MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hata wewe pia mama yako ni takataka.Wewe una adabu gani kumtukana mama yake asiyehusika na huu ubishani wenu!?
Jenga hshima yako mwenyewe.
Hata wewe pia mama yako ni takataka.Wewe una adabu gani kumtukana mama yake asiyehusika na huu ubishani wenu!?
Jenga hshima yako mwenyewe.
Inaonyesha njaa imetafuna Hadi ubongoHata wewe pia mama yako ni takataka.
Na nilisomea mkopo na sitaulipaYaani hata ukininua kiberiti umeshalipa kodi kiaina, hawa ni kuwatafitia namna tu.
na matajiri wakubwa pia wanakwepa kodi,wanaolipa ni watu wa chiniNa huu ulipaswa uwe msimamo wa watanzania wote hasa baada ya kila mtu kujionea ufisadi wa kutisha unaoendelea nchini kwetu.
Hakuna sababu ya kuendelea kulipa kodi kama kodi yenyewe haiendi kuboresha huduma za kijamii, bali inaenda kuboresha maisha ya Abdul na mama yake ni upuuzi kuendelea kulipa kodi kwakweli... acha wanifungie tu biashara au wakanifunge.
Halafu sasa ukiskia kauli mbiu ya samia eti "kazi na utu" utu wa nyoko pumbavu zake.
Kwamba ukifanya kazi UN unatengeneza billion 2.4....Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Update; Naona watu wengi mnanishambulia hatari kwa sababu ya hii comment. Tayari nimetoa ufafanuzi kwenye comment #123. Nendeni page 7 ya huu uzi.
Cheki lichawa hiliRais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Update; Naona watu wengi mnanishambulia hatari kwa sababu ya hii comment. Tayari nimetoa ufafanuzi kwenye comment #123. Nendeni page 7 ya huu uzi.
Soma comment namba 123Kwamba ukifanya kazi UN unatengeneza billion 2.4....
Risiti Lazima Ifutwe kwenye mfumo kwa maelekezo ya mkubwa ila hela ilishatafunwa na kama hapo ni mwanzo tu kabla hawajaizoea ikulu leo huko hazina kuna kitu kweli ?Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant.
Sipo hapa kumtetea ila tunataka awe accused kwa vitu vya ukweli. Hii imetengenezwa.
Mimi hapa hapa. Sina ht haja ya kuhangaika na kina Abdul ambao ht hawanijuiWewe utakua wapi ukila bata na ukoo wako kama wenzako hao watakua UAE au ndo yale yale ww utabaki kugombania hizi mwendokasi kimara posta
Kila mtu na Kila mtanzania anatakiwa kuwa na msimamo huu kuanzia sasaNa huu ulipaswa uwe msimamo wa watanzania wote hasa baada ya kila mtu kujionea ufisadi wa kutisha unaoendelea nchini kwetu.
Hakuna sababu ya kuendelea kulipa kodi kama kodi yenyewe haiendi kuboresha huduma za kijamii, bali inaenda kuboresha maisha ya Abdul na mama yake ni upuuzi kuendelea kulipa kodi kwakweli... acha wanifungie tu biashara au wakanifunge.
Halafu sasa ukiskia kauli mbiu ya samia eti "kazi na utu" utu wa nyoko pumbavu zake.
Hiyo ni techinical blunder kubwa kufanywa na tasisi kama TRA bora wangeiteteta kinamna kuliko kuifuta kabisa.Mimi tangu nione ile Rolls Royce imekaidi agizo la askari wa usalama barabarani na hakuna hatua yoyote ambayo ilichukuliwa dhidi ya dereva wa gari ile, halafu siku chache baadae nakuja kukutana na taarifa kuwa eti ile ni gari ya Abdul, nikajua tu huyu jamaa ameshaliteka jeshi la polisi na wanamuogopa.
Kwa hili tukio la leo TRA kufuta details za muamala wa Abdul ambao watanzania wanautilia shaka kwenye kanzi data zao hii ku cover up skendo za ufisadi wa Abdul, ndio kimetuondelea doubt kabisa kutupa uthibitisho kuwa zile ni pesa za ufisadi.
Yaani TRA wameonesha wako tayari kuumiza watanzania zaidi ya 61m kwa ajili tu ya kulinda na kuficha ufisadi wa mtu mmoja kisa tu ni mtoto wa raisi.
Kwa maana hiyo kumbe TRA imekuwa ikitekeleza majukumu yake kwa kufuata maagizo ya Abdul na sio kwa mujibu wa sheria pamoja na target za wizara sio?
Sasa kama ni hivyo basi kuna uwezekano mkubwa sana hata watumishi wanaoajiriwa kwenye hii taasisi hasa kwenye positions muhimu za juu Abdul ndio anayeamua kwamba hapa akae nani.. pale akae nani, kule chini akae nani... si ndio maana yake?
Yaani kwa hiki kilichofanyika leo ni dhairi kabisa kwanzia Commissioner general na wasaidizi wake wote hapo TRA ni makondoo tu mbele ya Abdul, wanapangiwa nini cha kufanya na Abdul.
Ningekuwa mimi ndio General commissioner wa TRA hili kulinda heshima yangu ningejiuzulu leo leo kujiweka mbali na hii fedhea.
Aisee nimeumia sana kuona taasisi muhimu kabisa ambayo ndio moyo wa kusukuma uchumi wetu uende mbele imegeuzwa saccos na mtu mmoja kisa tu ni mtoto wa raisi na ana ifanya anavyotaka.
Binafis naona hili la leo lilipaswa kuwa sababu ya watanzania wote kugoma kulipa kodi.
Sasa kwa tanzania hii blunder kama hiyo who cares??? Mahakama..bunge vyote vipo chini ya rais.Hiyo ni techinical blunder kubwa kufanywa na tasisi kama TRA bora wangeiteteta kinamna kuliko kuifuta kabisa.
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Update; Naona watu wengi mnanishambulia hatari kwa sababu ya hii comment. Tayari nimetoa ufafanuzi kwenye comment #123. Nendeni page 7 ya huu uzi.
Inabidi hao abc ceramic wajitokeze watuambie kama hizi tuhuma ni za kweli.
Halafu mbona TRA hawaitambui hii risiti?
Huyu mtu mbona karudia rudia shule sana?
Kiukweli kwa ufisadi wa kutisha unaondelea nchini kwetu tena wa wazi wazi kabisa, mimi huwa najisemea CCM washukuru sana wanawaongoza watanzania, maana ni watu ambao licha ya wingi wetu ila hatuna resistance yoyote dhidi uonevu na dhuluma za kila aina tunazofanyiwa na serikali yetu.Inakera, inaudhi, inasikitisha na inachefua. Just imagine ndiyo tumefika hapa kama taifa na hayo mabwege huko TRA, Polisi, Takukuru na viongozi wengine wote idara ambazo ni sensitive kwa mustakabali wa 'a better tomorrow' ya taifa letu wanamuogopa na kumgwaya Abdul and still they're just there with their big bellies kama wapumbavu flani hivi kwa kweli hii ni fedheha kwetu sote sisi Watanganyika.
Abdul na mama yake ni malimbukeni na hata upeo wao ni mdogo mno..Kuitoa(kuifuta) ile risiti wamefanya kosa kubwa sana, unajua imekuja ghafla(they panicked) hawakuwa wamejipanga wafanyeje to clear the mess. The best thing ilikuwa ni kutafuta maelezo ya kutetea yale manunuzi ya mabilioni na si kufuta kitu ambacho kimeshaonekana kwa Watanganyika. Hii imedhihirisha kuwa TRA is part and parcel ya ufisadi katika nchi, unajua hata wangetetea kipumbavu wangetokea chawa(as usual) wa kuwapa support as long as anayetetewa ni Abdul. Hii ni aibu na fedheha kubwa mno.