ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Una akili ndogo sanaRisiti og, TAX A-18.00%
Risiti fake, TOTAL RATE [ A-18%]
Kama mange ameweza kuwaingiza chaka kwa risiti fake nyie ni rahisi kumezeshwa chochote na kuamini
Una akili ndogo sanaRisiti og, TAX A-18.00%
Risiti fake, TOTAL RATE [ A-18%]
Kama mange ameweza kuwaingiza chaka kwa risiti fake nyie ni rahisi kumezeshwa chochote na kuamini
JiRais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Hana kabisa, bora angekuwa nayo hiyo ndogo.Una akili ndogo sana
Sitakaa nilipe kodi labda uje uongozi mwingineImagine taasisi muhimu kama TRA inatumika kukamilisha mission za kihuni kinyume na sheria kwa ajili ya maslahi ya watawala?
Leo hii tunashuudia TRA inafuta kumbu kumbu za mihamala kwenye kanzi data kwa ajili tu ya kuficha ufisadi unaofanywa na mtoto wa raisi?? Daaah....nimeumia sana kwakweli.
Haya hiyo TRA leo imepita huku mitaani kwetu eti inatukumbusha wanainchi tukalipe kodi ya robo inayoisha mwezi huu, hadi nimetamani niliponde gari lao mawe kwakweli.
Hivi kwa haya yanayoendelea nchini kuna haja gani ya sisi raia kuendelea kulipa kodi?
Umechekewa waliowahi asbhi mange alivyopost waliipata vzr,ipo clip yakeNgoja ni scan
Yaani hata ukininua kiberiti umeshalipa kodi kiaina, hawa ni kuwatafitia namna tu.Sitakaa nilipe kodi labda uje uongozi mwingine
Umeitia najisi na aibu hii ID! Miaka kama nane iliyopita kuna member humu alijidai kafika ulaya kumbe bwana jf haisahau kitu yule mwamba aliaibishwa humu na hakurudi tena mpaka Leo zaidi ya Miaka nane mpk kumi imepita. Mwingine juzi juzi hapa mwaka huu mwanzoni ka download picha za mji Fulani wa ureno akatuma picha hapa eti yeye ndio Yuko ureno ha ha ha ha ha wadau wa IT wakaenda gugo wakaziweka zile picha gugo ikatafsiri zile picha ni za wapi na Wala yeye hakuwepo na hajawahi fika ureno picha ka download mtandaoni huyo jamaa sijamuona tena mpaka Leo Sasa nakuona nawewe nakuona uko njiani kuaibika humu. Utaikimbia jf muda sio mrefu Kwa aibu.Nimekupa homework fuatilia
Acha kunililia mimi sio babako.Umeitia najisi na aibu hii ID! Miaka kama nane iliyopita kuna member humu alijidai kafika ulaya kumbe bwana jf haisahau kitu yule mwamba aliaibishwa humu na hakurudi tena mpaka Leo zaidi ya Miaka nane mpk kumi imepita. Mwingine juzi juzi hapa mwaka huu mwanzoni ka download picha za mji Fulani wa ureno akatuma picha hapa eti yeye ndio Yuko ureno ha ha ha ha ha wadau wa IT wakaenda gugo wakaziweka zile picha gugo ikatafsiri zile picha ni za wapi na Wala yeye hakuwepo na hajawahi fika ureno picha ka download mtandaoni huyo jamaa sijamuona tena mpaka Leo Sasa nakuona nawewe nakuona uko njiani kuaibika humu. Utaikimbia jf muda sio mrefu Kwa aibu.
UN?????Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Nimlilie mpumbavu !? Hii ID ishadharaulika mbwa wewe.Acha kunililia mimi sio babako.
Eti yuuuueniiiii maaaviiiiAcha kunililia mimi sio babako.
Wewe utakua wapi ukila bata na ukoo wako kama wenzako hao watakua UAE au ndo yale yale ww utabaki kugombania hizi mwendokasi kimara postaHata wanaomsema Abdul mwisho wa siku watakaukiana kwa uzee wa chuki huku Abdul akila zake bata UAE
Leo sijui umepigaje yaani umenikumbisha ile lile tuta alilopiga kagere😂😂😂Acha kunililia mimi sio babako.
UN alifanya kazi gani?Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Mimi tangu nione ile Rolls Royce imekaidi agizo la askari wa usalama barabarani na hakuna hatua yoyote ambayo ilichukuliwa dhidi ya dereva wa gari ile, halafu siku chache baadae nakuja kukutana na taarifa kuwa eti ile ni gari ya Abdul, nikajua tu huyu jamaa ameshaliteka jeshi la polisi na wanamuogopa.View attachment 3479324
Yaani kitendo cha TRA kuifuta kuitoa kwenye database ni tactical mistake, inadhihirisha mambo kadhaa kwanza hawana ethics wanashiriki mipango haramu huku wakiwa ni kiungo muhimu kwenye uchumi wa nchi. Kingine kama wanaweza kufuta transaction yenye namba kubwa kiasi hicho hizo pesa zitapelekwa wapi ili zisiwepo kwenye mahesabu yao. Pia inamaanisha wanaendeshwa na huyo Abdul na obviously amewapigia simu kuwaamuru wafute. Hii kitu si polisi wala takukuru watakaothubutu kutia pua kulizungumzia lakini ingekuwa ni ugonvi wa kugombania viwanja mpaka mkuu wa mkoa angefika kutafuta publicity.
Ni kheri ingebaki wakatafuta namna ya kuitetea hata ingekuwa ni ridiculous ki namna gani kuliko hii ya kuonyesha kwa ujambazi unafanyika na wahusika wanafichiwa madhambi yao waziwazi and there is nothing we can do.
Hii fedheha inaenda kwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, ni aibu kubwa kwa wafanyakazi wote from top to bottom wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Ona hii kenge, hivi unajua hata ulichokiandika?Risiti og, TAX A-18.00%
Risiti fake, TOTAL RATE [ A-18%]
Kama mange ameweza kuwaingiza chaka kwa risiti fake nyie ni rahisi kumezeshwa chochote na kuamini
Mimi ni muislam, unakosea sana kuhusianisha haya na dini za watu.
Mungu akusamehe, hujui unachozungumza!