Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Kama umeshawahi kujenga ndugu yangu hapo unaelewa vifaa vya finishing gharama inaweza kuwa 2.4B mara mbili, contractors gharama zao bado hapo, interior decorators hapo bado unajikuta uko kwenye 10B. Hapo hatujagusa kwa landscaper manake lazima atafutwe professional labda kutoka SA or wherever.
Huyu dogo na mama yake wanakula, wanavimbiwa, wanacheua yaani mpaka pesa wanazikinai ila kuzichota hawaachi wameshanogewa sana.
Ni hatari huo mjengo unaweza kufika 10B tena ni residential.

Polepole anakwambia hawali bali WANAONDOMOLA yaani ni zaidi ya KULA mdomoni ,unweka hadi kwenye matundu ya pua ,masikio hadi kupitia machoni maana mdomo hautoshi.
 
Habari ndiyo hiyo!!
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    46.1 KB · Views: 22
Wapi nilisema nilipata div 1 form six?

Weka hapa hiyo post.

Na kupata div 1 ya form six ya Tanzania kunahusiana vipi na majibu haya?

Na div 1 ya form six ina maana gani ikiwa nchi inaongozwa na Samia?

Rais wako Samia alipata div gani form 4 na form 6?

Naona unanichanganya na mtu mwingine kwa majibu yako haya.
Leo unajikana? Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu
 
Yaan hawa wase.nge wanabumba hoja dhaifu kweli ambayo haina ushawishi hata kidogo.

Hapo eti wanajaribu kutushawishi kuwa utajiri alionao Abdul sasa chanzo chake ni mshaara wa mama yake aliokuwa analipwa UN huko ambao ni $1m kwa mwaka, hivyo hatutakiwi kushangaa kwani hata hiyo 2.4b chanzo ni hela za mama yake.

Yaan hawa ni wapumbav kweli hawajui hata kudanganya, hivi kwanza wanajua hata mtu anayelipwa mshaara wa $1m huko UN ni nani na ana wadhifa gani, hata Antonio Guterres halipwi huo mshaara kwa mwaka, analipwa $200,000 kwa mwaka....

...Haya kuna mtu hapo amesema eti Samia alikuwa analipwa $1,000,000 kwa mwaka, yaan alimzidi mshaara mpaka general secretary huko UN na elimu yake ya secondary, sasa sijui Samia alikuwa na cheo gani huko au majukumu gani hayo ya kumpa mkwanja mrefu kuliko hata boss mkuu.

Kwa ufupi tu hawa wajinga hawajui hata kuwatetea hao mafisadi wao.
Wapuuzi hawa achana nao. Wanatuona wote ni wajinga
 
Risiti og, TAX A-18.00%
Risiti fake, TOTAL RATE [ A-18%]
Kama mange ameweza kuwaingiza chaka kwa risiti fake nyie ni rahisi kumezeshwa chochote na kuamini

Shamelessly wameamua kuifuta kwenye database hiyo risiti wakati jana mpaka usiku ilikuwepo.
Wanaficha nini, kwa faida gani, wanamlinda nani na nani aliyewaamuru waifute?
 
Ni hatari huo mjengo unaweza kufika 10B tena ni residential.

Polepole anakwambia hawali bali WANAONDOMOLA yaani ni zaidi ya KULA mdomoni ,unweka hadi kwenye matundu ya pua ,masikio hadi kupitia machoni maana mdomo hautoshi.
Dah wakati wanaume wanateseka chaka minjingu kuchoma mkaa wakisumbuliwa na maliasili.
 
Leo unajikana? Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu
Weka ushahidi hapa tujue hudanganyi tu au hujanichanganya na mtu mwingine.

Kwa taarifa yako sijawahi kuyaona hayo ma division yenu ya Tanzania kama kitu cha maana na sijawahi kusema hilo unalosema nimesema.

Kama unabisha, weka ushahidi hapa.

Pia, kama unapenda hayo ma division, mbona hujajibu swali langu, hujasema Samia alipata divion gani form 4 na form 6?

Kama hata alifika form 6.
 
Hii fedheha inaenda kwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, ni aibu kubwa kwa wafanyakazi wote from top to bottom wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Nchi nzima, kila mahali wamepakamata. HHakuna sehemu ambayo unaweza kusema kuna nafuu.
Sasa nchi ya namna hii kweli tutafika popote?
Mahakama, wanaamua wao; magereza wanatoa miongozo wao, Bunge ni wao; TRA, ni wao. TCRA ni wao wanaamua nini kifanyike.
Sasa hadi Jeshi/Usalama/polisi; nikuwatumikia wao na siyo nchi hii?

Tena afadhali ingekuwa maamuzi yao ni kwa faida ya nchi; wao wanaangalia maslahi yao; na huku kwingine tutapangiwa kutegemea na uchawa tunaouonyesha kwao!
 
Weka ushahidi hapa tujue hudanganyi tu au hujanichanganya na mtu mwingine.

Kwa taarifa yako sijawahi kuyaona hayo ma division yenu ya Tanzania kama kitu cha maana na sijawahi kusema hilo unalosema nimesema.

Kama unabisha, weka ushahidi hapa.

Pia, kama unapenda hayo ma division, mbona hujajibu swali langu, hujasema Samia alipata divion gani form 4 na form 6?

Kama hata alifika form 6.
 

Attachments

  • Screenshot_20250926-164503_Chrome.jpg
    Screenshot_20250926-164503_Chrome.jpg
    99.7 KB · Views: 28
Weka ushahidi hapa tujue hudanganyi tu au hujanichanganya na mtu mwingine.

Kwa taarifa yako sijawahi kuyaona hayo ma division yenu ya Tanzania kama kitu cha maana na sijawahi kusema hilo unalosema nimesema.

Kama unabisha, weka ushahidi hapa.

Pia, kama unapenda hayo ma division, mbona hujajibu swali langu, hujasema Samia alipata divion gani form 4 na form 6?

Kama hata alifika form 6.
Huu uzi comment namba 81
 
Huu uzi comment namba 81
Sikusema nilijibu swali. Elewa tofauti.

Nisingekujibu napo ungesema Kiranga anakwepa maswali.

Na pia nilikwambia "that doesn't mean much".

Wakati nyie mnafikiria hayo ma division mimi nilikuwa nasoma Big Bang Theory, cosmogony, depletion of the ozone layer by Chlorofluorocarbons, antibacterial resistance, Artificial Intelligence, computer chess, na kumtazama Peter Jennings ABC.

Miaka hiyo ya 1990s.

Hayo huwezi kuyajua kwa mitaala yenu ya division 1.

That's the difference between me and you.

Hujajibu bado rais wako Samia alipata division gani form 4 na form 6 kama kweli unafuatilia sana haya mambo?
 
Kwao hao dhambi tu ni kusema Yesu ni Mungu na Kula kiti moto HADHARANI.

adriz The Consigliere Adiosamigo Jagina THE BIG SHOW
Hao wote uliowataja nakumbuka enzi za jiwe walikuwa wanaipiga sana spana serikali yake, walikuwa hawakosi kwenye nyuzi kama hizi zinazohusu ufisadi na ukandamizaji wa haki za raia.

Ila siku hizi wamejivua kabisa lile joho la utetezi wa haki, wameamua kuungana na watesi wa awamu hii kisa tu ni utawala wa mtu wa dini yao.

Hao jamaa nimewadharau sana na sijui hata elimu zao zimewasaidia nini.
 
Back
Top Bottom