Kama ulikuwa hujui, Waisraeli wana haki ya kuichukua Gaza! Ushahidi huu hapa

Kama ulikuwa hujui, Waisraeli wana haki ya kuichukua Gaza! Ushahidi huu hapa

Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao tangu enzi za Ibrahimu!

Mungu aliwaahidi wazao wa Ibrahimu kuwa atawapa eneo linaloanzia Mto wa Misri hadi Mto Frati (Mwanzo 15:18). Eneo hilo linajumuisha Gaza!

Ukisoma Maandiko kwa makini utaona kuwa Gaza iko ndani ya nchi ya Kanaani. Yoshua alipowaongoza Waisraeli kuingia Kanaani, Gaza ilitajwa kama moja ya miji waliyopewa kuimiliki (Yoshua 13:2-3). Hata hivyo hawakuweza kuimiliki kikamilifu wakati huo, lakini bado ilikuwa sehemu ya urithi wao.

Kama umesoma habari za Wafilisti, basi Gaza ilikuwa ndiyo ngome ya Wafilisti, maadui wakuu wa Israeli. Biblia inasema Wafilisti waliipinga Israeli mara kwa mara (Waamuzi 16, 1 Samweli 6). Kwahiyo Netanyahu ameamua kuitwaa Gaza kutoka katika mikono ya maadui zake wa zamani kwa kuzingatia ramani/mipaka ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao.

Nabii Amosi na Zekaria ni manabii walioitabiria Gaza hukumu kwa sababu ya uovu wake, lakini pia walionyesha kuwa siku moja itakuwa chini ya utawala wa Bwana (Amosi 1:6-7, Zekaria 9:5-7). Kinachoendelea sasa huko Gaza ni dalili ya kutimia kwa unabii huo.

Wasiosoma Biblia hawawezi kuelewa sana jambo hilo. Kwa nje linaonekana la kisiasa zaidi, lakini kwa ndani ni jambo linalotimiza mpango kamili wa Mungu wa kuwapa Israeli ardhi yote aliyowaahidi.

Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukweli huo wakakubali kuhamia katika nchi zilizokubali kuwafadhili.
Haya mambo humu duniani yapo kama maigizo fulani .
Msingi wa vita zote ni kati ya wema na ubaya.
Wema utashinda Ubaya .

Waarabu wakiwa wamoja ni hatari kwa uhai wa binasamu wa dini nyungine kuliko mabomu ya nyukilia .

R
 
Wale wapalestina walioko Gaza waende wapi?
Israel wametumwa na nani kuwaua wale na njaa?

Is the policy sustainable for the future of Israel and the mankind?
Alietowa mada kwa mwanaume apime tu marina ataozesha viti hayo uliomuliza hawez kujibu wapi kwenye hyo biblia imesema ua watt na wanawaķe
 
Nani anaye kuambia hakutahiriwa alizaliwa kisha tahiriwa kama hujui.. Na wako wengine wanasema babu yake Abdul Muttalib alimkata jando baada ya siku 7.
Leta ushahidi wa maandiko kwenye Quran. Yote yalikuwaga govi pamoja na maswahaba. Unajiita uzao wa Ibrahim wakati govi? Unaiga kila kitu kutoka kwa wayahudi akaogopa tohara kisa kitu chenye makali chenye ncha kali. Uislamu NI maigizo.

Haya weka aya hapa kwenye Quran muddy alitahiriwa. Nyau ww!
 
Leta ushahidi wa maandiko kwenye Quran. Yote yalikuwaga govi pamoja na maswahaba. Unajiita uzao wa Ibrahim wakati govi? Unaiga kila kitu kutoka kwa wayahudi akaogopa tohara kisa kitu chenye makali chenye ncha kali. Uislamu NI maigizo.

Haya weka haya hapa kwenye Quran muddy alitahiriwa. Nyau ww
We ushahidi wako upo wapi unacho ongea. Mimi nimeisha kuambia Prophet Muhammad alizaliwa kisha katwa jando na kuna wengine wanasema babu yake alimkata jando alipofika umri wa miaka 7. Dalili zipo kwenye hadithi lakini mimi naenda na ile kazaliwa kisha katwa jando.

Mimi kwenye family yangu na pia upande ya family ya mke wangu, wako watoto karibu wanne tunawajua wamezaliwa wameisha katwa jando. Wawili walienda Hospita kufanyiwa kidogo marekebisho mmoja tundu la kukojolea lilielekea chini na mmoja kiasi ngozi ilikuwa kama haiko sawa sawa. Wawili hawakuwa na lolote jando zao zilikiwa hazihitajii marekebisho ya aina yoyote ile.
 
Leta ushahidi wa maandiko kwenye Quran. Yote yalikuwaga govi pamoja na maswahaba. Unajiita uzao wa Ibrahim wakati govi? Unaiga kila kitu kutoka kwa wayahudi akaogopa tohara kisa kitu chenye makali chenye ncha kali. Uislamu NI maigizo.

Haya weka haya hapa kwenye Quran muddy alitahiriwa. Nyau ww
Wewe ndiye unaedai hajatahiliwa halafu hujaleta Aya wala Hadithi,
Kwanza kuna amri alizopewa Nabii Ibrahim (A.S) na akazitekeleza kwa utiifu katika Surat Al-Baqarah (2:124):

وَإِذِ ٱبْتَلَىٰٓ إِبْرَٰهِـۧمَ رَبُّهُۥ بِكَلِمَـٰتٍۢ فَأَتَمَّهُنَّ ۖ قَالَ إِنِّى جَاعِلُكَ لِلنَّاسِ إِمَامًۭا ۖ قَالَ وَمِن ذُرِّيَّتِى ۖ قَالَ لَا يَنَالُ عَهْدِى ٱلظَّـٰلِمِينَ

"Na (kumbuka) Mola wake Mlezi alipomjaribu Ibrahim kwa maneno (amri mbalimbali), naye akazitimiza. (Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika Mimi nitakufanya kuwa kiongozi wa watu. (Ibrahim) akasema: Na katika kizazi changu? (Mwenyezi Mungu) akasema: Ahadi Yangu haiwafikii madhalimu."
(Qur'an 2:124)

Neno "بِكَلِمَاتٍ" (kwa maneno) limefasiriwa na wanazuoni kuwa ni amri au mitihani mbalimbali kutoka kwa Allah ambazo ni Kujenga Al-Kaaba, Kuhama kwa ajili ya Allah, kufanya tohara, Kutoa sadaka na Kujitolea kumchinja mwanawe (Ismail).

Ibrahim zote hizo alizitimiza kwa utiifu na kwa hilo ndiyo akapewa heshima ya kuwa Imam (kiongozi) kwa watu na Mtume Muhammad (s.a.w) amesema

اختتن إبراهيم وهو ابن ثمانين سنة بالقدوم
"Ibrahim alikhatana akiwa na miaka 80 kwa kutumia ‘al-qadum’ (aina ya chombo cha kukatia/kufanyia kazi ya chuma, kama shoka)." [Sahih al-Bukhari, Hadith 3356] na [Sahih Muslim].

Na Allah amehimiza kumfuata Nabii Ibrahim (A.S) katika Surat An-Nahl (16:123).

ثُمَّ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ أَنِ ٱتَّبِعْ مِلَّةَ إِبْرَٰهِيمَ حَنِيفًۭا ۖ وَمَا كَانَ مِنَ ٱلْمُشْرِكِينَ
“Kisha tukakufunulia (Ewe Muhammad) kuwa: Fuata mila ya Ibrahim, aliyejitenga na upotofu, naye hakuwa miongoni mwa washirikina.”
(Qur'an 16:123)

kwahiyo kufuata mila ya Nabii Ibrahim na Tohara(khitani) ni miongoni mwa mambo yaliyokuja kama sunan al-fitrah (mila ya maumbile) na ni ibada ambayo Nabii Ibrahim aliifanya kwa utiifu kwa Mwenyezi Mungu na Mtume Muhammad (S.A.W) akaifufua na kuihimiza.

Al-Baqarah 2:130-133

(130) Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
 
Uyahudi na uzayuni ni mambo mawili tofauti.

Hawa wakristu wa mwendo kasi, ambao wanajaza gasi kwa kupuliza mitungi kwa mdomo, hawajitambui

Mazayuni hawana lolote na wakristu. Wana agenda zao wanazijua wenyewe
Kwahiyo kuna tofauti wayahudi na wazayuni kobaz mnakazi sana
 
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, amedhamiria kuitwaa Gaza yote bila kujali kelele za mataifa yanayompinga. Ujasiri huo anaupata wapi? Katika kupitia pitia Maandiko nimegundua kumbe ni halali yake kibiblia. Waisraeli wana haki kabisa ya kuimiliki Gaza, kwa sababu ni sehemu ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao tangu enzi za Ibrahimu!

Mungu aliwaahidi wazao wa Ibrahimu kuwa atawapa eneo linaloanzia Mto wa Misri hadi Mto Frati (Mwanzo 15:18). Eneo hilo linajumuisha Gaza!

Ukisoma Maandiko kwa makini utaona kuwa Gaza iko ndani ya nchi ya Kanaani. Yoshua alipowaongoza Waisraeli kuingia Kanaani, Gaza ilitajwa kama moja ya miji waliyopewa kuimiliki (Yoshua 13:2-3). Hata hivyo hawakuweza kuimiliki kikamilifu wakati huo, lakini bado ilikuwa sehemu ya urithi wao.

Kama umesoma habari za Wafilisti, basi Gaza ilikuwa ndiyo ngome ya Wafilisti, maadui wakuu wa Israeli. Biblia inasema Wafilisti waliipinga Israeli mara kwa mara (Waamuzi 16, 1 Samweli 6). Kwahiyo Netanyahu ameamua kuitwaa Gaza kutoka katika mikono ya maadui zake wa zamani kwa kuzingatia ramani/mipaka ya eneo ambalo Mungu aliwapa kuwa urithi wao.

Nabii Amosi na Zekaria ni manabii walioitabiria Gaza hukumu kwa sababu ya uovu wake, lakini pia walionyesha kuwa siku moja itakuwa chini ya utawala wa Bwana (Amosi 1:6-7, Zekaria 9:5-7). Kinachoendelea sasa huko Gaza ni dalili ya kutimia kwa unabii huo.

Wasiosoma Biblia hawawezi kuelewa sana jambo hilo. Kwa nje linaonekana la kisiasa zaidi, lakini kwa ndani ni jambo linalotimiza mpango kamili wa Mungu wa kuwapa Israeli ardhi yote aliyowaahidi.

Inasikitisha kuona jinsi majengo ya Gaza yalivyogeuka vifusi, watu wanavyouawa Gaza kwa mabomu, na utapiamlo unavyokuwa tishio kwa watoto wa Gaza. No way out, Waisraeli wanachukua kilicho chao. Laiti Wapalestina wangeujua ukweli huo wakakubali kuhamia katika nchi zilizokubali kuwafadhili.
Kitu ambacho haukijui ni kuwa ukanda wa Gaza una mafuta mengi sana

Marekani wamemwambia Netanyau awaondoe wapalestine Ili mafuta yawe Yao peke Yao Yani Marekani na Israel

Hu ndio ukweli hizo nyingine zote ni ngonjera tu

Ibrahim alipofika kanani alinunua kipande Cha aridhi Kwa ajili ya kumzikia mkewe Sara hi inaonyesha kuwa kulikuwa na watu wanaishi

Hao watu ni akina nani waliyomkaribisha Ibrahimu?

Lakini pia Yakobo hakuzaliwa peke yake alizaliwa na nduguye Esau watoto wa Esau wanaishi wapi ? Vipi kama watoto wa Esau ndio hao wapalestine?
 
Ibrahim muddy kasimuliwa tu na waraqa. Weka ushahidi unaosema mtume Muhammad alitahiriwa.

NAJIVUNIA MIMI SI MUISLAM.

adriz
Hicho sikigezo cha kukataa kwahiyo unataka kusema na Yesu hakukutana na mafundisho ya kiyahudi ?

Leta andiko linalosema Mtume Muhammad hakutahiliwa siyo kusema bila ushahidi.
 
Back
Top Bottom