ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Ulitegemea iwepo mpka sasa?Inabidi hao abc ceramic wajitokeze watuambie kama hizi tuhuma ni za kweli.
Halafu mbona TRA hawaitambui hii risiti?
Ulitegemea iwepo mpka sasa?Inabidi hao abc ceramic wajitokeze watuambie kama hizi tuhuma ni za kweli.
Halafu mbona TRA hawaitambui hii risiti?
Hata wanaomsema Abdul mwisho wa siku watakaukiana kwa uzee wa chuki huku Abdul akila zake bata UAEHalafu hawa machawa tutakua nao hapahapa tunaendelea kuteseka, sio kwamba nao wataenda uarabuni, hapana.
Inabidi hao abc ceramic wajitokeze watuambie kama hizi tuhuma ni za kweli.
Halafu mbona TRA hawaitambui hii risiti?
Bichwa maji wewe, usiku ilikuwa inaleta majibu ni risiti halali, tra asubuhi walivyofungua ofisi tu, wakafanya mambo, haisomi qr code tena.Kabisaa una akili sana wewe...Watanzania sijui mpoje mnatetea vitu vya kipuuzi sana tena sana sijui kwa nini....Wacha waendelee kuiba kwa ajili ya watu kama nyinyi.
Kumbe MamaSamia2025 hauko seriously , kwa kumbato lile na umethubutu kufuta No yangu? Anyway usijali nitakubananisha tu tena kama sikuile ,ikisimama tu we panda.Nitumie namba yako ya simu PM ili tuwasiliane na kuonana LIVE.
Hawa ******* kama kawaida yao tutabaki nao humu humu wakiwa wamepauka vile vile, wakati huo watakuwa wanamlamba makalio mtawala wa wakati huo huku wakijifanya kumpondea Samia kwamba ameharibu nchi... yana akili basi haya.Halafu hawa machawa tutakua nao hapahapa tunaendelea kuteseka, sio kwamba nao wataenda uarabuni, hapana.
wewe umefanya hiyo verification baada ya watumishi wa TRA kuamriwa wafute taarifa za huo muhamala haraka iwezekanavyo.Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant.
Sipo hapa kumtetea ila tunataka awe accused kwa vitu vya ukweli. Hii imetengenezwa.
futa uongo wako, tunajua mnafanya haya mpate kula lakini sasa umezidishaNimekupa homework fuatilia
Kwamba Samia alikuwa anafanya kazi UN ambayo ilimpa annual salary ya $1m ambayo ndio aliitumia kumtajirisha mwanae kiasi kwamba leo hii Abdul anamiliki utajiri wa mabilion?Allegedly, with her secondary school education, she was netting over $1,000,000/year. With such salary I don’t find Mange’s allegations of substance. 😎
Mimi nimepanga siku nikikutana na Abdul nitamwambia kuwa hizi takataka alizoziajiri kumtetea yeye na mama yake humu mitandaoni zinakula hela zake za bure tu hazifanyi kazi kwa waledi hata kidogo.Huu ndio uthibitisho wa Samia kufanya kazi United Nations?
Huoni hicho ni ki-NGO?
Huu ndio ujinga uliowajaa waTanzania vichwani siku hizi.
Maelezo yenyewe yanaonyesha hata sifa za kutosha hana, halafu awe mwajiriwa wa taasisi hiyo ya UN?
Andika kwa kiswahili huu uongo umejaribu kuubrandAllegedly, with her secondary school education, she was netting over $1,000,000/year. With such salary I don’t find Mange’s allegations of substance. 😎
Yaan hawa wase.nge wanabumba hoja dhaifu kweli ambayo haina ushawishi hata kidogo.Wewe ni mpumbavu. Mtumishi wa UN shirika gani? Alilipwa kiasi gani?
Mshahara wake ni kiasi gani? Kijana wake kapata wapi Bil 2 za kufanya manunuzi?
Hili nalo swali la msingi sana..Kabla ya urais wa Mama yake,huyo Abdul si alikuwa muuza matairi tu pale Kariakoo!!
Kwa nini hizi fujo hakuzifanya wakati ule kama pesa ilikuwepo?
Kwao hao dhambi tu ni kusema Yesu ni Mungu na Kula kiti moto HADHARANI.kwa nini muslims ni corrupt sana na hawana ubinadamu? …
Wamenyimwa maarifa ili waanguke.View attachment 3479324
Yaani kitendo cha TRA kuifuta kuitoa kwenye database ni tactical mistake, inadhihirisha mambo kadhaa kwanza hawana ethics wanashiriki mipango haramu huku wakiwa ni kiungo muhimu kwenye uchumi wa nchi. Kingine kama wanaweza kufuta transaction yenye namba kubwa kiasi hicho hizo pesa zitapelekwa wapi ili zisiwepo kwenye mahesabu yao. Pia inamaanisha wanaendeshwa na huyo Abdul na obviously amewapigia simu kuwaamuru wafute. Hii kitu si polisi wala takukuru watakaothubutu kutia pua kulizungumzia lakini ingekuwa ni ugonvi wa kugombania viwanja mpaka mkuu wa mkoa angefika kutafuta publicity.
Ni kheri ingebaki wakatafuta namna ya kuitetea hata ingekuwa ni ridiculous ki namna gani kuliko hii ya kuonyesha kwa ujambazi unafanyika na wahusika wanafichiwa madhambi yao waziwazi and there is nothing we can do.
Hii fedheha inaenda kwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, ni aibu kubwa kwa wafanyakazi wote from top to bottom wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kicheko kama kanumba tafadhali wakati tukisubiri majibuKafanya kazi UN shirika gani la UN, mwaka gani, ofisi gani, kazi gani?