Hivi kuna jeshi lenye ufanisi mkubwa Duniani kuzidi IDF?

Sitaki kuamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
1,206
Reaction score
1,433
Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.

Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
 
Weledi wa kupambana na wilaya waliyoizunguka yote miaka zaidi ya miwili?... Wapalestina wangepata robo ya silaha wanazotumia Israel, basi wayahudi wangekua wamesharudi kwao ulaya mwezi uleule wa mwanzoni kabisa
 
Wangataka kumaliza kama unavyotaka vilio vya Genocide vingekua vingi sana
 
Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.

Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin 🤮 head
 
Kuna watu na viatu

Yani umeongea utumbo tena wa paka
 
Umeanza kufikiria maswali.
Baada ya kufikiria maswali, ukayapata kisha ukajiandalia majibu yanayokupendeza.
Baada ya hapo ukaamua kutushirikisha kuhusu maswali na majibu uliyojipatia.

Very impressive!!!
👏🏽 👏🏽 👏🏽
Keyboard warrior
 
Kheri ungeuliza uelezewe umeandika utumbo mtupu.
IDF ni jeshi ambalo halina ufanisi wowote.
IDF vita za cross fire hawawezi ndiomaana wanaua raia hovyo.
Hamas haijifichi nyuma ya raia na wanavaa sare zao kama za jeshi.
Israel inafanya genocide ndio maana mwaka Jana waliua mateka wao wenyewe wanne,mateka walivua mashati na kuyapeperusha wakitaka kuokolewa video footages zilionesha askari watatu wa IDF wakiwamiminia risasi. Kusogea karibu ndio wanagundua wameua raia wao wenyewe.
Sio tu Gaza tuje Lebanon, Hizbollah ilipoanza kuirudishia Israel mashambulizi Israel kuona inazidiwa ikawa inalipua Central Lebanon ilhali vita ipo South Lebanon. Kwa akili zako hivi inaingia akili maadui wapo Namanga wewe unalipua Tanga!?
Israel inaua raia kimakusudi ili kuwatia hofu wapiganaji wajisalimishe.
Hiyo mbinu waliitumia Lebanon ikawalazimu Hizbollah kusalimu amri.

Majeshi yenye ufanisi ni kama vile jeshi la Uturuki.
Mwaka huu huu mwanzoni jeshi la Uturuki lilipeleka infantry 160 tu kukabiliana na waasi wa Kurdish.
Tena hao wanajeshi walienda na armoured vehicles tu hawakuenda na ndege wala nini.
Na hakuna raia wa Syria aliyeumizwa hata mmoja. Na Kurdish fighters huwa wanavaa kiraia. Ila walitandikwa balaa .
We unataja IDF?

Halafu pia umetudanganya hapo kusema eti Israel ilitawala anga la Iran kwa wiki nzima,embu wacha uongo.
Israel ilikua ikishambulia kwa kushtukiza na kupumzika tena hususan pale ADS za Iran bavaar-373 ziliporudishwa kazini.
Israel hakuwahi kumiliki anga la Iran.
Kama angemiliki anga la Iran kwa mashambulizi ya ndege 150+ leo hii Iran ingekua kote magofu.

Kama hamujui ulizeni msijiandikie mahisia yenu humu yasiyo na kichwa wala akili.
 
Wangataka kumaliza kama unavyotaka vilio vya Genocide vingekua vingi sana
Unatakiwa utumie akili sio matope.
Wataalamu wa vita washatoa ripoti kuwa mabomu aliyotumia Israel pale Gaza yalitosha kumaliza vita ya Russia vs Ukraine.
Hivi huoni kama ni nguvu kubwa hiyo iliyotumika?
Yani wametumia silaha hadi wakaishiwa wakaletewa silaha na USA.
Wame deploy wanajeshi laki sita kupambana na wanamgambo elfu ishirini.
Ilhali mwenzake Uturuki anawatoa wanajeshi mia tu kupambana na maelfu ya wanamgambo wa Kurdish na anawapiga na kuwakamata pasi na kumuumiza raia yeyote.
 
Umeanza kufikiria maswali.
Baada ya kufikiria maswali, ukayapata kisha ukajiandalia majibu yanayokupendeza.
Baada ya hapo ukaamua kutushirikisha kuhusu maswali na majibu uliyojipatia.

Very impressive!!!
👏🏽 👏🏽 👏🏽
Kamenishangaza sana aisee.
Yani bora angekuja akauliza eti kauliza akatoa majibu papo hapo😂😂.
Majibu yenyewe hayana kichwa wala miguu.
 
Unatakiwa utumie akili sio matope.
Wataalamu wa vita washatoa ripoti kuwa mabomu aliyotumia Israel pale Gaza yalitosha kumaliza vita ya Russia vs Ukraine.
Hivi huoni kama ni nguvu kubwa hiyo iliyotumika?
Yani wametumia silaha hadi wakaishiwa wakaletewa silaha na USA.
Wame deploy wanajeshi laki sita kupambana na wanamgambo elfu ishirini.
Ilhali mwenzake Uturuki anawatoa wanajeshi mia tu kupambana na maelfu ya wanamgambo wa Kurdish na anawapiga na kuwakamata pasi na kumuumiza raia yeyote.
Sasa Gaza inavyibolewa Mila Simu au ww jioni hilo
 
Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.

Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
One of the best indeed. Imagine thriving despited being sorrounded by heavily armed enemies(nations and Iran proxies). Tuwape maua yao aisee
 
Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.

Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
Huo ndio ukweli mjinga tu ndio atapinga.
 
Mjinga utakua ni wewe kaka.
Sitaki kuamini na wewe unajilazimisha kuwa mjinga.
Uturuki operation zake dhidi ya Kurdish fighters haijawahi kutumia wanajeshi zaidi ya 200 na inatimiza majukumu kiukamilifu bila kudhuru raia yeyote wa Syria.
Ila hapo Gaza tunajionea Israel inavyolipua hadi mahema.
Kwenye mahema nako kuna Hamas!?
Wacheni ujinga wa kipuuzi hata hao wazungu mnaowashabikia wanatoa ripoti kila siku za Israel kufanya genocide.
Sasa sijui wewe na wao nani yupo karibu zaidi kwenye huo mzozo.
 
Back
Top Bottom