Hoja ya msemakweli ina agenda ya siri.wakati ambapo inatolewa,wakati wote alikuwa wapi? Chombo iliporipotiwa,kujiita chadema,ni kwa malengo maalum.ili ionekane sasa kuwa tuhuma zinahusiana na chadema,lakini pia mwana chadema ameitenga kagoda na ccm.ametaja majina ya watu na makusudi kuyatenga na...