Simba SC Kwenye Mizani, Changamoto Zinazoathiri Ufanisi Wake Kwa Sasa

Simba SC Kwenye Mizani, Changamoto Zinazoathiri Ufanisi Wake Kwa Sasa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu

====

Tujadili sababu zinzoikwamisha Simba kwa Miaka ya hivi karibuni,

  • Mabadiliko ya mara kwa mara ya benchi la ufundi
  • Usajili usio na tija
  • Presha kutoka kwa mashabiki na mashindano ya kimataifa
  • uongozi
 
Ila mashabbiki wa simba mnalalamika sana. Mchezaji akisajiliwa mnamsifia kweli kweli! Ila ikatokea akavurunda hata mechi moja tu, kelele zinaanza.
 
Back
Top Bottom