Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Mmeona juu hapo vibaka watetea ufisadi?

Yaani saa hizi Abdul akitajwa tu simu ya maelekezo inatua kuchekecha mambo sawa sasa risiti imeshaondolewa taarifa zake.

20250920_100611.jpg
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Unaweza kutaja nafasi alizoshika na ni kipindi gani alichofanya hizo kazi?
 
Yes, Samia Suluhu Hassan, the current President of Tanzania, worked at the United Nations earlier in her career. Before entering politics, she was employed by the United Nations World Food Programme (WFP), a key UN agency focused on global hunger relief and food security. This role was part of her early professional experience after completing her secondary education in 1977 and before she began her political career in the 1990s. She also worked as an administrator for Tanzania’s Ministry of Planning and Development during this period.
Ulivyo na akili ndogo sasa, nadhani haya maelezo wewe mwenyewe umeshindwa kuyaelewa kwa sabu ya elimu ndogo uliyo nayo.

Laiti ungeyaelewa kwanza ni nini maana yake, usingethubutu kabisa kuyaleta hapa kama hoja ya kutetea usichokielewa.
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Ukimaanisha kwamba alianza tabia za wizi tokea zamani?
UnaijuaTzs. 2.4b au unatapika tu?
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Hivi umeamua kujitoa ufahamu tu, au ni hiyo username inakutesa chochote unatapika??
Chura kiziwi lini alifanya kazi UN?
Wanaowalipa kwa kazi hii ya kuwatetea humu wanatakiwa wajitafakari sana..!!
 
Back
Top Bottom