Bodi ya wakurugenzi kwenye mashirika ya umma wawepo hata foreigner ili kuongeza ufanisi

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board

Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee

Sina nia mbaya na wazee au wale waliostafu bali kwenye board za wakurugenzi ni vizuri kukawa na mchanganyiko wazee, vijana, na hata foreign ili kuongeza ufanisi

Tusiogope kuchagua foreigners kwenye bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma sababu hawa wana-exposure kubwa sana tofauti na watanzania walio wengi

NIKIWA RAIS SITASITA KUWATEUA FOREIGNER KWENYE BODI ZA WAKURUGENZI WA MASHIRIKA YA UMMA
WATAKAOCHAGULIWA WATAKUWA NA VIGEZO VIFUATAVYO;-
  1. Wenye uzoeefu wa miaka 15 usiokuwa na shaka kwenye sekta husika ambayo ina-uhusiano na kazi-fulani la shirika la umma
  2. Hatakama ni mstaafu hatazidi miaka 65
  3. Kwa foreign pia atapewa nafasi

Mtu ashachoka ana miaka 60 na zaidi anaendelea kuwa kwenye bodi tu tena muda mwingine kwenye mashirika ambayo yeye hana ujuzi nayo ...Bodi zimekua za kulipana posho. BODI ZIBADILISHWE TU MAJINA ZIWE BODI ZA WAZEE WASHAURI. Yaani unakuta hawana mawazo mapya ndo maana mashirika mengi huingia hasara kila siku kutokana na bodi nyingi kuwa na wazee na wana mawazo ya kizee..
 
Zimekua sehemu za kumalizia uzee huu ndo ukweli mchungu tusioupenda kuuongea
 
Kwenye Dunia ya kijasusi, unaongelea foreigners gani?

Watanzania bwana umeshindwa kupambana na maendeleo ya Taifa lako unataka foreigners waje kukuletea maendeleo.

Na kwa taarifa yako huko tunapoendea kama Taifa usishangae taasisi moja mtu anaweka ndugu zake, maana Watanzania akitokea mtu kutusanua tunaanza kum attack personal baada ya kujiuliza anachoongea kina mantiki kwa Taifa.
 
Kumbuka mwendokasi amepewa foreigner baada ya wazawa kushindwa

U.A.E, Saud arabia in-short nchi za gulf wameajiri foreigner wengi na ndo chachu ya maendeleo yao
 
Mbona ueleweki unaongelea wawekezaji au foreigner kuwa kwenye bodi ya wakurugenzi kwenye taasisi zetu kama heading ya uzi wako unavyosema
 
Hapo umeongea rais mtarajiwa! Tuna tongotongo nyingi sana na madegree yetu ya kudesa! Foreigner watatuamsha akili kdg wawe waajiriwa
 
Kumbuka mwendokasi amepewa foreigner baada ya wazawa kushindwa

U.A.E, Saud arabia in-short nchi za gulf wameajiri foreigner wengi na ndo chachu ya maendeleo yao
Sure waarabu mashirika ya ndege Kwa mfano Wana run foreigners, huku kwetu utasikia usalama wa taifa la nyokonyoko
 
Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board

Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee

Sina nia mbaya na wazee au wale waliostafu bali kwenye board za wakurugenzi ni vizuri kukawa na mchanganyiko wazee, vijana, na hata foreign ili kuongeza ufanisi

Tusiogope kuchagua foreigners kwenye bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma sababu hawa wana-exposure kubwa sana tofauti na watanzania walio wengi

NIKIWA RAIS SITASITA KUWATEUA FOREIGNER KWENYE BODI ZA WAKURUGENZI WA MASHIRIKA YA UMMA

Very dangerous.

kama kweli kuna uhitaji wa hao watu, watumike kama consultants

Also, kuna wataalam wengi TZ , shida hizo nafasi ni présidentiel appointment…… vyeo vya ki presidential haviangalii compétence but uchawa na uti

Boreshen katiba
 
Nchi ya Tanzania kuna mda wati wanashangaza sana
Wanakuambia ni usalama wa Taifa ilihali tunakula hasara kila siku miaka nenda rudi

Usishangae shirika kama Tanesco lina-momopoly ila linapata hasara ni ajabu sana na tunaona kawaida
 
Very dangerous.

kama kweli kuna uhitaji wa hao watu, watumike kama consultants

Also, kuna wataalam wengi TZ , shida hizo nafasi ni présidentiel appointment…… vyeo vya ki presidential haviangalii compétence but uchawa na uti

Boreshen katiba
Mbona gulf countries wameajiri foreigner kwenye baadhi ya maeneo na imewasaidia sana
 
Naunga mkono hoja
Na hata hao watakaokuwepo wafanyiwe independent interview na wapewe KPI ambazo wanatakiwa ku achieve kwa muda fulani...akifeli red card kajipa mwenyewe
 
Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board

Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee

Sina nia mbaya na wazee au wale waliostafu bali kwenye board za wakurugenzi ni vizuri kukawa na mchanganyiko wazee, vijana, na hata foreign ili kuongeza ufanisi

Tusiogope kuchagua foreigners kwenye bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma sababu hawa wana-exposure kubwa sana tofauti na watanzania walio wengi

NIKIWA RAIS SITASITA KUWATEUA FOREIGNER KWENYE BODI ZA WAKURUGENZI WA MASHIRIKA YA UMMA
WATAKAOCHAGULIWA WATAKUWA NA VIGEZO VIFUATAVYO;-
  1. Wenye uzoeefu wa miaka 15 usiokuwa na shaka kwenye sekta husika ambayo ina-uhusiano na kazi-fulani la shirika la umma
  2. Hatakama ni mstaafu hatazidi miaka 68
  3. Kwa foreign pia atapewa nafasi

Nilikuona jana mchana Ngarenanyuki ukawa unakenuliakenulia mimeno Tu.

FB_IMG_1754593511306.jpg
 
Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board

Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee

Sina nia mbaya na wazee au wale waliostafu bali kwenye board za wakurugenzi ni vizuri kukawa na mchanganyiko wazee, vijana, na hata foreign ili kuongeza ufanisi

Tusiogope kuchagua foreigners kwenye bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma sababu hawa wana-exposure kubwa sana tofauti na watanzania walio wengi

NIKIWA RAIS SITASITA KUWATEUA FOREIGNER KWENYE BODI ZA WAKURUGENZI WA MASHIRIKA YA UMMA
WATAKAOCHAGULIWA WATAKUWA NA VIGEZO VIFUATAVYO;-
  1. Wenye uzoeefu wa miaka 15 usiokuwa na shaka kwenye sekta husika ambayo ina-uhusiano na kazi-fulani la shirika la umma
  2. Hatakama ni mstaafu hatazidi miaka 68
  3. Kwa foreign pia atapewa nafasi

Nafasi za wateule wa ccm hizo!
 
Back
Top Bottom