Takriban watu 10 wameuawa na wengine makumi kujeruhiwa baada ya kutokea kwa shambulio kusini mwa nchi ya Ufilipino.
Shambulio hili limetekelezwa katika eneo la Jolo ambalo wakazi wake wengi ni waumini wa dini ya Kiislamu ambako vikosi vya Serikali vinapambana dhidi ya Kikundi cha Waasi cha Abu...
Katika juhudi za kupunguza maambukizi ya #CoronaVirus, nchi ya Ufilipino imeamua kuwaachia wafungwa karibia 10,000 ili kupunguza msongamano kwenye magereza
Awali Umoja wa Mataifa ulizitaka Serikali kuweka mikakati ya kuwalinda wafungwa na ulipendekeza wale wenye uwezekano mkubwa wa kupata...
Ufilipino imeripoti kifo cha mtu mmoja kutokana na virusi vya corona, cha kwanza kilichokwisha thibitishwa kutokana na ugonjwa huo nje ya China.Takriban watu wawili walioondolewa na Ujerumani wameambukizwa virusi hivyo.
Mchina mmoja mwenye umri wa miaka 44 alifariki nchini Ufilipino leo...
Makamu wa rais wa Ufilipino ameitaja vita ya Rais wa taifa hilo, Rodrigo Duterte, dhidi ya dawa za kulevya kuwa imeshindwa.
Leni Robredo alisema ni asilimia 1 tu ya makadirio ya dawa za kusisimua zilizosambaa nchini humo aina ya 'Methamphetamine' almaarufu nchini Ufilipino kama "Shabu"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.