Hivi kuna jeshi lenye ufanisi mkubwa Duniani kuzidi IDF?

Urban warfare ni ngumu sana. Pasingekuwa na mateka ndo ungeona Israel alivyo kichaa
Israel ni jeshi lisilo na ufanisi wowote.
Basi tuachane na Gaza,vipi kuhusu Lebanon iweje yeye alipue Beirut ilhali Hizbollah wapo pale pale South Lebanon wakiwarushia makombora na risasi kuelekea Galilee!?
Achana na hilo,hata Uturuki huendeshaga Urban millitary missions na huwa zinafanikiwa pasi na kudhuru raia wa Syria.
Iweje Uturuki aweze na huyo Israel mnaemuabudu ashindwe!?
 
Huo ndio ukweli mjinga tu ndio atapinga.

angalia katika hii perspective utagundua kitu mkuu

hili ni taifa haramu and the americans know it

harry truman , 33rd US president 1945 -1953

View: https://www.youtube.com/watch?v=uqV2K9sO3sI&list=PLrMQhJOfzdButrnUz7fNKHxBGNjEi5lAS&index=3

hapa anakiri ilibidi wawatoe mdogomdogo kwa sababu huwezi toa watu milion 6 na kuwajaza na milioni 6 wengine kwa mpigo

View: https://www.youtube.com/watch?v=N0DvO72fuG4&list=PLrMQhJOfzdButrnUz7fNKHxBGNjEi5lAS&index=8

overall summary

View: https://www.youtube.com/shorts/cCzOufp9s-w
 
Urban warfare ni ngumu sana. Pasingekuwa na mateka ndo ungeona Israel alivyo kichaa
anakua kichaa kwa sababu ana guarantees mkuu --- siku wamarekani watapoikaliia kooni serikali yao dhini ya israel, sifa nyingi zitapeperuka mkuu , this is a no brainer
 
IDF ni jeshi ambalo halina ufanisi wowote.
Ngoja nikupe ufanisi wa IDF-
1. 1967 six day war Waarabu wanajua wewe huwezi kujua!!
2 1973 Yom-Kipur war- Waarabu walijaribu tena lakini walishindwa.
3. 1976 Operation Thunderbolt ilifanikishwa na IDF
4. 1981 Osirak,Iraq-Kinu cha Nuclear kiliangamizwa na IDF
5. 2025 June 13-24 Iran ilipoteza makamanda 30+ wanasayansi 60+ IDF walihusika nakushangaa wewe unayesema halina ufanisi!!!
IDF vita za cross fire hawawezi ndiomaana wanaua raia hovyo.
Je unajitoa ufahamu mchana kweupe kuwa daima Magaidi huwatumia raia kama Kinga?
Hamas haijifichi nyuma ya raia na wanavaa sare zao kama za jeshi.
Naona sasa umekosa hoja toka lini Magaidi wanavaa uniform wakati wanapambana na majeshi ya Israel? Wangekuwa wanafanya hivyo mbona Israel ingekuwa imameliza kazi mapema sana!!

Usitufanye sisi wote humu ni wajinga kama wewe!! Tunafatilia sana vita hii kwa hiyo suit ufanie sisi ni wajinga!! Magaidi wa Hamas hawavai uniform walivaa tu siku za kubadirishana Wafungwa na Mateka baada ya hapo hatukuwaona tena wakifanya upuuzi huo!!
Israel inafanya genocide ndio maana mwaka Jana waliua mateka wao wenyewe
Ndiyo maana huwa na Waambia Wafuga Midevu na Majini wenzako kuwa mnabwabwaja sana Kuhusu Neno Genocide hamjui maana yake kwa hiyo ulivyo Andziak hapa ukijua askari wako hiyo ni Genocide? Mjinga gani duniani anaweza kuua askari wake?? Acheni ujinga wenu!!!
Halafu pia umetudanganya hapo kusema eti Israel ilitawala anga la Iran kwa wiki nzima,embu wacha uongo.
Israel ilikua ikishambulia kwa kushtukiza na kupumzika tena hususan pale ADS za Iran bavaar-373 ziliporudishwa kazini.
Israel hakuwahi kumiliki anga la Iran.
Kama angemiliki anga la Iran kwa mashambulizi ya ndege 150+ leo hii Iran ingekua kote magofu.
Kuna uwezekano mkubwa umelewa au unajifariji kutokana na kipigo alichopigwa Iran Ok ndege 150+ Iran aliangusha ndege ngapi za Israel? Kama ana ADs ilikuwaje ndege-vita za Israel ziwe zinaingia na kutoka kwa siku 12 bila kudhibitiwa? Mjinga tu ndiye atakataa kuwa anga la Iran lilimilikiwa na majeshi ya Israel kwa siku zote 12!,
 
Attachments

  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 27
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 27
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 26
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 31
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 22
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 23
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 25
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 26
Ngoja nikupe ufanisi wa IDF-
1. 1967 six day war Waarabu wanajua wewe huwezi kujua!!
2 1973 Yom-Kipur war- Waarabu walijaribu tena lakini walishindwa.
3. 1976 Operation Thunderbolt ilifanikishwa na IDF
4. 1981 Osirak,Iraq-Kinu cha Nuclear kiliangamizwa na IDF
5. 2025 June 13-24 Iran ilipoteza makamanda 30+ wanasayansi 60+ IDF walihusika nakushangaa wewe unayesema halina ufanisi!!!

Je unajitoa ufahamu mchana kweupe kuwa daima Magaidi huwatumia raia kama Kinga?

Naona sasa umekosa hoja toka lini Magaidi wanavaa uniform wakati wanapambana na majeshi ya Israel? Wangekuwa wanafanya hivyo mbona Israel ingekuwa imameliza kazi mapema sana!!

Usitufanye sisi wote humu ni wajinga kama wewe!! Tunafatilia sana vita hii kwa hiyo suit ufanie sisi ni wajinga!! Magaidi wa Hamas hawavai uniform walivaa tu siku za kubadirishana Wafungwa na Mateka baada ya hapo hatukuwaona tena wakifanya upuuzi huo!!

Ndiyo maana huwa na Waambia Wafuga Midevu na Majini wenzako kuwa mnabwabwaja sana Kuhusu Neno Genocide hamjui maana yake kwa hiyo ulivyo Andziak hapa ukijua askari wako hiyo ni Genocide? Mjinga gani duniani anaweza kuua askari wake?? Acheni ujinga wenu!!!

Kuna uwezekano mkubwa umelewa au unajifariji kutokana na kipigo alichopigwa Iran Ok ndege 150+ Iran aliangusha ndege ngapi za Israel? Kama ana ADs ilikuwaje ndege-vita za Israel ziwe zinaingia na kutoka kwa siku 12 bila kudhibitiwa? Mjinga tu ndiye atakataa kuwa anga la Iran lilimilikiwa na majeshi ya Israel kwa siku zote 12!,

Hii aipac awamu kumi mbele itakua hoi kama ccm mkuu

View: https://youtube.com/shorts/OrCr6pJ6bdI?si=qZtI7RipS7vNtenY
 
Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.

Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
Wabomoa matofari na waponda kokoto.
 
Weledi wa kupambana na wilaya waliyoizunguka yote miaka zaidi ya miwili?... Wapalestina wangepata robo ya silaha wanazotumia Israel, basi wayahudi wangekua wamesharudi kwao ulaya mwezi uleule wa mwanzoni kabisa
Hao Wapalastaini wako huwa hawafuati sheria za vita.Wanavizia,wanaua,kubaka, kuua na kuteka hovyohovyo.Msingi wa uzi: Israel wangekuwa na unyama huo,kuna paka angebaki Gaza?
 
Kheri ungeuliza uelezewe umeandika utumbo mtupu.
IDF ni jeshi ambalo halina ufanisi wowote.
IDF vita za cross fire hawawezi ndiomaana wanaua raia hovyo.
Hamas haijifichi nyuma ya raia na wanavaa sare zao kama za jeshi.
Israel inafanya genocide ndio maana mwaka Jana waliua mateka wao wenyewe wanne,mateka walivua mashati na kuyapeperusha wakitaka kuokolewa video footages zilionesha askari watatu wa IDF wakiwamiminia risasi. Kusogea karibu ndio wanagundua wameua raia wao wenyewe.
Sio tu Gaza tuje Lebanon, Hizbollah ilipoanza kuirudishia Israel mashambulizi Israel kuona inazidiwa ikawa inalipua Central Lebanon ilhali vita ipo South Lebanon. Kwa akili zako hivi inaingia akili maadui wapo Namanga wewe unalipua Tanga!?
Israel inaua raia kimakusudi ili kuwatia hofu wapiganaji wajisalimishe.
Hiyo mbinu waliitumia Lebanon ikawalazimu Hizbollah kusalimu amri.

Majeshi yenye ufanisi ni kama vile jeshi la Uturuki.
Mwaka huu huu mwanzoni jeshi la Uturuki lilipeleka infantry 160 tu kukabiliana na waasi wa Kurdish.
Tena hao wanajeshi walienda na armoured vehicles tu hawakuenda na ndege wala nini.
Na hakuna raia wa Syria aliyeumizwa hata mmoja. Na Kurdish fighters huwa wanavaa kiraia. Ila walitandikwa balaa .
We unataja IDF?

Halafu pia umetudanganya hapo kusema eti Israel ilitawala anga la Iran kwa wiki nzima,embu wacha uongo.
Israel ilikua ikishambulia kwa kushtukiza na kupumzika tena hususan pale ADS za Iran bavaar-373 ziliporudishwa kazini.
Israel hakuwahi kumiliki anga la Iran.
Kama angemiliki anga la Iran kwa mashambulizi ya ndege 150+ leo hii Iran ingekua kote magofu.

Kama hamujui ulizeni msijiandikie mahisia yenu humu yasiyo na kichwa wala akili.
Mkuu inabidi upewe tuzo ya uongo. Uko vizuri sana kwenye kudanganya
 
Jeshi makini Kwa sasa ni marekani, zamani jeshi la ujerumani na Japan yalikua tishio sana tena Sana.

Jeshi lingine litakuwa na nguvu siku zijazo ni jeshi la Ukraine limeshapigana vita mwaka wa 3 huu .

Uzuri WA jeshi unapimwa vitani offensive or defensive sio kucheza magwaride na kuonyesha vifaa
 
Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ?
Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Majibu niliyoyapata ni kua hawa jamaa ni very moral na wanautu sana wangetaka kufanya hizo Genocide ambazo wanakua accused nazo wangemaliza vita siku mbili tu.
Hakuna rules of engagement kwenye kudili na magaidi ila wao idf wanazifata na wanatoa taarifa kabisa ya evacuation kabla hawapiga.

Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Hawa mashekh wamewazidi kwenye propaganda tu.
Total victory ni mhimu pale Gaza
Israel Haina Jeshi, IDF ni kundi la wanamgambo
 
UPO SAHIHI ASILIMIA 100
 
Israel Haina Jeshi, IDF ni kundi la wanamgambo
Waliwalawiti Irani ndani ya nchi yao? 🤣🤣🤣🤣 Kuongea haya ni kujidhalilisha sisi wenyewe sasa kwa nini tusiichukue nchi inayolindwa na wana mgambo tu inabaka nchi jirani zake na kuzilawiti.
 
Back
Top Bottom