100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Vita ya anga, rubani wa ndege hasa zile za Israel ambazo ni ndege za kimarekani mara nyingi zina vifaa vya kisasa...Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa kumaliza vita ya kaeneo kadogo kama gaza?
Rubani anaweza kuona shabaha anayopaswa kuilenga kwenye helmet yake, zile helmet zao zina display au Helmet Mounted Display/HUD
Hizo ndege hubeba guided bombs au smart bombs, ile ndege iki lock target, rubani anachofanya ni kukiachilia na kuanza kuitafuta target lenyewe likifanya maneuver hadi kupiga target.. bomb linaweza kutumia laser, gps, infrared n.k ili kuliongoza kupiga target...
Rubani wakati huo anakua amekaa kwenye kiti akichezea computer, na kucheza na controllers..... akiruka angani kwa speed na kufanya maneuver... wakati huo anaweza kuwa anakunywa maji ambapo kuna mrija umeunganishwa na helmet na pasipo hata kuvua helmet...
Sasa compare na askari aliyepo ardhini au infrantry, huyu askari kutembea kilomita 20 kwa miguu amebeba begi zito hata kilo 25 ama 40, silaha nzito huku akipanda mlima, kupita msituni au jangwani ni kitu cha kawaida, mission zao ni kupambana ana kwa ana na adui, kama ni operation wataingia jengo kwa jengo, chumba kwa chumba, mtaa kwa mtaa.
Ni kawaida kwao kutegewa vilipuzi...
Ili Gaza imalizwe ipo wazi jeshi la anga limeshindwa, IDF ina deploy na kuongeza askari ardhini kitu ambacho Hamas wapo vizuri zaidi kuliko IDF... hivyo niseme IDF ni overrated...
Kingine Israel ilikuwa inafanya standoff bombing pale Iran, kama wanashambulia Dar, wataishia Morogoro na kuachia smart bombs kusafiri hadi Dar, maana Iran bado ADs zilizobaki zilikuwa zinalinda anga... not true waliteka anga la Iran..
Sinwar mara ya mwisho anauawa hakuwa amejificha kwa civilian, alikuwa peke yake na walinzi wake, akauawa kwenye jengo.Hakuna Genocide yoyote Gaza,na hawa magaidi wanajificha behind civilians tu na pia Israel amefeli sana kwenye PR.
Gaza genocide ipo, kama magaidi wanajificha nyuma ya raia, kwanini Israel ilikataa kuwaruhusu wana Gaza kuondoka lile eneo, kwanini wamewazingira?
Kwanini wanawapiga watoto wachanga risasi vichwani makusudi?
Israel si wajinga, kipindi cha kutafuta mateka wali deploy mossad kama wote miongoni mwa raia wa Gaza, kwenye kambi za wakimbizi wa kivita, kwenye mahospitali na kila eneo, na jinsi Israel wanavyojisifu kwa intel, lakini hawakuona mateka hata mmoja... hawakupata yeyote waliyemkisia ni Hamas...
Sasa kama waliwakosa mateka wote ambao walikua mamia, hao mateka walikuwa wapi? jibu ni moja, huko huko walipokuwa mateka, ndiko Hamas wanakojifichia... kama ni miaka miwili imepita hawajaona mateka inakujaje uje useme Hamas wanajificha nyuma ya raia? kama Hamas wanajificha nyuma ya raia basi na mateka wangekutwa pale... simple like that...
Ukweli ni kwamba mossad imezidiwa intel na Hamas, Israel imetumia mbinu zote unazojua za upelelezi ila wamegonga mwamba pale Gaza... huko alipo Abu Obaida, ndiko Hamas wanajificha...
Niishie hapa maana hoja zangu huna uwezo wa kuzijibu...