Ufaransa imetangaza marufuku ya kutoka nje usiku katika baadhi ya maeneo siku ya Jumatatu huku waandamanaji wakizuia lango la Jumba la Makumbusho la Louvre mjini Paris.
Hatua hiyo imechukuliwa wakati serikali ikijaribu kudhibiti hasira za wananchi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha, baada ya...