Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Na chakushangaza Mods wanaacha hii Takataka humu kwenye Mada ya umuhimu
 
Unajua hawakujifunza kwa jiwe

Huyu naona tumwite barafu

Atayeyuka muda sio mrefu
Wengi wenu mlimuita jiwe Limbukeni, ila kiukweli huyu samia na mtoto wake ni malimbukeni wa kutupwa...

Hawajui kuiba hata kwa stara, hawajui hata kudaganya wanainchi wasishtukie wizi wao...

Yaani wanaiba kodi za wanainchi wazi wazi, halafu wakishtukiwa wanafanya damage control ya kishamba kweli
 
Sitakaa nilipe kodi labda uje uongozi mwingine
Na huu ulipaswa uwe msimamo wa watanzania wote hasa baada ya kila mtu kujionea ufisadi wa kutisha unaoendelea nchini kwetu.

Hakuna sababu ya kuendelea kulipa kodi kama kodi yenyewe haiendi kuboresha huduma za kijamii, bali inaenda kuboresha maisha ya Abdul na mama yake ni upuuzi kuendelea kulipa kodi kwakweli... acha wanifungie tu biashara au wakanifunge.

Halafu sasa ukiskia kauli mbiu ya samia eti "kazi na utu" utu wa nyoko pumbavu zake.
 
Wapuuzi hawa achana nao. Wanatuona wote ni wajinga
Unajua inaleta maana mtu kutetea wizi wakati huo na wewe ukiwa ni mnufaika wa wizi huo....

Sasa hawa wajinga nina uhakika huwa hawalambi hata senti kwenye hizo billions of money anazoiba Abdul na mama yake...

.. hawa hakuna chochote wanachoambulia kwa hii kazi ya kutetea mafisadi wanaofanya kila siku humu mitandaoni, sana sana tu watakuwa wanapata zile posho za elfu ishirini ishirini wanazopewaga kila wakienda kwenye mikutano au vikao vya chama.

Wengi wa hawa machawa huwa wana ndoto za kulamba teuzi serikalini na hiyo ndio main objective waliyonayo, ndio maana wako tayari kusifia mavi ya Abdul yananukia wakiamini kwamba mama yake akiskia hapo hapo atamteua kuwa DED hata wa Nyangunge huko.

Ni wajinga sana hawa wapuuzi.. uzuri ninachofurahi ipo siku tutaongea nao lugha moja.
 
Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant.

Sipo hapa kumtetea ila tunataka awe accused kwa vitu vya ukweli. Hii imetengenezwa.
Wamei disable waliowahi kuiscan wamepata taarifa ni risiti halali nenda page ya pange uone mtu aliyewahi kuiscan ameposti taarifa zake
 
In
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.

Update; Naona watu wengi mnanishambulia hatari kwa sababu ya hii comment. Tayari nimetoa ufafanuzi kwenye comment #123. Nendeni page 7 ya huu uzi.
Inawezekana kabisa, hizi 2.4 zikawa pesa halari, lakini haiondoi u kweli kuwa samia+familia yake+ccm wanaifilisi nchi kwa kasi ya SGR!
 
Lord Denning njoo ujionee mmoja ya watu ambao huwa ni watetezi wakubwa wa serikali hii ya bi chura sasa hivi ameshaanza kuongea lugha moja na sisi.
Huyu apishapata ubatizo wa moto. Ameshtukia kuwa amekuwa akitetea upumbavu sana na amebadilika sasaivi anasimamia kweli.
 
Lord Denning njoo ujionee mmoja ya watu ambao huwa ni watetezi wakubwa wa serikali hii ya bi chura sasa hivi ameshaanza kuongea lugha moja na sisi.

Lini nimetetea hii serikali unless it was something very objective.

Unajua nimeanza lini kusema "nchi ya kipumbavu sana hii" na nani zaidi yangu anasema hivyo? Lazima umechanganya madawa. Amka usingizi usije jikojolea.
 
Mimi tangu nione ile Rolls Royce imekaidi agizo la askari wa usalama barabarani na hakuna hatua yoyote ambayo ilichukuliwa dhidi ya dereva wa gari ile, halafu siku chache baadae nakuja kukutana na taarifa kuwa eti ile ni gari ya Abdul, nikajua tu huyu jamaa ameshaliteka jeshi la polisi na wanamuogopa.

Kwa hili tukio la leo TRA kufuta details za muamala wa Abdul ambao watanzania wanautilia shaka kwenye kanzi data zao hii ku cover up skendo za ufisadi wa Abdul, ndio kimetuondelea doubt kabisa kutupa uthibitisho kuwa zile ni pesa za ufisadi.

Yaani TRA wameonesha wako tayari kuumiza watanzania zaidi ya 61m kwa ajili tu ya kulinda na kuficha ufisadi wa mtu mmoja kisa tu ni mtoto wa raisi.

Kwa maana hiyo kumbe TRA imekuwa ikitekeleza majukumu yake kwa kufuata maagizo ya Abdul na sio kwa mujibu wa sheria pamoja na target za wizara sio?

Sasa kama ni hivyo basi kuna uwezekano mkubwa sana hata watumishi wanaoajiriwa kwenye hii taasisi hasa kwenye positions muhimu za juu Abdul ndio anayeamua kwamba hapa akae nani.. pale akae nani, kule chini akae nani... si ndio maana yake?

Yaani kwa hiki kilichofanyika leo ni dhairi kabisa kwanzia Commissioner general na wasaidizi wake wote hapo TRA ni makondoo tu mbele ya Abdul, wanapangiwa nini cha kufanya na Abdul.

Ningekuwa mimi ndio General commissioner wa TRA hili kulinda heshima yangu ningejiuzulu leo leo kujiweka mbali na hii fedhea.

Aisee nimeumia sana kuona taasisi muhimu kabisa ambayo ndio moyo wa kusukuma uchumi wetu uende mbele imegeuzwa saccos na mtu mmoja kisa tu ni mtoto wa raisi na ana ifanya anavyotaka.

Binafis naona hili la leo lilipaswa kuwa sababu ya watanzania wote kugoma kulipa kodi.
Inakera, inaudhi, inasikitisha na inachefua. Just imagine ndiyo tumefika hapa kama taifa na hayo mabwege huko TRA, Polisi, Takukuru na viongozi wengine wote idara ambazo ni sensitive kwa mustakabali wa 'a better tomorrow' ya taifa letu wanamuogopa na kumgwaya Abdul and still they're just there with their big bellies kama wapumbavu flani hivi kwa kweli hii ni fedheha kwetu sote sisi Watanganyika.
 
Lord Denning njoo ujionee mmoja ya watu ambao huwa ni watetezi wakubwa wa serikali hii ya bi chura sasa hivi ameshaanza kuongea lugha moja na sisi.
Kuitoa(kuifuta) ile risiti wamefanya kosa kubwa sana, unajua imekuja ghafla(they panicked) hawakuwa wamejipanga wafanyeje to clear the mess. The best thing ilikuwa ni kutafuta maelezo ya kutetea yale manunuzi ya mabilioni na si kufuta kitu ambacho kimeshaonekana kwa Watanganyika. Hii imedhihirisha kuwa TRA is part and parcel ya ufisadi katika nchi, unajua hata wangetetea kipumbavu wangetokea chawa(as usual) wa kuwapa support as long as anayetetewa ni Abdul. Hii ni aibu na fedheha kubwa mno.
 
Kutoka kwenye page ya mwanadada Mange, risiti za malipo ya bwana Abdul zimeonesha.

“Samia na mwanae walianza kufanya ufisadi tokea siku ya kwanza Samia aliporithi nchi.

Hizi ni risiti za malipo ya bilioni 2.4 ya vifaa vya ujenzi, malipo haya yalifanywa na mtoto wa mwenyekiti wa CCM, bwana Abdul miezi mitatu 3 tu baada ya Samia kurithi Urais wa nchi ya Tanzania.

Yani ni hivi, Miezi 3 tu baada ya Samia kuchukua nchi mtoto wake Abdul alianza kuikamua nchi... Yani walianza kujenga mahoteli na majumba only 3 months baada ya kuingia Ikulu. Abdul alichemka akatumia jina lake maana hapo ndo alikuwa bado anajifunza ufisadi.

Siku hizi anatumia majina ya kina kina Sameer Shippers Plaza, Mohammed Yusufal na wengine.. Ndio maana leo nchi haina dawa, wananchi umaskini umezidi, wamebaki kuongezea wananchi kodi na matozo ili kufidia huu ufisadi wao.

Wanajeshi na polisi, msikubali kutumika tarehe 29 kuwalinda hawa majangili wanaoimaliza Tanzania huku wote tukiangalia..... Inabidi kila Mtanzania awe Mzalendo hiyo tarehe 29z.

Hiyo risiri ya kwanza nimewawekea na bar code unaweza kuscan, than means hawawezi kusema niuwongo yani nimewakabia kwa juu sana. Hakuna cha kubisha.”

My take: Hii inaumiza sana, Tanzania tunajitengenezea umaskini sisi wenyewe, na bado kuna watu (machawa) wanatetea haya, CCM kweli mnaacha kikundi cha watu wanaliangamiza taifa namna hii, Jeshi la polisi kweli mnawalinda wezi wa namna hii ikiwa wengi wenu ni maisha ya chini kama yetu, na Watanzania wenzangu kweli tumekubali kubebwa mateka uku tukifa na umaskini kwa ajili ya watu wachache.

Leo mekosa usingizi kabisa wakuu baada ya kuona hili, inaumiza sana, kuipenda Tanzania kuna gharama kubwa sana ya moyo. Shame on you Samia, the worst president ever walked on Tanzanian soil.

View attachment 3479011View attachment 3479006View attachment 3479007View attachment 3479008View attachment 3479010
Ndio maana Crdb ni WEZI wa Pesa zetu, mbali na kuwezesha na kubariki Ufisadi watakuwa pia wanawakopesha Mafisadi Pesa.

Wateja tumelalamika sana tangu mwaka huu uanze juu ya wizi na uzembe wao ila hakuna suluhisho

POOR Crdb
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.

Update; Naona watu wengi mnanishambulia hatari kwa sababu ya hii comment. Tayari nimetoa ufafanuzi kwenye comment #123. Nendeni page 7 ya huu uzi.
UN????
Inabidi hao abc ceramic wajitokeze watuambie kama hizi tuhuma ni za kweli.
Halafu mbona TRA hawaitambui hii risiti?

Je kama maelekezo yalishatolewa then Editing ikafanyika?
 
Bichwa maji wewe, usiku ilika inaleta majibu ni risiti halali, tra asubuhi walivyofungua ofisi tu, wakafanya mambo, haisomi qr code tena.

Mnakaa dunia gani mnashindwa kupata taarifa hizi, ama we ni wa lumumba
Huyo atakuwa miongoni mwa hao mafisadi/TRA
 
Back
Top Bottom