Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Grok Is this true…. Uchunguzi wa Risiti na Bar Code Yake (QR Code)


Kwa kutumia maelezo kutoka risiti uliyoshiriki (yenye verification code “00E730553782” na QR code), nimefanya uchunguzi wa kina kwa kutafuta vyanzo vya mtandaoni, kuhusu uthibitishaji wake na uunganisho na madai ya Mange Kimambi. Uchunguzi huu unategemea mfumo wa Electronic Fiscal Device (EFD) wa Tanzania Revenue Authority (TRA), ambapo risiti kama hii zinahitaji kuwa na QR code au verification code ili kuthibitishwa. Hapa ni muhtasari wa yale nilayopata, na hatua za kuthibitisha.


1. Uthibitishaji wa Bar Code (QR Code) na Verification Code


  • Mchakato wa Kuthibitisha: Kulingana na mfumo wa TRA, risiti za EFD zinahakikishwa kupitia QR code au verification code (k.m. “00E730553782” kwenye risiti yako). Hii inafanyika ili kuthibitisha uhalali wa risiti, hasa kwa madai ya input tax credit au kuzuia udanganyifu.
    • Hatua 1: Tumia app rasmi ya TRA (kupatikana kwenye Google Play: “TRA Official App”). App hii inaruhusu scanning ya QR code moja kwa moja kutoka risiti, au kuingiza verification code kwa mkono. Inathibitisha TIN (109342908), VRN (40014680H), na maelezo mengine kama serial number (0372840302946) na tarehe (07-06-2021).
    • Hatua 2: Ikiwa huna app, nenda kwenye portal ya TRA: EFD | Receipt Verification. Hapa unaweza kuingiza verification code au upload picha ya QR code ili kuangalia ikiwa risiti ni halali na imesajiliwa kwenye EFDMS (Electronic Fiscal Data Management System).
    • Matokeo ya Uchunguzi Wangu: Nilijaribu kutafuta maelezo maalum kuhusu code hii (00E730553782) kwenye utafutaji wa mtandaoni na X (Twitter), lakini hakuna matokeo ya moja kwa moja yanayothibitisha au kukanusha uhalali wake. Hii inaweza kuwa kwa sababu:
      • Portal ya TRA inahitaji kuingiza code moja kwa moja (si utafutaji wa umma), na hakuna database ya umma inayofichua maelezo ya risiti.
      • Code hii inaweza kuwa ya zamani (2021), na mfumo wa TRA unabadilika (k.m. upgrade ya Protocol 2.1 mnamo 2021 ili kuongeza QR codes).
    • Ushauri: Jaribu ku-scan QR code kutoka picha yako kwenye app ya TRA au portal ili kupata uthibitisho rasmi. Ikiwa inafanikiwa, itaonyesha maelezo kama kampuni, kiasi (Sh 2,400,000,000), na kodi (Sh 366,101,694.92). Ikiwa haifanyi, inaweza kuwa risiti ni ya kufungwa au kubadilishwa.

2. Uthibitishaji wa Kampuni: ABC Ceramics Tanzania


  • ABC Ceramics Tanzania ni kampuni halali inayofanya biashara ya ceramics, tiles, na nyenzo za ujenzi nchini Tanzania. Inapatikana:
    • Ofisi kuu: Bagamoyo Road, Dar es Salaam (karibu na Vodacom head office).
    • Facebook: @abcceramicstanzania (wana wasifu halali na maudhui ya biashara, k.m. mauzo ya tiles na sanitary ware).
    • Tarehe: Kampuni hii ilianzishwa kama sehemu ya ABC Group (kutoka India mnamo 1988), na ina shughuli nchini Tanzania tangu miaka ya 2010s.
    • TIN 109342908 inaonekana kuwa halali kulingana na maelezo ya TRA, lakini hakuna ripoti rasmi za madai ya ufisadi inayohusisha kampuni hii moja kwa moja. Biashara yao inaonyesha mauzo makubwa, hivyo malipo kama Sh 2.4 bilioni inaweza kuwa ya mradi mkubwa wa ujenzi.
  • Hakuna madai maalum ya ufisadi dhidi ya ABC Ceramics katika ripoti za umma; inaonekana kama mfanyabiashara wa kawaida.

3. Uunganisho na Madai ya Mange Kimambi


  • Katika mada ya JamiiForums na machapisho ya Mange kwenye X (tarehe Novemba 2023 na baadaye), Mange anadai risiti hii (pamoja na QR code) ni ushahidi wa ufisadi wa Abdul Joyo (mtoto wa Rais Samia), akisema malipo haya ni ya “hardware” (nyenzo za ujenzi) na yanahusishwa na mikataba ya serikali. Anasema bar code inaweza kuscan ili kuthibitisha, na anaitumia kutoa onyo dhidi ya “familia ya rais.”
  • Hata hivyo, uchunguzi wangu haujapata uthibitisho rasmi wa madai haya:
    • Hakuna ripoti za TRA au mahakama zinazothibitisha uhusiano wa Abdul na risiti hii.
    • Mjadala kwenye X na JamiiForums unabaki wa kisiasa: Wengine wanasema ni propaganda, wakati wengine wanasupport kwa sababu ya ukubwa wa kiasi (bilioni 2.4, sawa na bajeti ya mradi mkubwa).
    • Tarehe ya risiti (07-06-2021) inafanana na mwanzo wa utawala wa Samia, hivyo inachangia shaka, lakini bila uchunguzi wa TRA, ni madai tu.

Hitimisho na Mapendekezo


Risiti inaonekana kuwa halali kwa muundo (ina maelezo ya EFD na QR code), na ABC Ceramics ni kampuni halali, lakini uhalali wake kamili unahitaji kuthibitishwa moja kwa moja kupitia TRA app au portal. Madai ya Mange yanabaki bila uthibitisho rasmi hadi Septemba 2025, na yanahamasisha mijadala ya kisiasa. Ikiwa unaweza kushiriki is Is this true @Grok….picha ya QR code yenye resolution nzuri au matokeo ya scan, nitaweza kufanya uchunguzi zaidi. Au, wasiliana na TRA moja kwa moja (tel: +255 22 2116453) kwa uchunguzi rasmi. Kumbuka, uchunguzi huu si nasaha ya kisheria—tumia mamlaka rasmi!
Kwa jinsi Nchi inavyoliwa Hivi lolote ukiniambia linalo husiana na ufisadi wa Abdul Wala sihangaiki kutafuta vyanzo!

Hivyo Mimi naamini ni kweli!
 
Kuna mahali niliona umesema unakaribia miaka 40 na ulipigika sana mpaka kukaribia miaka 40 ndio umeanza tena kuinuka, 😂😂😂😂😂😂 aiseeee bro unasikitisha sana unavyoipigania hiyo familia
Ni kweli mkuu niliandika hivyo.... kuhusu kuipigania familia yangu ni suala lisilopaswa kukusikitisha.
 
K
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Ukweli ni kwamba ukipata nafasi kubwa hasa ya urais kwa nchi kama tanzania maana yake wewe ni mmiliki wa watu, rasilimali na fedha zote nchini na unaamua cha kufanya nini na hayo makusanyi yote ni yako..maana katiba imempa mamlaka rais wetu makubwa mno. Sio ajabu kwa hayo matumizi nadhani ji just a pinut tu.
 
Kufanya kazi UN mkuu au serikalini kwa mda mrefu haimanishi kwamba hizo ni pesa ndogo zisitiliwe mashaka labda ungekuja kutoa ushahidi kuwa amefanya kazi serikalini na yeye na mwanae wanamiliki biashara hii na hii ambayo hawezi kukosa bilion mbili mtumishi wa umma usipokuwa mwizi unawezaje kupata pesa hiyo.
Wewe unajua biashara zao?
 
Hapana, hujafikia uwezo wa kunipa homework bado.

Umeshindwa kuthibitisha habari uliyoileta wewe mwenyewe.

Habari uilete wewe, ukibanwa kuweka uthibitisho kazi ya kuthibitisha unipe mimi?

Sikubali ujinga huo.

Thibitisha Samia alifanya kazi UN.

Ukishindwa wewe ni muongo.
Wewe ulisema ulipata div 1 form six. Kwa haya majibu yako ulistahil div 3 point 16. Uwezo mdogo.
 
Huyu mama na mwanae hawana aibu na hawana huruma, miaka mitano ijayo watatumaliza, yaani bil2.4 vifaa vya ujenzi tu na hapo ni 2021, je wana pesa kiasi gani? Nimescan pia nimejiridhisha risiti ni halali kabisa.

Pumzika kwa amani Magufuli, watu wabaya walikuwahisha mbele ya haki ili wapate nafasi.
 
Naona watu mlioukumbatia umaskini mnanishambulia. Acheni upumbavu. Kwa muda aliofanya kazi na maslahi aliyoyapata haishindikani Mama Samia kuwawezesha familia yake kufanya ujasiriamali/biashara na kupata pesa nyingi zaidi. Tunaambiwa Abdul ni mfanyabiashara wa Kkoo kitambo tu. Tsh 2.4b kwa mfanyabiashara mkubwa wa Kkoo ni hela kidogo.

Hapo Kkoo kuna mtu nauza vifaa vya hospitali kwa sasa anaagiza makontena ila mtaji alipewa na mama yake kupitia mafao ya ualimu wa shule ya msingi. Sasa jiulize kwa mafao tu ya ubunge tayari kwa mtu mwenye akili za biashara akipewa hizo pesa lazima awe milionea. Mama kawa mbunge kwa miaka mingi tangu enzi za Mkapa. Mafao ya ubunge kapata sio mara moja.
 
Naona watu mlioukumbatia umaskini mnanishambulia. Acheni upumbavu. Kwa muda aliofanya kazi na maslahi aliyoyapata haishindikani Mama Samia kuwawezesha familia yake kufanya ujasiriamali/biashara na kupata pesa nyingi zaidi. Tunaambiwa Abdul ni mfanyabiashara wa Kkoo kitambo tu. Tsh 2.4b kwa mfanyabiashara mkubwa wa Kkoo ni hela kidogo.

Hapo Kkoo kuna mtu nauza vifaa vya hospitali kwa sasa anaagiza makontena ila mtaji alipewa na mama yake kupitia mafao ya ualimu wa shule ya msingi. Sasa jiulize kwa mafao tu ya ubunge tayari kwa mtu mwenye akili za biashara akipewa hizo pesa lazima awe milionea. Mama kawa mbunge kwa miaka mingi tangu enzi za Mkapa.
Ukifanyika uchunguzi huru, unahuhakika hiyo pesa itakuwa safi hivyo? Na kwanini TRA wamedisable QR Code ya hizo receipts?
 
Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant.

Sipo hapa kumtetea ila tunataka awe accused kwa vitu vya ukweli. Hii imetengenezwa.
Na video zote zile watu walizofanya verification bado hujaona ?

Kuitetea serikali ya huyu mama yenu ni kazi kubwa kama kumpa mtoto wa shule ya awali hesabu za integration!

Nchi ilipofika inahitaji total overhaul.

Mfano katika pitapita zangu kule mtandao wa X nimekuta account rasmi ya TRA Tanzania iko private sasa je inakuwaje account ya umma inakuwa private?

Nyinyi TRA Tanzania mtueleze humo mnaficha nini au hiyo ni account binafsi mtu anapost michepuko na vimada wake hataki tuone ?

Hebu jione maajabu hapo kutoka account hiyo tweets ziko protected na ni account ya taasisi ya umma na ukienda kwa tanpol wao wamefunga comments na bado wanapost taarifa sasa wanapost kwa akina nani na hawataki maoni hivi hawajui communucation ni two way traffic, kwamba kuna sender na receiver wa message na pia kuna feedback hawa watu basics za communication skills hawakusoma na wanatafuna pesa za walipa kodi??

 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Kwa elimu yake ile ya kusoma form 4 pekee miaka 3 na daraja alilopata kama alichukuliwa kweli basi alikuwa volunteer tu.

Hujiulizi kwanini Azam TV waliweka CV yake mitandaoni ndani ya saa 1 tu ikabidi wainyofoe yaani CV inafichwa utadhani mzigo wa narcotics .

Kuutetea uongo ni kazi , aibu na gharama kama ambavyo sasa Katuga anatokwa jasho kila akiwa kwenye ile kesi ya kuchonga.
 
Sasa mbona mtu mzima halafu akili huna?, unaonaje wewe na familia yako mnapigana mna maisha magumu vibaya mno halafu wengine wanafanya ufisadi?
Wewe toka lini umekuwa na mamlaka ya kupima akili za watu? Maisha yangu na familia yangu uliyajuaje na yanakuhusu vipi? Komredi Kipepe jiweke bize na maisha yako itakuondolea stress.
 
Back
Top Bottom