ufanisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake , mfano mzuri ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake!

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za...
  2. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake, mfano ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa serikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo mengi yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na malengo yaliyokuwa kwenye vision ya nchi za...
  3. The Sheriff

    Kuongeza ufanisi katika kupambana na Rushwa ni suala muhimu sana nchini Tanzania

    Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na ina athari mbaya kwa uchumi, maendeleo ya kijamii, na utawala wa sheria. Tanzania imeshuhudia matukio mengi ya rushwa katika miaka ya hivi karibuni, na taarifa zinaonyesha kuwa tatizo hili linaweza kuwa kubwa kuliko inavyofikiriwa. Kwa mfano, ripoti ya...
  4. NetMaster

    Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

    Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa slow na sio mzoefu hivyo biashara ilikuwa ipo ipo tu ikabidi aondoke, duka lilikaa mwezi limefungwa...
  5. Ntak

    Ni matilio gani bora ya kufungia maduara ili kuzalisha kwa ufanisi?

    Habari zenu wakuu, niko kanda ya ziwa huku kwenye mgodi x, kazi kubwa ninayofanya ni kununua mawe na kwenda kusaga mwaloni, kukamua na kuuza marudio. Miongoni mwa changamoto kubwa zinawakabili wachimbaji wa mgodi niliopo, ni ufungaji wa maduara kwa kutumia matimba/miti. Kitendo cha kufungia...
  6. Tengeneza Njia

    Apatikane Mbadala wa DAWASA na TANESCO ili kuongeza ushindani na ufanisi wa utoaji huduma

    Wadau, Katika kipindi chote cha kuona serikali tofauti tofauti hapa Tanzania kero ambazo zimekuwa zikijirudia rudia sana ni hii ya upatikanaji wa maji na umeme. Watanzania wameshazoea kuiomba serikali kupewa huduma hizi kitu ambacho ni haki yao tena ya msingi kama walipa kodi. Ifike mahali...
  7. LIKUD

    Unayetafuta ngekewa na hirizi ya Simba hivi hapa, ufanisi wake ni 100%

    Nimetokea kuupenda na kuuamini zaidi uchawi wa Mzungu kuliko uchawi wa mwafrika/Mwarabu (msingi wa uchawi wa Mwarabu na Mwafrika ni the same). Uzuri wa uchawi wa Mzungu, ukiufuata vizuri basi matokeo yake ni asilimia mia moja. Sasa leo nataka nikufundishe kuhusu dawa ya ngekewa pamoja na dawa...
  8. S

    Mambo muhimu ya kuwa nayo ili uendeshe kampuni yenye faida,tija na ufanisi hapa Tanzania

    Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
  9. L

    Roboti yasaidia kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa pombe kiwandani mkoani Anhui, China

    Roboti ya kutengeneza pombe inafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe mjini Fuyang, mkoani Anhui, China.
  10. GENTAMYCINE

    Je, kuhamishwa hamishwa Wizara kwa Bashungwa ni dalili ya Ufanisi mkubwa au 'Tunabeti' tu Uwezo wake?

    Nipo tayari kusubiria Majibu yenu (Mirejesho yenu) ya Kutukuka Great Thinkers wa JamiiForums niyasome na Nielimike zaidi.
  11. A

    Ufanisi wa serikali ya awamu ya sita

    Nitumie vigezo gani kupima ufanisi wa serikali ya awamu ya sita? 1. Wingi wa mikopo 2. Wingi wa magari ya misafara ya viongozi 3.safari za kila mara nje ya nchi 4. Porojo 5. Tozo kila mahali 6. Chanjo ya corona 7. Ufisadi 8. Sgr 9.jnhep 10. Barabara za mjini na vijijini kutokutengenezwa licha...
  12. Lord denning

    Ukweli Mchungu: Hakuna biashara Serikali inaweza kufanya kwa ufanisi

    Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu. Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa safari zangu za ndani ya Tanzania. Kuna kipindi hata namba zao za huduma kwa mteja hazipatikani...
  13. M

    SoC02 Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa, ufanywe kwa ufanisi ili Serikali ipate takwimu kwa urahisi

    Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata Huduma. Mfano unahitaji Kutibiwa kwa Njia ya Bima, Utadaiwa Cheti cha Kuzaliwa, cha serikali ya...
  14. Amani Dimile

    SoC02 Soma hii kwa ufanisi, maisha utayapatia

    Mwanangu leo kabla hujalala naomba unisikilize kidogo, ninalo neno nahitaji kukuusia huenda likakufaa kimaisha. Kama si leo basi kesho na kama si kesho basi mtondo .. Mwanangu tupo chini ya mbingu, sababu ya Mungu. Yeye asiye na majungu, mwenye upendo usio na ukungu agaae riziki kwa mafungu...
  15. Hivi punde

    Ufanisi wa kazi kwa watumishi wa umma ni mdogo sana

    Wanabodi, twende mbele, turudi nyuma, wafanya kazi wengi wa serikali (zaidi ya 70%) hawana ufanisi katika kazi zao. Ni kama serikali inawalipa mishahara ya bure kabisa. Kada za ualimu, afya, ulinzi/usalama (Polisi, Magereza, Wanajeshi), sheria(mahakimu) zinajitahidi sana hata kuingia kazini...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Tufanye yafuatayo ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika bandari yetu ya Dar es Salaam (TPA)

    Ukusanyaji wa mapato katika Bandari ya Dar es Salaam umekuwa ni changamoto tangu taifa letu lipate uhuru, tatizo hili limesababisha kufanyika mabadiliko ya wakurugenzi wa bandari (TPA) kila inapobidi kufanya hivyo tukidhani kwamba ndio dawa ya kutibu tatizo hilo. Lakini kwa wakati mwingine...
  17. Sky Eclat

    Chakula cha mchana kwa wafanyakazi kinaleta motisha kwenye ufanisi

    Chakula cha mchana makazini kina siri kubwa katika kuleta ufanisi. Wakati wa Ukoloni mashirika mengi ya watu binafsi yalitoa chakula cha mchana kwa wafanyakazi. Kwakua ubaguzi wakati ule ulikua ni wa wazi Wazungu ambao walikua ni wachache wenye nafasi za juu walitaarishiwa milo mizuri na kwa...
  18. T

    Nini kifanyike kuisafisha CCM ili iliongoze taifa kwa ufanisi maana bado wapowapo sana

    Kwa namna upepo wa kisiasa unavyovuma hapa nchini inaonyesha wazi kwamba uwezekano wa wapinzani kuchukua nchi kwa miaka ya karibuni ni mdogo sana, ingawa sijasema haiwezekani ila dalili zinaonyesha kwamba hawana huo ubavu Kwa sababu zifuatazo: 1. Kubadilibadili hoja 2. Kuvurugana kama...
  19. jingalao

    Hakuna anayetoa tathmini ya kina ya ufanisi wa Katiba ya sasa

    Inashangaza sana kuona kuna kelele za wachumia tumbo wakidai katiba mpya. Nawaita ni wachumia tumbo kwa kuwa hakuna common mwananchi anayedai katiba mpya bali ni viongozi wachache wenye ubinafsi. Zaidi sijaona andiko lolote la maana na kina kutoka kwa maprofesa wetu wenye elimu za kuunga unga...
  20. M

    Wafanyakazi wa Watanzania hata wasipoongezewa Mishahara, 85% yao ni wabadhirifu na hawakuwahi kuwa na 100% ya Ufanisi kazini

    Kuna hasara kubwa sana kwa Watanzania kutokana na Wafanyakazi kutopandishwa mishahara, maana hawatofanyakazi kwa ufanisi na wataanza kutafuta vipato vya ziada ili kujikimu. Taarifa: Godbless_lema Na usichokijua tu ni kwamba Wafanyakazi wa Kitanzania ( hasa wa Public Sector ) walishanusa Siku...
Back
Top Bottom