Kama ulikuwa hujui, Waisraeli wana haki ya kuichukua Gaza! Ushahidi huu hapa

Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao tangu enzi za Ibrahimu!

Mungu aliwaahidi wazao wa Ibrahimu kuwa atawapa eneo linaloanzia Mto wa Misri hadi Mto Frati (Mwanzo 15:18). Eneo hilo linajumuisha Gaza!

Ukisoma Maandiko kwa makini utaona kuwa Gaza iko ndani ya nchi ya Kanaani. Yoshua alipowaongoza Waisraeli kuingia Kanaani, Gaza ilitajwa kama moja ya miji waliyopewa kuimiliki (Yoshua 13:2-3). Hata hivyo hawakuweza kuimiliki kikamilifu wakati huo, lakini bado ilikuwa sehemu ya urithi wao.

Kama umesoma habari za Wafilisti, basi Gaza ilikuwa ndiyo ngome ya Wafilisti, maadui wakuu wa Israeli. Biblia inasema Wafilisti waliipinga Israeli mara kwa mara (Waamuzi 16, 1 Samweli 6). Kwahiyo Netanyahu ameamua kuitwaa Gaza kutoka katika mikono ya maadui zake wa zamani kwa kuzingatia ramani/mipaka ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao.

Nabii Amosi na Zekaria ni manabii walioitabiria Gaza hukumu kwa sababu ya uovu wake, lakini pia walionyesha kuwa siku moja itakuwa chini ya utawala wa Bwana (Amosi 1:6-7, Zekaria 9:5-7). Kinachoendelea sasa huko Gaza ni dalili ya kutimia kwa unabii huo.

Wasiosoma Biblia hawawezi kuelewa sana jambo hilo. Kwa nje linaonekana la kisiasa zaidi, lakini kwa ndani ni jambo linalotimiza mpango kamili wa Mungu wa kuwapa Israeli ardhi yote aliyowaahidi.

Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukweli huo wakakubali kuhamia katika nchi zilizokubali kuwafadhili.
Vip huyo mungu angewaahidi Tz yako ungekuwa tiyari kuhama na kuachia kila kitu kilicho chako ili waishi kwenye nchi yao ya ahadi?
 
Israeli bado inafuata sheria ya Musa ya jino kwa jino, walichokozwa na Hamas, watu wao wakauliwa. Sasa wanajibu mapigo. Wataendelea hivyo mpaka Yesu atakapokuja kuwaokoa kutoka katika giza hilo la kutoamini kwamba Yesu ni Mwokozi. Watakuja kutubu
Wanafata sheria ya Netanyahu wapi Mussa na wapi hao hata aibu kusema Mussa ana tabia ya hao. Jaribu kuficha ujinga wako. Afu Yesu utamsubiri sana wewe na wajukuu zako
 
Hahaa. Umekaa kwenye kiwanja cha mtu, mwenyewe anakuja, anakuambia umpishe unamjibu kwanini msikae pamoja?

Bado unadanganyika kwamba Biblia ni hadithi za kufikirika?! Kama huiamini Biblia, waamini Archaeologists na historians waliotoa vielelezo vinavyothibitisha kuwa Biblia sio hadithi za kutungwa.

Israeli ni taifa special sana mbele za Mungu ndio sababu linafanikiwa katika mipango yake. Hujiulizi kwanini mataifa yote makubwa na UN wanaona kinachoendelea Gaza lakini wameshikwa na ganzi. Mungu yuko upande wa Israeli. Anawapigania.
Taifa La Mungu waliopitisha sheria ya ushoga...?

Mungu gani huyo atabariki taifa lina laana...
 
Tafuta hotuba za Netanyahu utasikia anavyosema wazi kabisa kwamba mipaka ya Israeli imewekwa na Mungu. Gaza ni sehemu ya eneo la Israeli. Kama wewe ni mwerevu kashindane na IDF uone kama utaweza kuwazuia kuitwaa Gaza.

hizi dini zinawapoteza sana fikra wakuu
 
Vip huyo mungu angewaahidi Tz yako ungekuwa tiyari kuhama na kuachia kila kitu kilicho chako ili waishi kwenye nchi yao ya ahadi?
Israel ilianzishwa na wahuni wachache walio na nia ovu pale Middle East wakisaidiwa na collective west na wakitumia biblia kama nyenzo ya kutakatisha uhalifu wao ili wapate support , lakini sasa watu wengi wakiwemo wakristo na watu wa dini tofauti walio elimika wamewastukia hao wayahudi wa mchongo...

Unakwenda kuvamia nchi ya mtu kwa kisingizio kwamba uliahidiwa hio nchi miaka 3000 iliyopita.. .. yaani ni sababu ya kishenzi na kijinga kweli kweli...

Maana hilo taifa Mungu hajabariki chochote pale , na hahusiki kwa namna yeyote..
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Haki ni nini / ipi na kwa mujibu wa nani ?; Unajua hata maana ya Haki ?

Kama deed inayofanywa na A inamuumiza B unadhani kwa perception ya B hio itakuwa Haki kwake ?!!!

  • Thanks
Reactions: Lax
Israel ilianzishwa na wahuni wachache walio na nia ovu pale Middle East wakisaidiwa na collective west na wakitumia biblia kama nyenzo ya kutakatisha uhalifu wao ili wapate support , lakini sasa watu wengi wakiwemo wakristo na watu wa dini tofauti walio elimika wamewastukia hao wayahudi wa mchongo...

Unakwenda kuvamia nchi ya mtu kwa kisingizio kwamba uliahidiwa hio nchi miaka 3000 iliyopita.. .. yaani ni sababu ya kishenzi na kijinga kweli kweli...

Maana hilo taifa Mungu hajabariki chochote pale , na hahusiki kwa namna yeyote..
Mambo kama ya mtoa mada ndo huwa yananifanya niamini kuwa urokole ni ugonjwa wa akili.
 
Ukiambiwa hapo unapoishi ni kiwanja cha mtu, hama, utajibu " niende wapi?"

Netanyahu na IDF sio Wakristo. Sisi Wakristo tukipigwa shavu la kushoto, tunageuza la kulia. Wao bado wanaongozwa na sheria ya Agano la Kale ya jino kwa jino. Kwahiyo hawaoni vibaya kulipa kisasi. Si unakumbuka Hamas iliwaua Waisraeli 1200 na kuteka wengi? Ndio sababu wanapiga majumba na wala hawajali wanaokufa kwa njaa!!
Fake news na information netanyau ni mtu wa Ukrain sio myahudi wale wanhalalisha damu za watu kama walivyofjanya congo
 
Israeli ya yale Makabila 12 ya Watoto wa Jakobo au hii Israel yenye Mayahudi wa Ethiopia, Waashkenazi, Wasephardi, Waizrahi, Wakristo na Waislam....
 
hili ni taifa haramu and the americans know it

harry truman , 33rd US president 1945 -1953

View: https://www.youtube.com/watch?v=uqV2K9sO3sI&list=PLrMQhJOfzdButrnUz7fNKHxBGNjEi5lAS&index=3

hapa anakiri ilibidi wawatoe mdogomdogo kwa sababu huwezi toa watu milion 6 na kuwajaza na milioni 6 wengine kwa mpigo

View: https://www.youtube.com/watch?v=N0DvO72fuG4&list=PLrMQhJOfzdButrnUz7fNKHxBGNjEi5lAS&index=8

overall summary

View: https://www.youtube.com/shorts/cCzOufp9s-w

Maajabu hii ID yako au imedukuliwa ? Wewe si ulikuwa ukitetea Wahayudi mbona umechange ghafla mkuu ?
 
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao tangu enzi za Ibrahimu!

Mungu aliwaahidi wazao wa Ibrahimu kuwa atawapa eneo linaloanzia Mto wa Misri hadi Mto Frati (Mwanzo 15:18). Eneo hilo linajumuisha Gaza!

Ukisoma Maandiko kwa makini utaona kuwa Gaza iko ndani ya nchi ya Kanaani. Yoshua alipowaongoza Waisraeli kuingia Kanaani, Gaza ilitajwa kama moja ya miji waliyopewa kuimiliki (Yoshua 13:2-3). Hata hivyo hawakuweza kuimiliki kikamilifu wakati huo, lakini bado ilikuwa sehemu ya urithi wao.

Kama umesoma habari za Wafilisti, basi Gaza ilikuwa ndiyo ngome ya Wafilisti, maadui wakuu wa Israeli. Biblia inasema Wafilisti waliipinga Israeli mara kwa mara (Waamuzi 16, 1 Samweli 6). Kwahiyo Netanyahu ameamua kuitwaa Gaza kutoka katika mikono ya maadui zake wa zamani kwa kuzingatia ramani/mipaka ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao.

Nabii Amosi na Zekaria ni manabii walioitabiria Gaza hukumu kwa sababu ya uovu wake, lakini pia walionyesha kuwa siku moja itakuwa chini ya utawala wa Bwana (Amosi 1:6-7, Zekaria 9:5-7). Kinachoendelea sasa huko Gaza ni dalili ya kutimia kwa unabii huo.

Wasiosoma Biblia hawawezi kuelewa sana jambo hilo. Kwa nje linaonekana la kisiasa zaidi, lakini kwa ndani ni jambo linalotimiza mpango kamili wa Mungu wa kuwapa Israeli ardhi yote aliyowaahidi.

Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukweli huo wakakubali kuhamia katika nchi zilizokubali kuwafadhili.
Maagizo hayo toka Biblia yanatekelezwq kwa ukatili mkubwa sana.
Iweje Israel aende kuchukua ardhi ya wafilisti ambao ni adui zao toka awali?
 
Toka useme kufunga kuliombea taifa katika hali hii tete maombi hayo hayatajibiwa na ya kujipendekeza, nakuona kama matako tu ww mlokole
 
Maajabu hii ID yako au imedukuliwa ? Wewe si ulikuwa ukitetea Wahayudi mbona umechange ghafla mkuu ?
hapana mkuu, huyu ni mimi na nipo hivi kila siku.

na hata ile siku umeniambia natetea zio regime --- nakiri kua sikukuelewa unamaanisha nini
 
Setfree Mtumishi naona Leo umekuja na upanga ambao ambao mliuficha katika
Kumbukumbu la Torati 20:16
“Lakini katika miji ya mataifa haya ambayo Mwenyezi-Mungu Mungu wenu anawapeni kuwa urithi, hamtawaacha hai chochote kilicho hai".
Alafu unawakataa wakati Yesu alisema

Mt 5:17-18 SUV​

BHNSUVNenoSRUV
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.
 
Hahaa. Umekaa kwenye kiwanja cha mtu, mwenyewe anakuja, anakuambia umpishe unamjibu kwanini msikae pamoja?

Bado unadanganyika kwamba Biblia ni hadithi za kufikirika?! Kama huiamini Biblia, waamini Archaeologists na historians waliotoa vielelezo vinavyothibitisha kuwa Biblia sio hadithi za kutungwa.

Israeli ni taifa special sana mbele za Mungu ndio sababu linafanikiwa katika mipango yake. Hujiulizi kwanini mataifa yote makubwa na UN wanaona kinachoendelea Gaza lakini wameshikwa na ganzi. Mungu yuko upande wa Israeli. Anawapigania.
Nakuunga mkono mama mchungaji.Bwana asifiwe sana.Amen.🫸🫷😎
 
Back
Top Bottom