Wakuu nawasalimu kwa jina la mwenyezi Mungu (Allah). Kijana na mtoto wenu nimeamua kuanza ku-save(kutunza) fedha at least kwa mwezi 200,000 ili kwa miaka 4 nipate ka fedha ka kununua usafiri.
Ushauri ninaoomba ni je, nitawezaje kulifanikisha hili kwa ufanisi?
Najua humu kuna wakubwa zangu...