ufisadi kagoda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Msemakweli amjibu Yusuf Manji kuhusu KAGODA

    Msemakweli ametoa taarifa kumjibu Yusuf Manji kutokana na matangazo yake ya magazeti aliyoyatoa kuhusu wizi wa 40 bilioni/- kutoka akaunti ya EPA ya Benki Kuu kupitia kampuni ya KAGODA. Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal Taarifa kamili ya Msemakweli hii hapa: TANZANIA blog
  2. Mungi

    Ushahidi Kagoda waitikisa Serikali

    SAKATA la Kampuni ya Kagoda iliyokwapua sh bilioni 33 kutoka kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), mali ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limechukua sura mpyaa baada ya ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  3. Invisible

    Manji ajaribu kujisafisha Kashfa ya Kagoda; ajichongea!

    Wakuu, Yusufu Manji katoa taarifa yake kama inavyoonekana chini hapa... Huenda vyombo vya habari nyumbani vikatumia taarifa hii lakini ieleweke kuwa haijasainiwa, tarehe za usajili Kagoda, tarehe za usajili Quality Finance na tarehe za mikopo zimejichanganya mno... You need to be smart when...
  4. N

    Wamiliki wa Kagoda wamekamatwa ?

    Jamani habari za mchana,habari ya KAGODA imeshia wapi? sijasikia serikali kuwakamata watuhumia zaidi ya kusikia mtoa ushahidi kuhojiwa,je kuna progress yoyote katika hii kesi?naomba kujua maana hakuna kitu kilichonifurahisha kama alichokifanya MSEMAKWELI Soma pia Kagoda Agriculture Ltd...
  5. P

    Nyaraka za Kagoda: Msemakweli akataa kuhojiwa na Kamati ya EPA; Ahoji mamlaka yake

    Ndugu wana jamii, taarifa nilizoweza kupata kutoka kwenye original source, ni kwamba Rostam Aziz na Yusuph Manji wamemtafuta Kato na mwenzake waliohusika kama chambo kufungua kampuni ya kagoda ili kuwapoza. Ikumbukwe kuwa kwa msajili wa makampuni (BRELA,) majina yaliyotumika ni halisi lakini...
  6. Mzee Mwanakijiji

    Kwanini DPP Feleshi anatakiwa kuleta mashtaka dhidi ya RA na YM na wengin juu ya Kagoda

    Mkurugenzi wa Mashtaka amepewa dokezo kuwa kuna uhalifu umefanyika na ni uhalifu ambao unagusa taasisi mbalimbali nyeti na hata watu ambao tunaweza kusema ni watu maarufu. Tuhuma ambazo zimetolewa jana si ngeni lakini kilichodokezwa zaidi ni madai kwamba kilichofanyika hakikuwa wizi wa ulaghai...
  7. Plato

    CHADEMA, fafanueni tena Kagoda

    Hoja ya msemakweli ina agenda ya siri.wakati ambapo inatolewa,wakati wote alikuwa wapi? Chombo iliporipotiwa,kujiita chadema,ni kwa malengo maalum.ili ionekane sasa kuwa tuhuma zinahusiana na chadema,lakini pia mwana chadema ameitenga kagoda na ccm.ametaja majina ya watu na makusudi kuyatenga na...
  8. Invisible

    Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

    Ameitisha Press Conference, ana ushahidi... Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal Follow me... See the attachment for the evidence presented More attachments follow - https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/20934-kagoda-ni-rostam.html Kagoda: Ni Rostam...
  9. M

    MP Benson Mwang'oda:Tuambie madudu ya KAGODA

    According to available evidence from both BRELA and the Bank of Tanzania, Kagoda was officially registered on September 29, 2005, and given Certificate of Incorporation Number 54040. The registration was witnessed by nominated MP Benson Mwangonda, who at the time wrote on the documents that...
  10. nngu007

    Kagoda and all that: why the farcical secrecy?

    Saturday, 21 May 2011 23:19 Bank of Tanzania (BoT) twin tours. EPA (External Payment Arrears Account) was set up at the BoT to take care of debt arrears, which were owed to foreign suppliers by Tanzanian traders. Karl Lyimo, Dar es Salaam Clearly, the professed war against grand...
  11. Nyambala

    DPP: Ushahidi Kagoda unakaribishwa

    Du, kweli sasa naanza kuamini Rostam Aziz ndiye rais wa Tanzania. Yaani miaka yote hii hii kagoda inazungumziwa ndiyo leo DPP anaikumbuka??? Kwa nini asianze na ushahidi kutoka tume ya Mwema na Mwanyika ile ya kuchunguza EPA? Hapa hakuna ubishi, kinachotafutwa si ushahidi bali kumsafisha RA...
  12. fangfangjt

    Kagoda scandal queries resurface in Bunge

    Kagoda scandal queries resurface in Bunge Ubungo MP (Chadema), Mr John Mnyika By Mkinga Mkinga The Citizen Reporter Dodoma. Queries over the outcome of the investigation on the involvement of Kagoda Agricultural Company Limited, one of firms named in the Central Banks External Payment Areas...
  13. Mag3

    Mahoka ! Manji naye aishtaki Kagoda- imebaki Rostamu kuishtaki Dowans !

    Mmiliki wa Kagoda akwama kutokea kortini Ni katika kesi iliyofunguliwa na Manji Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara wa Dar es Salaam, Yusuf Manji dhidi ya kampuni tata ya Kagoda Agriculture Ltd., jana ilitajwa rasmi katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, huku mmiliki wa Kagoda...
  14. fangfangjt

    Manji aidai Kagoda bil 18.7

    Manji amefungua kesi dhidi ya Kagoda akiidai sh 18.7. Manji aliyedai kuidhamini kampuni tata ya Kagoda kurejesha serikalini bil 40 iliyoibiwa kutoka akaunti ya EPA, sasa anaishitaki Kagoda kwa kutomrejeshea fedha zake .. Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal Source: MwanaHALISI
  15. Ngambo Ngali

    Ukishangaa ya musa .....Manji versus Kagoda, ngoma inogile

    Kampuni ya Quality Finance Corparation Ltd (QFC) amefungua madai ya fidia ya Sh. bilioni 18.7 Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Kampuni ya Kagoda Agriculture Ltd, kama hasara kwa kiuka makubaliano ya mkopo katika ya yao Septemba 12, 2005. Kadhalika, kampuni ya QFC, imeomba mahakama itoe amri...
  16. A

    Elections 2010 Fisadi wa Kagoda jimbo la Igunga naye vipi?

    Wadau naomba mnipe nyepesi nyepesi za Igunga, Mzee wa Richmond na Kagoda Fisadi Rostam anaendeleaje? Upinzani tunapeta? Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal
  17. M

    Elections 2010 Kagoda, Meremeta, Deep Green, Buzwagi, Bandari, nk kutumika dhidi ya Kikwete

    Habari zinakuja kwenye wire ni kuwa, mgawanyiko ndani ya ccm unaendelea kufutuka na sasa ngoma ndo mwanzo inaanza. Kwa waliodhani kuwa zile kashfa zote za kumweka Kikwete ikulu mwaka 2005 zilikufa baada ya watuhumiwa wa EPA kufikishwa mahakamani, wajiandae kwa mabomu yanayotegemewa kurushwa...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kagoda, EPA zatajwa muswada wa uchaguzi

    Exuper Kachenje, Dodoma SUALA la wizi wa fedha katika akaunti ya madeni ya nje (Epa), na Kagoda, jana liliibuka na kuzua zogo wakati kambi ya upinzani ilipokuwa ikitoa maoni yake kuhusu muswada wa sheria ya gharama za uchaguzi iliyowasilishwa bungeni na serikali jana mjini Dodoma. Kuzuka kwa...
  19. Iteitei Lya Kitee

    How Kagoda man made secret BoT visits at night

    A PROMINENT business tycoon linked to Kagoda Agriculture Company made frequent night visits to the Bank of Tanzania (BoT) to finalize plans for the looting of more than 40bn/- from the central banks external payment arrears (EPA) account during 2005/06, it has now been revealed. A former...
  20. BAK

    Big breakthrough in Kagoda probe?

    Big breakthrough in Kagoda probe AT least two prominent personalities behind Kagoda Agriculture Limited company are now part of the 40bn/-embezzled from the Bank of Tanzania's external payment arrears (EPA) account via the ever-mysterious company, THISDAY has learnt. According to our...
Back
Top Bottom