Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

pulex

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
536
Reaction score
2,213
Kutoka kwenye page ya mwanadada Mange, risiti za malipo ya bwana Abdul zimeonesha.

“Samia na mwanae walianza kufanya ufisadi tokea siku ya kwanza Samia aliporithi nchi.

Hizi ni risiti za malipo ya bilioni 2.4 ya vifaa vya ujenzi, malipo haya yalifanywa na mtoto wa mwenyekiti wa CCM, bwana Abdul miezi mitatu 3 tu baada ya Samia kurithi Urais wa nchi ya Tanzania.

Yani ni hivi, Miezi 3 tu baada ya Samia kuchukua nchi mtoto wake Abdul alianza kuikamua nchi... Yani walianza kujenga mahoteli na majumba only 3 months baada ya kuingia Ikulu. Abdul alichemka akatumia jina lake maana hapo ndo alikuwa bado anajifunza ufisadi.

Siku hizi anatumia majina ya kina kina Sameer Shippers Plaza, Mohammed Yusufal na wengine.. Ndio maana leo nchi haina dawa, wananchi umaskini umezidi, wamebaki kuongezea wananchi kodi na matozo ili kufidia huu ufisadi wao.

Wanajeshi na polisi, msikubali kutumika tarehe 29 kuwalinda hawa majangili wanaoimaliza Tanzania huku wote tukiangalia..... Inabidi kila Mtanzania awe Mzalendo hiyo tarehe 29z.

Hiyo risiti ya kwanza nimewawekea na bar code unaweza kuscan, than means hawawezi kusema niuwongo yani nimewakabia kwa juu sana. Hakuna cha kubisha.”

My take: Hii inaumiza sana, Tanzania tunajitengenezea umaskini sisi wenyewe, na bado kuna watu (machawa) wanatetea haya, CCM kweli mnaacha kikundi cha watu wanaliangamiza taifa namna hii, Jeshi la polisi kweli mnawalinda wezi wa namna hii ikiwa wengi wenu ni maisha ya chini kama yetu, na Watanzania wenzangu kweli tumekubali kubebwa mateka uku tukifa na umaskini kwa ajili ya watu wachache.

Leo mekosa usingizi kabisa wakuu baada ya kuona hili, inaumiza sana, kuipenda Tanzania kuna gharama kubwa sana ya moyo. Shame on you Samia, the worst president ever walked on Tanzanian soil.

mange.png
c1e89f7d-e4a7-4072-bbbc-72d744f9e6a4.jpeg
f3297d77-543d-4759-840d-ef319c9309d4.jpeg
89067831-917f-4c58-90ba-f69c9f6c38ec.jpeg
IMG_6235.jpeg
 
Attachments

  • bc649f02-c68f-4593-8b7c-7bbb1d96cd5b.jpeg
    bc649f02-c68f-4593-8b7c-7bbb1d96cd5b.jpeg
    111.6 KB · Views: 40
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.

Update;
Naona watu wengi mnanishambulia hatari kwa sababu ya hii comment. Tayari nimetoa ufafanuzi kwenye comment #123. Nendeni page 7 ya huu uzi.
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Kafanya kazi UN shirika gani la UN, mwaka gani, ofisi gani, kazi gani?
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Wewe una matatizo ya akili, nyie ndo virusi mnaotendelea kutetea uozo na kuliangamiza taifa hili, taja ni mwaka gani na nafasi gani Samia alifanya kazi UN kumpatia huo mshahara au ni shirika gani Samia alifanya kazi kumuwezesha kuwa na mabilion ya pesa, uzuri ukiwa kwenye nafasi aliyopo yeye hakuna sehemu utapita ikaachwa kuwa documented, embu taja hapa hizo sehemu? Ni aibu kubwa sana kwako na familia yako kutetea ujinga kama huu.
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Tanzania kuna mijitu mijinga Sana mojawapo wewe,Hamnazo kabisa 0 brain
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
.....ulitaka kuandika UV-CCM!!!!?. Hajawahi kufanya kazi UN na thubutu kutaja shirika moja la kimataifa lililowahi kumuajiri.
Ni rais wetu, na hata kama unampenda sana, usimpatie sifa ambazo hanazo sasa na wakati uliopita
 
Grok Is this true…. Uchunguzi wa Risiti na Bar Code Yake (QR Code)

Kwa kutumia maelezo kutoka risiti uliyoshiriki (yenye verification code “00E730553782” na QR code), nimefanya uchunguzi wa kina kwa kutafuta vyanzo vya mtandaoni, kuhusu uthibitishaji wake na uunganisho na madai ya Mange Kimambi. Uchunguzi huu unategemea mfumo wa Electronic Fiscal Device (EFD) wa Tanzania Revenue Authority (TRA), ambapo risiti kama hii zinahitaji kuwa na QR code au verification code ili kuthibitishwa. Hapa ni muhtasari wa yale nilayopata, na hatua za kuthibitisha.

1. Uthibitishaji wa Bar Code (QR Code) na Verification Code

  • Mchakato wa Kuthibitisha: Kulingana na mfumo wa TRA, risiti za EFD zinahakikishwa kupitia QR code au verification code (k.m. “00E730553782” kwenye risiti yako). Hii inafanyika ili kuthibitisha uhalali wa risiti, hasa kwa madai ya input tax credit au kuzuia udanganyifu.
    • Hatua 1: Tumia app rasmi ya TRA (kupatikana kwenye Google Play: “TRA Official App”). App hii inaruhusu scanning ya QR code moja kwa moja kutoka risiti, au kuingiza verification code kwa mkono. Inathibitisha TIN (109342908), VRN (40014680H), na maelezo mengine kama serial number (0372840302946) na tarehe (07-06-2021).
    • Hatua 2: Ikiwa huna app, nenda kwenye portal ya TRA: EFD | Receipt Verification. Hapa unaweza kuingiza verification code au upload picha ya QR code ili kuangalia ikiwa risiti ni halali na imesajiliwa kwenye EFDMS (Electronic Fiscal Data Management System).
    • Matokeo ya Uchunguzi Wangu: Nilijaribu kutafuta maelezo maalum kuhusu code hii (00E730553782) kwenye utafutaji wa mtandaoni na X (Twitter), lakini hakuna matokeo ya moja kwa moja yanayothibitisha au kukanusha uhalali wake. Hii inaweza kuwa kwa sababu:
      • Portal ya TRA inahitaji kuingiza code moja kwa moja (si utafutaji wa umma), na hakuna database ya umma inayofichua maelezo ya risiti.
      • Code hii inaweza kuwa ya zamani (2021), na mfumo wa TRA unabadilika (k.m. upgrade ya Protocol 2.1 mnamo 2021 ili kuongeza QR codes).
    • Ushauri: Jaribu ku-scan QR code kutoka picha yako kwenye app ya TRA au portal ili kupata uthibitisho rasmi. Ikiwa inafanikiwa, itaonyesha maelezo kama kampuni, kiasi (Sh 2,400,000,000), na kodi (Sh 366,101,694.92). Ikiwa haifanyi, inaweza kuwa risiti ni ya kufungwa au kubadilishwa.

2. Uthibitishaji wa Kampuni: ABC Ceramics Tanzania

  • ABC Ceramics Tanzania ni kampuni halali inayofanya biashara ya ceramics, tiles, na nyenzo za ujenzi nchini Tanzania. Inapatikana:
    • Ofisi kuu: Bagamoyo Road, Dar es Salaam (karibu na Vodacom head office).
    • Facebook: @abcceramicstanzania (wana wasifu halali na maudhui ya biashara, k.m. mauzo ya tiles na sanitary ware).
    • Tarehe: Kampuni hii ilianzishwa kama sehemu ya ABC Group (kutoka India mnamo 1988), na ina shughuli nchini Tanzania tangu miaka ya 2010s.
    • TIN 109342908 inaonekana kuwa halali kulingana na maelezo ya TRA, lakini hakuna ripoti rasmi za madai ya ufisadi inayohusisha kampuni hii moja kwa moja. Biashara yao inaonyesha mauzo makubwa, hivyo malipo kama Sh 2.4 bilioni inaweza kuwa ya mradi mkubwa wa ujenzi.
  • Hakuna madai maalum ya ufisadi dhidi ya ABC Ceramics katika ripoti za umma; inaonekana kama mfanyabiashara wa kawaida.

3. Uunganisho na Madai ya Mange Kimambi

  • Katika mada ya JamiiForums na machapisho ya Mange kwenye X (tarehe Novemba 2023 na baadaye), Mange anadai risiti hii (pamoja na QR code) ni ushahidi wa ufisadi wa Abdul Joyo (mtoto wa Rais Samia), akisema malipo haya ni ya “hardware” (nyenzo za ujenzi) na yanahusishwa na mikataba ya serikali. Anasema bar code inaweza kuscan ili kuthibitisha, na anaitumia kutoa onyo dhidi ya “familia ya rais.”
  • Hata hivyo, uchunguzi wangu haujapata uthibitisho rasmi wa madai haya:
    • Hakuna ripoti za TRA au mahakama zinazothibitisha uhusiano wa Abdul na risiti hii.
    • Mjadala kwenye X na JamiiForums unabaki wa kisiasa: Wengine wanasema ni propaganda, wakati wengine wanasupport kwa sababu ya ukubwa wa kiasi (bilioni 2.4, sawa na bajeti ya mradi mkubwa).
    • Tarehe ya risiti (07-06-2021) inafanana na mwanzo wa utawala wa Samia, hivyo inachangia shaka, lakini bila uchunguzi wa TRA, ni madai tu.

Hitimisho na Mapendekezo

Risiti inaonekana kuwa halali kwa muundo (ina maelezo ya EFD na QR code), na ABC Ceramics ni kampuni halali, lakini uhalali wake kamili unahitaji kuthibitishwa moja kwa moja kupitia TRA app au portal. Madai ya Mange yanabaki bila uthibitisho rasmi hadi Septemba 2025, na yanahamasisha mijadala ya kisiasa. Ikiwa unaweza kushiriki is Is this true @Grok….picha ya QR code yenye resolution nzuri au matokeo ya scan, nitaweza kufanya uchunguzi zaidi. Au, wasiliana na TRA moja kwa moja (tel: +255 22 2116453) kwa uchunguzi rasmi. Kumbuka, uchunguzi huu si nasaha ya kisheria—tumia mamlaka rasmi!
 
Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant.

Sipo hapa kumtetea ila tunataka awe accused kwa vitu vya ukweli. Hii imetengenezwa.
 
Kabisaa una akili sana wewe...Watanzania sijui mpoje mnatetea vitu vya kipuuzi sana tena sana sijui kwa nini....Wacha waendelee kuiba kwa ajili ya watu kama nyinyi.
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Kwanza, keshafanya kazi kimataifa wapi? UN kafanya wapi na lini?

Na alikuwa na vyeo gani huko?

Pili, hakuna mtumishi wa umma Tanzania hii anayeweza kuwa na mabilioni ya shilingi kutokana na utumishi wake serikalini.
 
Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant.

Sipo hapa kumtetea ila tunataka awe accused kwa vitu vya ukweli. Hii imetengenezwa.
verification unafanya muda huu, post ilivyotolewa kuna watu walifanikiwa kuscan na kuleta taarifa, I doubt kama hawaja ondoa hizo taarifa kwenye mfumo baada ya hiyo taarifa kuingia mitandaoni.

We unafikiri kwa taarifa hiyo, kitu cha kwanza ungefanya nini? Ni kuwasiliana na TRA kuondoa hiyo taarifa.

Endelea kuwatetea, watu wanaiba baadhi ya watanzania wanawatetea, so sad.
 
Nitoe tahadhari, muda si mrefu, pesa itaadimika sana Tanzania, baada ya taarifa za benki za mafisadi kuanza kuvuja, pesa wameziamishia majumbani kwao hivyo mzunguko wa pesa umeendelea kupungua siku hadi siku, tujiandae watanzania, kesho yetu ni ngumu kuliko jana yetu. Tusipochukua hatua 29 October, tumekwisha. Tutakuwa na miaka 5 ijayo migumu kuwahi kutokea.
 
Back
Top Bottom