Kutoka kwenye page ya mwanadada Mange, risiti za malipo ya bwana Abdul zimeonesha.
“Samia na mwanae walianza kufanya ufisadi tokea siku ya kwanza Samia aliporithi nchi.
Hizi ni risiti za malipo ya bilioni 2.4 ya vifaa vya ujenzi, malipo haya yalifanywa na mtoto wa mwenyekiti wa CCM, bwana...