Kama ulikuwa hujui, Waisraeli wana haki ya kuichukua Gaza! Ushahidi huu hapa

Ushasema Wahamiaji. Means kwamba Wanatambulika kuwa hawana asili ya Marekani na Waliingia Marekani wakitokea mataifa mengine. Even though sihalalishi anachokifanya Trump.

Lakini mfano wako hauendani na Uzi wako. Waisrael pale Palestine wao ndio wakimbizi kwa sababu wametoka huko walipotoka Wamevamia Ardhi ya Watu Huku wakidai kuwa wameahidiwa.

Mfano Tanzania waje Watu katika Majirani zetu waseme hii Tanzania tumepekuwa Vitabu vyetu vya kale tumekuta ni nchi yetu tumeahidiwa kwaiyo mtupishe. Jee hilo litatuingia akilini??
Mipaka ya eneo ambalo Israeli inapaswa kurithi iliwekwa na Mungu takriban mwaka 2000KK. Kama Wapalestina wanadai eneo wanalokaa ni lao, ni nani aliyewapa, na ilikuwa mwaka gani
 
Uyahudi na uzayuni ni mambo mawili tofauti.

Hawa wakristu wa mwendo kasi, ambao wanajaza gasi kwa kupuliza mitungi kwa mdomo, hawajitambui

Mazayuni hawana lolote na wakristu. Wana agenda zao wanazijua wenyewe
Hilo linaeleweka. Maandiko yanaeleza wazi kabisa kwamba siku inakuja Waisraeli nao Mungu atawaokoa. Hivyo Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Isitoshe Wakristo tunaitwa uzao wa Ibrahimu kwa imani.
 
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao tangu enzi za Ibrahimu!

Mungu aliwaahidi wazao wa Ibrahimu kuwa atawapa eneo linaloanzia Mto wa Misri hadi Mto Frati (Mwanzo 15:18). Eneo hilo linajumuisha Gaza!

Ukisoma Maandiko kwa makini utaona kuwa Gaza iko ndani ya nchi ya Kanaani. Yoshua alipowaongoza Waisraeli kuingia Kanaani, Gaza ilitajwa kama moja ya miji waliyopewa kuimiliki (Yoshua 13:2-3). Hata hivyo hawakuweza kuimiliki kikamilifu wakati huo, lakini bado ilikuwa sehemu ya urithi wao.

Kama umesoma habari za Wafilisti, basi Gaza ilikuwa ndiyo ngome ya Wafilisti, maadui wakuu wa Israeli. Biblia inasema Wafilisti waliipinga Israeli mara kwa mara (Waamuzi 16, 1 Samweli 6). Kwahiyo Netanyahu ameamua kuitwaa Gaza kutoka katika mikono ya maadui zake wa zamani kwa kuzingatia ramani/mipaka ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao.

Nabii Amosi na Zekaria ni manabii walioitabiria Gaza hukumu kwa sababu ya uovu wake, lakini pia walionyesha kuwa siku moja itakuwa chini ya utawala wa Bwana (Amosi 1:6-7, Zekaria 9:5-7). Kinachoendelea sasa huko Gaza ni dalili ya kutimia kwa unabii huo.

Wasiosoma Biblia hawawezi kuelewa sana jambo hilo. Kwa nje linaonekana la kisiasa zaidi, lakini kwa ndani ni jambo linalotimiza mpango kamili wa Mungu wa kuwapa Israeli ardhi yote aliyowaahidi.

Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukweli huo wakakubali kuhamia katika nchi zilizokubali kuwafadhili.
Hivi ujinga huu sisi kama Watanzania unatuhusu nini? Toka lini Waisrael au Waarab wakajali historia yetu sisi Watanzania?
 
Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukwella

Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao tangu enzi za Ibrahimu!

Mungu aliwaahidi wazao wa Ibrahimu kuwa atawapa eneo linaloanzia Mto wa Misri hadi Mto Frati (Mwanzo 15:18). Eneo hilo linajumuisha Gaza!

Ukisoma Maandiko kwa makini utaona kuwa Gaza iko ndani ya nchi ya Kanaani. Yoshua alipowaongoza Waisraeli kuingia Kanaani, Gaza ilitajwa kama moja ya miji waliyopewa kuimiliki (Yoshua 13:2-3). Hata hivyo hawakuweza kuimiliki kikamilifu wakati huo, lakini bado ilikuwa sehemu ya urithi wao.

Kama umesoma habari za Wafilisti, basi Gaza ilikuwa ndiyo ngome ya Wafilisti, maadui wakuu wa Israeli. Biblia inasema Wafilisti waliipinga Israeli mara kwa mara (Waamuzi 16, 1 Samweli 6). Kwahiyo Netanyahu ameamua kuitwaa Gaza kutoka katika mikono ya maadui zake wa zamani kwa kuzingatia ramani/mipaka ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao.

Nabii Amosi na Zekaria ni manabii walioitabiria Gaza hukumu kwa sababu ya uovu wake, lakini pia walionyesha kuwa siku moja itakuwa chini ya utawala wa Bwana (Amosi 1:6-7, Zekaria 9:5-7). Kinachoendelea sasa huko Gaza ni dalili ya kutimia kwa unabii huo.

Wasiosoma Biblia hawawezi kuelewa sana jambo hilo. Kwa nje linaonekana la kisiasa zaidi, lakini kwa ndani ni jambo linalotimiza mpango kamili wa Mungu wa kuwapa Israeli ardhi yote aliyowaahidi.

Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukweli huo wakakubali kuhamia katika nchi zilizokubali kuwafadhili.
Subiri waje hamas wa kivule na Manyoni wakutukane
It sums up everything....little knowledge about how things are made in the universe.

Mpaka leo mnaleta hadithi za kufikirika. Kwanini wasiishi pamoja kama ndugu na kila mtu akaendelea na 50 zake?
Hujui mafundisho ya kiislamu yamesemaje kuhusu Israel!!!!!??? Hawawezi kuishi pamoja wale
 
Mipaka ya eneo ambalo Israeli inapaswa kurithi iliwekwa na Mungu takriban mwaka 2000KK. Kama Wapalestina wanadai eneo wanalokaa ni lao, ni nani aliyewapa, na ilikuwa mwaka gani
Hujanijibu swali langu. Waisrael kabla ya Kupewa hiyo Kanaan walikuwa wanakaa Wapi??

Nakuuliza Maswali Mengine. Wale waisrael Wanaiamini Biblia Yako?? Wanamuamini Mungu unaemuamini Wewe?? Wanamuamini Yesu??

Narudia Swali langu la Msingi tena. Hapa Tanzania wakitokea watu from no where wakasema Mungu wao kawaambia hii Tanzania ni nchi yao ya Ahadi waliyoahidiwa miaka mingi iliyopita. Madai yao hayo yatakuwa na mashiko kwetu??
 
Ukiambiwa hapo unapoishi ni kiwanja cha mtu, hama, utajibu " niende wapi?"

Netanyahu na IDF sio Wakristo. Sisi Wakristo tukipigwa shavu la kushoto, tunageuza la kulia. Wao bado wanaongozwa na sheria ya Agano la Kale ya jino kwa jino. Kwahiyo hawaoni vibaya kulipa kisasi. Si unakumbuka Hamas iliwaua Waisraeli 1200 na kuteka wengi? Ndio sababu wanapiga majumba na wala hawajali wanaokufa kwa njaa!!
Hao akina Netanyau ni makafiri TU, je unawajua Wana wa Israel halisi? Kutokana na majivuni Yao wamewabagua Wana halisi ambao asili Yao ni black(chocolate) na wengi wa wako Ethiopia. Israel ya Sasa ni genge la wahuni wanaoshirikiana kuhakikisha middle east haindelei hakuna nchi yenye power ili kulinda maslahi Yao, wanatengeneza mazingira ili muone Wana tenda ya halali azma Yao ni utajiri wagesi uliopo ukanda wa Gaza, kingine wayahudi halisi walioshika Torah kwao kuishi na watu wengine sio shida na hawawezi kulazimika kuumiza wengine ili waishi wao Kwa maana makazi ya muumini sio hapa duniani hivyo nyie endeleeni kusapot Zionism mkizani mnasopoti watu wa dini wayahudi.
 
Hilo linaeleweka. Maandiko yanaeleza wazi kabisa kwamba siku inakuja Waisraeli nao Mungu atawaokoa. Hivyo Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Isitoshe Wakristo tunaitwa uzao wa Ibrahimu kwa imani.
Uzao wa Ibrahim Hata waislam ni uzao wa Ibrahim wao Wana u special Gani na uhalali Gani wa kutesa wengine?
 
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao tangu enzi za Ibrahimu!

Mungu aliwaahidi wazao wa Ibrahimu kuwa atawapa eneo linaloanzia Mto wa Misri hadi Mto Frati (Mwanzo 15:18). Eneo hilo linajumuisha Gaza!

Ukisoma Maandiko kwa makini utaona kuwa Gaza iko ndani ya nchi ya Kanaani. Yoshua alipowaongoza Waisraeli kuingia Kanaani, Gaza ilitajwa kama moja ya miji waliyopewa kuimiliki (Yoshua 13:2-3). Hata hivyo hawakuweza kuimiliki kikamilifu wakati huo, lakini bado ilikuwa sehemu ya urithi wao.

Kama umesoma habari za Wafilisti, basi Gaza ilikuwa ndiyo ngome ya Wafilisti, maadui wakuu wa Israeli. Biblia inasema Wafilisti waliipinga Israeli mara kwa mara (Waamuzi 16, 1 Samweli 6). Kwahiyo Netanyahu ameamua kuitwaa Gaza kutoka katika mikono ya maadui zake wa zamani kwa kuzingatia ramani/mipaka ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao.

Nabii Amosi na Zekaria ni manabii walioitabiria Gaza hukumu kwa sababu ya uovu wake, lakini pia walionyesha kuwa siku moja itakuwa chini ya utawala wa Bwana (Amosi 1:6-7, Zekaria 9:5-7). Kinachoendelea sasa huko Gaza ni dalili ya kutimia kwa unabii huo.

Wasiosoma Biblia hawawezi kuelewa sana jambo hilo. Kwa nje linaonekana la kisiasa zaidi, lakini kwa ndani ni jambo linalotimiza mpango kamili wa Mungu wa kuwapa Israeli ardhi yote aliyowaahidi.

Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukweli huo wakakubali kuhamia katika nchi zilizokubali kuwafadhili.
Ndio wazungu wanatuita ngozi ya TAA CALL kwa point kama hizi kuzibali......
hata fisihemu wanayo haki kimamlaka kuwa huwa ngozi ya taa call kama wewe
 
unaamini upuuzi ulioandikwa na wazungu kwenye biblia!
 
We tatizo lako Paulo kawaharibuni akili walio pewa hiyo ardhi ni wafuasi wa Mussa ambao walio fata mafunzo ya Taurati sa we na Netanyahu mnafata mafunzo ya Taurati ya Mussa?

Je Taurati inasema nini kuhusu kuuwa?

Mussa alivyo kuwa akisali alisali kama Wayahudi au Waislam?

We unauhakika Mussa alikuwa Myahudi au Muislam? Hebu nipeni andiko wapi Mungu kasema uyahudi na ukristo ni dini zake?

We unajua nini tofauti kati ya Bani Israel au kwa msemo mwingine watoto wa Yakobo na Jewish au Yahudi?
 
Hahaa. Umekaa kwenye kiwanja cha mtu, mwenyewe anakuja, anakuambia umpishe unamjibu kwanini msikae pamoja?

Bado unadanganyika kwamba Biblia ni hadithi za kufikirika?! Kama huiamini Biblia, waamini Archaeologists na historians waliotoa vielelezo vinavyothibitisha kuwa Biblia sio hadithi za kutungwa.

Israeli ni taifa special sana mbele za Mungu ndio sababu linafanikiwa katika mipango yake. Hujiulizi kwanini mataifa yote makubwa na UN wanaona kinachoendelea Gaza lakini wameshikwa na ganzi. Mungu yuko upande wa Israeli. Anawapigania.

Unamuamini Yesu, kama bwana na Mwokozi?

Nani aliyemuua Yesu? Mpalestina?
 
We tatizo lako Paulo kawaharibuni akili walio pewa hiyo ardhi ni wafuasi wa Mussa ambao walio fata mafunzo ya Taurati sa we na Netanyahu mnafata mafunzo ya Taurati ya Mussa?

Je Taurati inasema nini kuhusu kuuwa?

Mussa alivyo kuwa akisali alisali kama Wayahudi au Waislam?

We unauhakika Mussa alikuwa Myahudi au Muislam? Hebu nipeni andiko wapi Mungu kasema uyahudi na ukristo ni dini zake?

We unajua nini tofauti kati ya Bani Israel au kwa msemo mwingine watoto wa Yakobo na Jewish au Yahudi?
Ipo kazi! Sisi wanyantuzu wa Simiyu ambao hatuna dini hatima yetu ni nn huko kwa Mungu? Au peponi mtaenda ninyi tu mnaofata mila na desturi za waarabu pamoja na waarabu wenyewe?
 
Israeli bado inafuata sheria ya Musa ya jino kwa jino, walichokozwa na Hamas, watu wao wakauliwa. Sasa wanajibu mapigo. Wataendelea hivyo mpaka Yesu atakapokuja kuwaokoa kutoka katika giza hilo la kutoamini kwamba Yesu ni Mwokozi. Watakuja kutubu
Hili jibu lako tayari linakuweka hatiani,kile unachotakiwa kukilaani "kama ni mkristo wa kweli" ndicho unachokihalalisha.
Hapa unakiri kwamba Waisrael bado wapo kwenye giza la upotevu, nakwamba watasalia kwenye uovu hadi pale Yesu atakapokuja kuwaokoa, na baada ya kumwamini mwokozi wao "Yesu" ndio watatubu dhambi zao.
Sawa, hao ni Waisrael. Vipi wewe mkristo unaetetea na kufurahia maovu wanayoyafanya haliyakuwa unajua wafanyao hivyo wapo gizani,wanasubiri uokovu ambao wewe umeshakufikia tayari!?
 
Exactly may you be blessed.....uzi umeumaliza hapa Kwa mwenye kufikiri
 
Back
Top Bottom