Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Doumbia, amesema hana presha licha ya kuanza msimu huu bila kufanya vizuri.
Doumbia amesema ameanza taratibu, lakini bado ana matumaini ya kufanya vizuri zaidi na kuumaliza msimu kwa kiwango kizuri.Mshambuliaji huyo anakabiliwa na presha kutoka kwa mashabiki wa Simba, ambao wanahitaji kumuona akifunga magoli.
Hata hivyo, mpaka sasa bado hajafanikiwa kufungua akaunti yake ya magoli, huku akisisitiza kuwa anahitaji muda ili kuonyesha uwezo wake.