Na Salim Said
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa amesema vita ya ufisadi nchini, haitafanikiwa kama serikali haitamkamata Kagoda na kumchukulia hatua kali za kisheria.
Kagoda ni kampuni inayotuhumiwa kuhusika na wizi wa fedha uliotokea katika...
Manji alirudisha fedha kwa niabaya "Kagoda" akidai kuwa aliyehusika ni marehemu baba yake. Serikali ikapokea fedha hizo na kuzijumlisha kwenye ile jumla ya Rais.
Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal
a. Kama wamerudisha fedha na serikali imekubali kupokea kuna haja ya kujua...
All EPA suspects to face trial, says DPP
2008-11-26 11:04:17
By Joyce Kisaka
Director of Public Prosecutions Elieza Feleshi said yesterday his office would prosecute all suspects linked to the siphoning of 133 billion/- from the Bank of Tanzania External Payment Arrears (EPA) account...
Wakuu,
Tuliwahi kuweka doc moja ambayo ilikuwa detailed kwa kina juu ya wahusika wote wa EPA na nahisi wengi hawakuigundua section hii. Sasa nimeonelea niziwasilishe katika mtiririko ambao hata ambao hawajajisajili wanaweza kuona wahusika hao na kujiuliza KWANINI hawajachukuliwa hatua. Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.