Kama ulikuwa hujui, Waisraeli wana haki ya kuichukua Gaza! Ushahidi huu hapa

Hahaa. Umekaa kwenye kiwanja cha mtu, mwenyewe anakuja, anakuambia umpishe unamjibu kwanini msikae pamoja?

Bado unadanganyika kwamba Biblia ni hadithi za kufikirika?! Kama huiamini Biblia, waamini Archaeologists na historians waliotoa vielelezo vinavyothibitisha kuwa Biblia sio hadithi za kutungwa.

Israeli ni taifa special sana mbele za Mungu ndio sababu linafanikiwa katika mipango yake. Hujiulizi kwanini mataifa yote makubwa na UN wanaona kinachoendelea Gaza lakini wameshikwa na ganzi. Mungu yuko upande wa Israeli. Anawapigania.
uyo mungu wao ni **** tu kwa kinachoendelea GAZA
 
Sisi hatuna dini,kwa hiyo inatakiwa kumbe wote tuwe waisilamu halafu twende Saudia kuhij? Sasa na wahadzabe nao kumbe wanatakiwa wasilimu wafuate na mila na desturi za waarabu?
Nani anakuambia Uislam ni desteru ya kiarabu, hivi we hujui warabu wako wakristo na wayahudi.

Uislam ni dini ya Mitume wote kumuabudu Mungu mmoja tu ndio Uislam
 
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao tangu enzi za Ibrahimu!

Mungu aliwaahidi wazao wa Ibrahimu kuwa atawapa eneo linaloanzia Mto wa Misri hadi Mto Frati (Mwanzo 15:18). Eneo hilo linajumuisha Gaza!

Ukisoma Maandiko kwa makini utaona kuwa Gaza iko ndani ya nchi ya Kanaani. Yoshua alipowaongoza Waisraeli kuingia Kanaani, Gaza ilitajwa kama moja ya miji waliyopewa kuimiliki (Yoshua 13:2-3). Hata hivyo hawakuweza kuimiliki kikamilifu wakati huo, lakini bado ilikuwa sehemu ya urithi wao.

Kama umesoma habari za Wafilisti, basi Gaza ilikuwa ndiyo ngome ya Wafilisti, maadui wakuu wa Israeli. Biblia inasema Wafilisti waliipinga Israeli mara kwa mara (Waamuzi 16, 1 Samweli 6). Kwahiyo Netanyahu ameamua kuitwaa Gaza kutoka katika mikono ya maadui zake wa zamani kwa kuzingatia ramani/mipaka ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao.

Nabii Amosi na Zekaria ni manabii walioitabiria Gaza hukumu kwa sababu ya uovu wake, lakini pia walionyesha kuwa siku moja itakuwa chini ya utawala wa Bwana (Amosi 1:6-7, Zekaria 9:5-7). Kinachoendelea sasa huko Gaza ni dalili ya kutimia kwa unabii huo.

Wasiosoma Biblia hawawezi kuelewa sana jambo hilo. Kwa nje linaonekana la kisiasa zaidi, lakini kwa ndani ni jambo linalotimiza mpango kamili wa Mungu wa kuwapa Israeli ardhi yote aliyowaahidi.

Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukweli huo wakakubali kuhamia katika nchi zilizokubali kuwafadhili.

View: https://youtu.be/p-hbJvp7aAY
 
Shida mnaipuuza Biblia. Hayo maswali mbona majibu yote yako wazi kwenye Biblia?

Biblia ipi ??? Satanic Bible, NKJV, KJV, AV, Queen James Version , NIV au maelfu ya biblia tofauti ??

Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao tangu enzi za Ibrahimu!

Mungu aliwaahidi wazao wa Ibrahimu kuwa atawapa eneo linaloanzia Mto wa Misri hadi Mto Frati (Mwanzo 15:18). Eneo hilo linajumuisha Gaza!

Ukisoma Maandiko kwa makini utaona kuwa Gaza iko ndani ya nchi ya Kanaani. Yoshua alipowaongoza Waisraeli kuingia Kanaani, Gaza ilitajwa kama moja ya miji waliyopewa kuimiliki (Yoshua 13:2-3). Hata hivyo hawakuweza kuimiliki kikamilifu wakati huo, lakini bado ilikuwa sehemu ya urithi wao.

Kama umesoma habari za Wafilisti, basi Gaza ilikuwa ndiyo ngome ya Wafilisti, maadui wakuu wa Israeli. Biblia inasema Wafilisti waliipinga Israeli mara kwa mara (Waamuzi 16, 1 Samweli 6). Kwahiyo Netanyahu ameamua kuitwaa Gaza kutoka katika mikono ya maadui zake wa zamani kwa kuzingatia ramani/mipaka ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao.

Nabii Amosi na Zekaria ni manabii walioitabiria Gaza hukumu kwa sababu ya uovu wake, lakini pia walionyesha kuwa siku moja itakuwa chini ya utawala wa Bwana (Amosi 1:6-7, Zekaria 9:5-7). Kinachoendelea sasa huko Gaza ni dalili ya kutimia kwa unabii huo.

Wasiosoma Biblia hawawezi kuelewa sana jambo hilo. Kwa nje linaonekana la kisiasa zaidi, lakini kwa ndani ni jambo linalotimiza mpango kamili wa Mungu wa kuwapa Israeli ardhi yote aliyowaahidi.

Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukweli huo wakakubali kuhamia katika nchi zilizokubali kuwafadhili.
Acha CCM watutawale mpaka tukome..kwa akili hizi...bora ingetumika kondom kuliko kuletewa huu ujinga duniani.
 
Ubarikiwe njoo tunywe bia sasa kama Wana wa israel
 
Unatuletea bibilia alioandika matayo muisrael baada ya kuadithiwa na kuota ndoto?
 
Historia inaeleza moja ya wafalme walioua watu wengi mno kwa mikono yake tena kwa kuwachinja ni mfalme Daudi wakati huo huo alikuwa akimuomba Mungu na anafanikiwa.

Mungu ni wa ajabu sana, anaruhusu watu kuuana na kumwagana damu bila sababu zenye mashiko
 
Historia inaeleza moja ya wafalme walioua watu wengi mno kwa mikono yake tena kwa kuwachinja ni mfalme Daudi wakati huo huo alikuwa akimuomba Mungu na anafanikiwa.

Mungu ni wa ajabu sana

Historia hiyo uliipata kwa Tapeli Gwajima ??
 
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao tangu enzi za Ibrahimu!

Mungu aliwaahidi wazao wa Ibrahimu kuwa atawapa eneo linaloanzia Mto wa Misri hadi Mto Frati (Mwanzo 15:18). Eneo hilo linajumuisha Gaza!

Ukisoma Maandiko kwa makini utaona kuwa Gaza iko ndani ya nchi ya Kanaani. Yoshua alipowaongoza Waisraeli kuingia Kanaani, Gaza ilitajwa kama moja ya miji waliyopewa kuimiliki (Yoshua 13:2-3). Hata hivyo hawakuweza kuimiliki kikamilifu wakati huo, lakini bado ilikuwa sehemu ya urithi wao.

Kama umesoma habari za Wafilisti, basi Gaza ilikuwa ndiyo ngome ya Wafilisti, maadui wakuu wa Israeli. Biblia inasema Wafilisti waliipinga Israeli mara kwa mara (Waamuzi 16, 1 Samweli 6). Kwahiyo Netanyahu ameamua kuitwaa Gaza kutoka katika mikono ya maadui zake wa zamani kwa kuzingatia ramani/mipaka ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao.

Nabii Amosi na Zekaria ni manabii walioitabiria Gaza hukumu kwa sababu ya uovu wake, lakini pia walionyesha kuwa siku moja itakuwa chini ya utawala wa Bwana (Amosi 1:6-7, Zekaria 9:5-7). Kinachoendelea sasa huko Gaza ni dalili ya kutimia kwa unabii huo.

Wasiosoma Biblia hawawezi kuelewa sana jambo hilo. Kwa nje linaonekana la kisiasa zaidi, lakini kwa ndani ni jambo linalotimiza mpango kamili wa Mungu wa kuwapa Israeli ardhi yote aliyowaahidi.

Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukweli huo wakakubali kuhamia katika nchi zilizokubali kuwafadhili.
Sawa Malkia Zumaridi tumekusikia, kitu cha ajabu wayahudi hawafuati biblia. Wala sio wakristo na wanampinga YESU
 
Back
Top Bottom