Where did you get this amount? Stop bluffing !Allegedly, with her secondary school education, she was netting over $1,000,000/year. With such salary I don’t find Mange’s allegations of substance. 😎
Where did you get this amount? Stop bluffing !Allegedly, with her secondary school education, she was netting over $1,000,000/year. With such salary I don’t find Mange’s allegations of substance. 😎
Read my response again. I suffer a malignity of satire..Where did you get this amount? Stop bluffing !
Umemaliza kila kitu mkuu….pengine hata wanamtandao wamevurugwa hivi sasa baada ya kujua waliomuweka ana uwezo mdogo sana hata kushindwa kucover traces zake na zao pia, yaani yanayofanywa sirini, anajikuta kayaropoka hadharani…juzi hapo ameropoka kuwa wale wanasiasa wakenya ndiye aliyewashughulikia, mara siku nyingine kamuita Kikwete Boss wake hadharani…Abdul na mama yake ni malimbukeni na hata upeo wao ni mdogo mno..
Yaani walivyoukamata tu uraisi ndani ya miezi mitatu wakaanza kuchota mabilioni kwa pupa bila hata kustrategize watafanya vipi ufisadi bila kuacha traces kama hivi.
Na ndio maana hapo ametumia jina lake halisi, kwa sababu ya haraka waliokuwa nayo ya kuvuna utajiri.
Kila mtu anafahamu Ridhiwan kapiga sana madili enzi za utawala wa baba ake, ila je umewahi kuona receipt yenye jina la Ridhiwan kama tulivyoona kwa Abdul hivi? Ni kwa sababu ufisadi wao waliufanya kwa akili sana.
Sasa angalia Abdul na mama ake walivyokuwa vilaza yaan wao wamekurupuka tu kuamrisha watu kufuta taarifa za muhamala kwenye kanzi data za TRA, badala ya kutafuta sababu za uongo na kweli za kuutetea huo muamala.
Kwani wangewaamrisha hao IT technicians wa TRA watengeneze muamala wa fake wenye kiasi cha pesa sawa na hicho ambao unamuonesha Abdul alifanya manunuzi kama hayo mwaka 2018 huko si ingekuwa ni rahisi sana kuwapoteza maboya wabongo, maana ingeonekana kumbe Abdul kufanya purchasing kubwa kama hizo ni kawaida yake kwani amekuwa akifanya hivyo hata kabla mama yake hajawa raisi na hasa ukizingatia alikuwa ni mfanya biashara wa kariakoo.
...Sasa wao wameamua kuufuta muhamala halafu eti sasa hivi wamewapa kazi machawa wanatwambia eti ile resiti ni fake na kuna wahuni walihack mfumo wa TRA na kuanza kuchezea database na ndio maana ulikuwa ukiscan inasoma, ila baada ya system kufanyiwa marekebisho sasa hivi hauwezi kusoma....
Yaan ukiskiliza utetezi wa machawa wazee wa kukanusha kila kitu utashangaa sana maelezo yao jinsi wanavyokanusha huo muamala.
Kwa ufupi tu samia na mtoto wake ni mafisadi vilaza kuwahi kutokea hapa nchini.
Wewe Fala sana.Nimekupa homework fuatilia
Haya mambo ni magumu.Hiyo risiti ni original sio fake, wewe unaona fake kwasababu umeiangalia leo imeshatolewa kwenye mfumo, ungekua unapata taarifa kwa wakati ungeangalia jana usiku, leo tra wameshaitoa kwenye mfumo
Wanamtandao lazima wawe disappointed sana na jinsi Samia anavyoshindwa kuki handle hicho kiti ipasavyo sababu hayuko smart.Umemaliza kila kitu mkuu….pengine hata wanamtandao wamevurugwa hivi sasa baada ya kujua waliomuweka ana uwezo mdogo sana hata kushindwa kucover traces zake na zao pia, yaani yanayofanywa sirini, anajikuta kayaropoka hadharani…juzi hapo ameropoka kuwa wale wanasiasa wakenya ndiye aliyewashughulikia, mara siku nyingine kamuita Kikwete Boss wake hadharani…
Yaani maneno ya kusikika, yeye anakuja kudhihirisha mchana kweupe. Pengine ni Mungu pia aliwachenga hata hao wanamtandao kwa kumuweka mtu kichwa maji atakayezamisha boti yao, maana hii ndo naliona linaenda kutokea.
😂😂😂😂😂😂Abdul ameshindikana Kwa ufisadi, ridhiwan malaika aisee
Tobaaaaa! Ina maana hii kitu ilifanywa miezi 3 baada ya mama kushika nchi?
Ww ni mjinga tu, takataka 🚮🚮, huu ujinga kawapostie watu wa Facebook huku umepotea njia useless idiotLeo nimerudi kwenye video ya kuscan alio post mange kimambi. Haya ni mambo niliogundua.
Website ilionyesha kwamba risiti ipo verified sio website ya tra inayotumika kufanya verification za risiti.
Nimeambatanisha screenshot angalia hiyo website sio inayotumika kufanya verification ya risiti.
Risiti iliokua posted kwa uzoefu wangu hakuna font yoyote kati ya incotex au datex ambazo ndio mashine wanazo tumia wafanya biashara wa bongo.
Risiti ya bank ilioammbatanishwa ni risiti ya wakala. Hakuna wakala mwenye uwezo wa kupoke 2.4 B kama deposit
Hitimisho:
Risiti imetengenezwa sijajua ni kwa maslahi ya nani. Hata kama mtu anafanya ufisadi basi tuhakikishe tunataarifa sahihi.
Sisi hatuchangii tena jamii forumWengi wenu mlimuita jiwe Limbukeni, ila kiukweli huyu samia na mtoto wake ni malimbukeni wa kutupwa...
Hawajui kuiba hata kwa stara, hawajui hata kudaganya wanainchi wasishtukie wizi wao...
Yaani wanaiba kodi za wanainchi wazi wazi, halafu wakishtukiwa wanafanya damage control ya kishamba kweli