Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Kufanya kazi UN mkuu au serikalini kwa mda mrefu haimanishi kwamba hizo ni pesa ndogo zisitiliwe mashaka labda ungekuja kutoa ushahidi kuwa amefanya kazi serikalini na yeye na mwanae wanamiliki biashara hii na hii ambayo hawezi kukosa bilion mbili mtumishi wa umma usipokuwa mwizi unawezaje kupata pesa hiyo.
 
Wewe una matatizo ya akili, nyie ndo virusi mnaotendelea kutetea uozo na kuliangamiza taifa hili, taja ni mwaka gani na nafasi gani Samia alifanya kazi UN kumpatia huo mshahara au ni shirika gani Samia alifanya kazi kumuwezesha kuwa na mabilion ya pesa, uzuri ukiwa kwenye nafasi aliyopo yeye hakuna sehemu utapita ikaachwa kuwa documented, embu taja hapa hizo sehemu? Ni aibu kubwa sana kwako na familia yako kutetea ujinga kama huu.
Huyo ni mpuuzi na ngaji la kutupwa
 
Grok Is this true…. Uchunguzi wa Risiti na Bar Code Yake (QR Code)


Kwa kutumia maelezo kutoka risiti uliyoshiriki (yenye verification code “00E730553782” na QR code), nimefanya uchunguzi wa kina kwa kutafuta vyanzo vya mtandaoni, kuhusu uthibitishaji wake na uunganisho na madai ya Mange Kimambi. Uchunguzi huu unategemea mfumo wa Electronic Fiscal Device (EFD) wa Tanzania Revenue Authority (TRA), ambapo risiti kama hii zinahitaji kuwa na QR code au verification code ili kuthibitishwa. Hapa ni muhtasari wa yale nilayopata, na hatua za kuthibitisha.


1. Uthibitishaji wa Bar Code (QR Code) na Verification Code


  • Mchakato wa Kuthibitisha: Kulingana na mfumo wa TRA, risiti za EFD zinahakikishwa kupitia QR code au verification code (k.m. “00E730553782” kwenye risiti yako). Hii inafanyika ili kuthibitisha uhalali wa risiti, hasa kwa madai ya input tax credit au kuzuia udanganyifu.
    • Hatua 1: Tumia app rasmi ya TRA (kupatikana kwenye Google Play: “TRA Official App”). App hii inaruhusu scanning ya QR code moja kwa moja kutoka risiti, au kuingiza verification code kwa mkono. Inathibitisha TIN (109342908), VRN (40014680H), na maelezo mengine kama serial number (0372840302946) na tarehe (07-06-2021).
    • Hatua 2: Ikiwa huna app, nenda kwenye portal ya TRA: EFD | Receipt Verification. Hapa unaweza kuingiza verification code au upload picha ya QR code ili kuangalia ikiwa risiti ni halali na imesajiliwa kwenye EFDMS (Electronic Fiscal Data Management System).
    • Matokeo ya Uchunguzi Wangu: Nilijaribu kutafuta maelezo maalum kuhusu code hii (00E730553782) kwenye utafutaji wa mtandaoni na X (Twitter), lakini hakuna matokeo ya moja kwa moja yanayothibitisha au kukanusha uhalali wake. Hii inaweza kuwa kwa sababu:
      • Portal ya TRA inahitaji kuingiza code moja kwa moja (si utafutaji wa umma), na hakuna database ya umma inayofichua maelezo ya risiti.
      • Code hii inaweza kuwa ya zamani (2021), na mfumo wa TRA unabadilika (k.m. upgrade ya Protocol 2.1 mnamo 2021 ili kuongeza QR codes).
    • Ushauri: Jaribu ku-scan QR code kutoka picha yako kwenye app ya TRA au portal ili kupata uthibitisho rasmi. Ikiwa inafanikiwa, itaonyesha maelezo kama kampuni, kiasi (Sh 2,400,000,000), na kodi (Sh 366,101,694.92). Ikiwa haifanyi, inaweza kuwa risiti ni ya kufungwa au kubadilishwa.

2. Uthibitishaji wa Kampuni: ABC Ceramics Tanzania


  • ABC Ceramics Tanzania ni kampuni halali inayofanya biashara ya ceramics, tiles, na nyenzo za ujenzi nchini Tanzania. Inapatikana:
    • Ofisi kuu: Bagamoyo Road, Dar es Salaam (karibu na Vodacom head office).
    • Facebook: @abcceramicstanzania (wana wasifu halali na maudhui ya biashara, k.m. mauzo ya tiles na sanitary ware).
    • Tarehe: Kampuni hii ilianzishwa kama sehemu ya ABC Group (kutoka India mnamo 1988), na ina shughuli nchini Tanzania tangu miaka ya 2010s.
    • TIN 109342908 inaonekana kuwa halali kulingana na maelezo ya TRA, lakini hakuna ripoti rasmi za madai ya ufisadi inayohusisha kampuni hii moja kwa moja. Biashara yao inaonyesha mauzo makubwa, hivyo malipo kama Sh 2.4 bilioni inaweza kuwa ya mradi mkubwa wa ujenzi.
  • Hakuna madai maalum ya ufisadi dhidi ya ABC Ceramics katika ripoti za umma; inaonekana kama mfanyabiashara wa kawaida.

3. Uunganisho na Madai ya Mange Kimambi


  • Katika mada ya JamiiForums na machapisho ya Mange kwenye X (tarehe Novemba 2023 na baadaye), Mange anadai risiti hii (pamoja na QR code) ni ushahidi wa ufisadi wa Abdul Joyo (mtoto wa Rais Samia), akisema malipo haya ni ya “hardware” (nyenzo za ujenzi) na yanahusishwa na mikataba ya serikali. Anasema bar code inaweza kuscan ili kuthibitisha, na anaitumia kutoa onyo dhidi ya “familia ya rais.”
  • Hata hivyo, uchunguzi wangu haujapata uthibitisho rasmi wa madai haya:
    • Hakuna ripoti za TRA au mahakama zinazothibitisha uhusiano wa Abdul na risiti hii.
    • Mjadala kwenye X na JamiiForums unabaki wa kisiasa: Wengine wanasema ni propaganda, wakati wengine wanasupport kwa sababu ya ukubwa wa kiasi (bilioni 2.4, sawa na bajeti ya mradi mkubwa).
    • Tarehe ya risiti (07-06-2021) inafanana na mwanzo wa utawala wa Samia, hivyo inachangia shaka, lakini bila uchunguzi wa TRA, ni madai tu.

Hitimisho na Mapendekezo


Risiti inaonekana kuwa halali kwa muundo (ina maelezo ya EFD na QR code), na ABC Ceramics ni kampuni halali, lakini uhalali wake kamili unahitaji kuthibitishwa moja kwa moja kupitia TRA app au portal. Madai ya Mange yanabaki bila uthibitisho rasmi hadi Septemba 2025, na yanahamasisha mijadala ya kisiasa. Ikiwa unaweza kushiriki is Is this true @Grok….picha ya QR code yenye resolution nzuri au matokeo ya scan, nitaweza kufanya uchunguzi zaidi. Au, wasiliana na TRA moja kwa moja (tel: +255 22 2116453) kwa uchunguzi rasmi. Kumbuka, uchunguzi huu si nasaha ya kisheria—tumia mamlaka rasmi!
Kwa ulitarajia baada ya kuvuja taarifa waache ushahidi kwenye mfumo wa TRA??
Kama mifumo sensitive ya uchagizi inaweza kuchezewa sembuse TRA
Miaka 60 adui ujinga Bado mmeshindwa kummaliza
 
Yes, Samia Suluhu Hassan, the current President of Tanzania, worked at the United Nations earlier in her career. Before entering politics, she was employed by the United Nations World Food Programme (WFP), a key UN agency focused on global hunger relief and food security. This role was part of her early professional experience after completing her secondary education in 1977 and before she began her political career in the 1990s. She also worked as an administrator for Tanzania’s Ministry of Planning and Development during this period.
🤣🤣🤣🤣🤣
Unajua alifanya WFP at what capacity, wengi tumepitia hapo na hakuna pesa za maajabu na tukaamua kuachana napo tukasonga mbele na maisha mengine. Form failure unajua alikuwa na rank gani, hata seniors hakuna anayeweza ku accumulate billions hata akifanya toka akiwa kijana mpaka retirement. Mnatetea ufisadi,uhujumu na ujambazi bila kutumia hata chembe ya akili.
 
Kwa ulitarajia baada ya kuvuja taarifa waache ushahidi kwenye mfumo wa TRA??
Kama mifumo sensitive ya uchagizi inaweza kuchezewa sembuse TRA
Miaka 60 adui ujinga Bado mmeshindwa kummaliza
1000236111.jpg
1000236110.jpg
 
Hili janamke na mwanae ni majizi yaliyokithiri, Tanganyika inakombwa kila kinachoweza kukombwa mchana kweupe halafu atokee mpuuzi aone eti nchi ina vyombo vya ulinzi na usalama na wapuuzi wengine stupidly wanaitetea hii mijambazi inayopora mali za Tanganyika.
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Halafu umeingia humu kwa kuibia ibia kwa kutumia VPN. Ajabu haziishi nchi hii
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Kuna mahali niliona umesema unakaribia miaka 40 na ulipigika sana mpaka kukaribia miaka 40 ndio umeanza tena kuinuka, 😂😂😂😂😂😂 aiseeee bro unasikitisha sana unavyoipigania hiyo familia
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.

Project Assistant wa UN hana mshahara huo acha utoto wewe ata afanye miaka 10 afikishi hizo pesa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Unajua alifanya WFP at what capacity, wengi tumepitia hapo na hakuna pesa za maajabu na tukaamua kuachana napo tukasonga mbele na maisha mengine. Form failure unajua alikuwa na rank gani, hata seniors hakuna anayeweza ku accumulate billions hata akifanya toka akiwa kijana mpaka retirement. Mnatetea ufisadi,uhujumu na ujambazi bila kutumia hata chembe ya akili.
Atupe UN ID tumsakanye UNKSPF huku.
 
Inasemekana leo TRA walivyofungua ofisi cha kwanza ni kufunga na kuiondoa ile barcode kwenye mfumo, hawakujua tokea jana watu washahakikisha
 

Attachments

  • SaveVid.Net_AQPV7OoxDYB6gqa4IjUS0QN-aMlKyaVKkxXiVaqqIedIuv9wJpB1qMBgSFqFgI4pJfxCygrzurmrzwX22P...mp4
    1.9 MB
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Wewe ni takataka la jalalani . Huna akili ni idiot . Hustahili kuwa mtanzania **** wewe
 
Back
Top Bottom