali yalibinafsishwa mfano, viwanda kama zana za kilimo (zzk) kule Mbeya ambacho hakifanyi...
Kukuza Sekta ya Habari na Mawasiliano kwa Tanzania Ijayo
Sekta ya habari na mawasiliano ina jukumu muhimu katika maendeleo ya jamii, uchumi, na demokrasia katika Tanzania. Kwa kuangazia mabadiliko na fursa zinazoendana na zama za dijitali, hapa chini tunajadili hatua muhimu zinazoweza...
Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe.
Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena
Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA.
Serikali yetu ifanye yafuatayo:
Mkurugenzi abadilishwe.
Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
Kumetokea tabia ya baadhi ya viongozi na wanasiasa kudai hasara au matatizo ya Tanzania ya Mosi kuhamia Dodoma kuliko fanywa na Hayati Magufuli, ni kukosa ueledi wa uongozi, bila kujua Mpango wa Nchi alioacha Mwalimu ilikuwaje.
Kuhusu Dodoma, Mwalimu aliacha Ofisi za Waziri Mkuu na Wizara...
Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana.
Wengine hutunza taarifa zao kwa kutumia vitabu maalum na wengine hutumia digital tools kama computer au simu...
CAG amewasilisha Ripoti hii Kwa mujibu wa Kifungu cha 143 (4) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Kifungu cha 28 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418, kuhusu Ukaguzi wa Ufanisi kwa kipindi kinachoishia tarehe 31 Machi 2024
MUHTASARI
Taarifa hii ya jumla ya...
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya...
Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza watoa huduma za afya Tanzania, lakini kuna swala nimelishuhudia ambalo sidhani kama lipo sawa.
Binafsi nilipatwa tatizo la macho, nikaenda hospitali (ipo Dodoma) nikawa nimeonana na daktari kwa kutumia bima ya NHIF ambayo mimi ni mteja wao.
Nilionana na...
Salaam, Shalom.
Kwa mara ya kwanza, Nchi yetu ilipokea Rasmi Chanjo ya CORONA virus Kutoka nje aina ya Johnson Johnson mnamo July 24, 2021.
Na Chanjo Ile sie tulipewa Bure tofauti na Nchi zingine kama DRC, wao wakinunua Chanjo Kwa kugombania kuhofia kufa Kwa Corona.
Hadi sasa imebaki miezi 4...
Baada ya jukwa la JamiiForums kuchapisha nakala kwenye mitandao ya kijamii inayosema :-
Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya imesema inayafanyia kazi madai kuwa baadhi ya Maabara zinatoa majibu ya uongo ili Zahanati ziuze Dawa, ikiwa ni ufafanuzi uliotolewa baada...
Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi
Mbunge Asya Sharif Omar amesema ipo changamoto kwa wizara ya Maji watumishi wake ngazi ya Wakurugenzi na wakuu wa vitengo kukaimishwa kwa muda mrefu katika nafasi walizopo.
Akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge...
Manjano na asali imekuwa tiba iliyokuwa ikinisaidia sana katika makuzi yangu endapo nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi.
Unachanganya manjano kwenye asali, pia siku zingine unakamulia maji maji ya Tangawizi bila kuweka na machicha yake kwa sababu inaweza kusabibisha karahaa kwenye koo.
Mara...
Iko hivi, nilikuwa namsaidia mtu kuomba passport nisafiri nae, zamani ilikuwa unaambatanisha makolokolo kibao lakini baada ya NIDA nikajua process zimepingua hasa ukizingatia huyu mtu wazazi wake wote wana NIDA nikajua ile sehemu ya kiapo cha mzazi NIDA zao zinatosha maana waliapa mahakamani...
Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005.
Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
Majaribio hayo yaliyoanza katika Nchi za Tanzania, Uganda na Afrika Kusini yamesitishwa kutokana na takwimu za waliochanjwa kuonesha Chanjo waliyopata haina ufanisi katika kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Majaribio yalikuwa sehemu ya mpango wa #PrEPVacc, ulioanza Desemba 2020 ambapo...
Itifaki ikiwa imezingatiwa, rejea kichwa cha habari.
Ndg zangu ktk jitihada za kupambana huku shambani nakwamishwa na ukosefu wa maji.
Nimejaribu kueasiliana na wachimbaji wa visima virefu, bei zao zinaweza kuzidi urefu wa mlima Kilimanjaro.
Katika kuzuru huku na huku nikakuta sana za kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.