Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Kuna kitu kimoja wasioelewa haya mashirika ya kimataifa huwa wanajidanganya na kudanganya sana watu.

Mashirika kama UN agencies zake kama UNhcr. Unep. Undp. Wfp. Na mengine ya aina hiyo kama World Bank. IMf. Afdb. Asian Dev Bank. Badea.

Huwa yana scale za mishahara mikubwa lakini sio mikubwa ya kutisha ila yanatoaga mikopo kwa wafanyakazi wao kwa riba ndogo sana. Watoto zamani walikuwa wanalipiwa elimu mpaka chuo ila siku hizi na mzazi anachangia Ada. Ndio maana unaona kina prof ludigo wamesoma marekani vyuo vya kueleweka. Kina jacob chuwa wamesoma Uk vyuo vinavyoeleweka. Kina Mukurasi. Kina Jeanluc kaberuka wamesomesha UCLA.

Kwenye ajira mashirika haya yanaajiri best brains tena masters leve yenye distinction.
Na ukiajiria mfano Wfp lazima watu wa worldbank Tanzania mfahamiane. Ila kwa hili la Mkuu kuajiriwa huko halina ukweli ila alipoajiriwa mradi wa hiyo NGO ulikuwa unafadhiliwa na Wfp

Siku hizi wanapenda kuajiri watu wasomi na watafiti ambao wamehudumu nao kama consultants. Kwa hiyo wewe na ki Astashahada chako huwezi ku qualify kuwa consultancy wa Unfpa.
 
Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant.

Sipo hapa kumtetea ila tunataka awe accused kwa vitu vya ukweli. Hii imetengenezwa.

Grok Is this true…. Uchunguzi wa Risiti na Bar Code Yake (QR Code)

Kwa kutumia maelezo kutoka risiti uliyoshiriki (yenye verification code “00E730553782” na QR code), nimefanya uchunguzi wa kina kwa kutafuta vyanzo vya mtandaoni, kuhusu uthibitishaji wake na uunganisho na madai ya Mange Kimambi. Uchunguzi huu unategemea mfumo wa Electronic Fiscal Device (EFD) wa Tanzania Revenue Authority (TRA), ambapo risiti kama hii zinahitaji kuwa na QR code au verification code ili kuthibitishwa. Hapa ni muhtasari wa yale nilayopata, na hatua za kuthibitisha.

1. Uthibitishaji wa Bar Code (QR Code) na Verification Code

  • Mchakato wa Kuthibitisha: Kulingana na mfumo wa TRA, risiti za EFD zinahakikishwa kupitia QR code au verification code (k.m. “00E730553782” kwenye risiti yako). Hii inafanyika ili kuthibitisha uhalali wa risiti, hasa kwa madai ya input tax credit au kuzuia udanganyifu.
    • Hatua 1: Tumia app rasmi ya TRA (kupatikana kwenye Google Play: “TRA Official App”). App hii inaruhusu scanning ya QR code moja kwa moja kutoka risiti, au kuingiza verification code kwa mkono. Inathibitisha TIN (109342908), VRN (40014680H), na maelezo mengine kama serial number (0372840302946) na tarehe (07-06-2021).
    • Hatua 2: Ikiwa huna app, nenda kwenye portal ya TRA: EFD | Receipt Verification. Hapa unaweza kuingiza verification code au upload picha ya QR code ili kuangalia ikiwa risiti ni halali na imesajiliwa kwenye EFDMS (Electronic Fiscal Data Management System).
    • Matokeo ya Uchunguzi Wangu: Nilijaribu kutafuta maelezo maalum kuhusu code hii (00E730553782) kwenye utafutaji wa mtandaoni na X (Twitter), lakini hakuna matokeo ya moja kwa moja yanayothibitisha au kukanusha uhalali wake. Hii inaweza kuwa kwa sababu:
      • Portal ya TRA inahitaji kuingiza code moja kwa moja (si utafutaji wa umma), na hakuna database ya umma inayofichua maelezo ya risiti.
      • Code hii inaweza kuwa ya zamani (2021), na mfumo wa TRA unabadilika (k.m. upgrade ya Protocol 2.1 mnamo 2021 ili kuongeza QR codes).
    • Ushauri: Jaribu ku-scan QR code kutoka picha yako kwenye app ya TRA au portal ili kupata uthibitisho rasmi. Ikiwa inafanikiwa, itaonyesha maelezo kama kampuni, kiasi (Sh 2,400,000,000), na kodi (Sh 366,101,694.92). Ikiwa haifanyi, inaweza kuwa risiti ni ya kufungwa au kubadilishwa.

2. Uthibitishaji wa Kampuni: ABC Ceramics Tanzania

  • ABC Ceramics Tanzania ni kampuni halali inayofanya biashara ya ceramics, tiles, na nyenzo za ujenzi nchini Tanzania. Inapatikana:
    • Ofisi kuu: Bagamoyo Road, Dar es Salaam (karibu na Vodacom head office).
    • Facebook: @abcceramicstanzania (wana wasifu halali na maudhui ya biashara, k.m. mauzo ya tiles na sanitary ware).
    • Tarehe: Kampuni hii ilianzishwa kama sehemu ya ABC Group (kutoka India mnamo 1988), na ina shughuli nchini Tanzania tangu miaka ya 2010s.
    • TIN 109342908 inaonekana kuwa halali kulingana na maelezo ya TRA, lakini hakuna ripoti rasmi za madai ya ufisadi inayohusisha kampuni hii moja kwa moja. Biashara yao inaonyesha mauzo makubwa, hivyo malipo kama Sh 2.4 bilioni inaweza kuwa ya mradi mkubwa wa ujenzi.
  • Hakuna madai maalum ya ufisadi dhidi ya ABC Ceramics katika ripoti za umma; inaonekana kama mfanyabiashara wa kawaida.

3. Uunganisho na Madai ya Mange Kimambi

  • Katika mada ya JamiiForums na machapisho ya Mange kwenye X (tarehe Novemba 2023 na baadaye), Mange anadai risiti hii (pamoja na QR code) ni ushahidi wa ufisadi wa Abdul Joyo (mtoto wa Rais Samia), akisema malipo haya ni ya “hardware” (nyenzo za ujenzi) na yanahusishwa na mikataba ya serikali. Anasema bar code inaweza kuscan ili kuthibitisha, na anaitumia kutoa onyo dhidi ya “familia ya rais.”
  • Hata hivyo, uchunguzi wangu haujapata uthibitisho rasmi wa madai haya:
    • Hakuna ripoti za TRA au mahakama zinazothibitisha uhusiano wa Abdul na risiti hii.
    • Mjadala kwenye X na JamiiForums unabaki wa kisiasa: Wengine wanasema ni propaganda, wakati wengine wanasupport kwa sababu ya ukubwa wa kiasi (bilioni 2.4, sawa na bajeti ya mradi mkubwa).
    • Tarehe ya risiti (07-06-2021) inafanana na mwanzo wa utawala wa Samia, hivyo inachangia shaka, lakini bila uchunguzi wa TRA, ni madai tu.

Hitimisho na Mapendekezo

Risiti inaonekana kuwa halali kwa muundo (ina maelezo ya EFD na QR code), na ABC Ceramics ni kampuni halali, lakini uhalali wake kamili unahitaji kuthibitishwa moja kwa moja kupitia TRA app au portal. Madai ya Mange yanabaki bila uthibitisho rasmi hadi Septemba 2025, na yanahamasisha mijadala ya kisiasa. Ikiwa unaweza kushiriki is Is this true @Grok….picha ya QR code yenye resolution nzuri au matokeo ya scan, nitaweza kufanya uchunguzi zaidi. Au, wasiliana na TRA moja kwa moja (tel: +255 22 2116453) kwa uchunguzi rasmi. Kumbuka, uchunguzi huu si nasaha ya kisheria—tumia mamlaka rasmi!

Too late, mnatetea ufisadi.
 
verification unafanya muda huu, post ilivyotolewa kuna watu walifanikiwa kuscan na kuleta taarifa, I doubt kama hawaja ondoa hizo taarifa kwenye mfumo baada ya hiyo taarifa kuingia mitandaoni.

We unafikiri kwa taarifa hiyo, kitu cha kwanza ungefanya nini? Ni kuwasiliana na TRA kuondoa hiyo taarifa.

Endelea kuwatetea, watu wanaiba baadhi ya watanzania wanawatetea, so sad.

Wamechelewa, ujambazi wao umeanikwa wazi.
 
Kuna kitu kimoja wasioelewa haya mashirika ya kimataifa huwa wanajidanganya na kudanganya sana watu.

Mashirika kama UN agencies zake kama UNhcr. Unep. Undp. Wfp. Na mengine ya aina hiyo kama World Bank. IMf. Afdb. Asian Dev Bank. Badea.

Huwa yana scale za mishahara mikubwa lakini sio mikubwa ya kutisha ila yanatoaga mikopo kwa wafanyakazi wao kwa riba ndogo sana. Watoto zamani walikuwa wanalipiwa elimu mpaka chuo ila siku hizi na mzazi anachangia Ada. Ndio maana unaona kina prof ludigo wamesoma marekani vyuo vya kueleweka. Kina jacob chuwa wamesoma Uk vyuo vinavyoeleweka. Kina Mukurasi. Kina Jeanluc kaberuka wamesomesha UCLA.

Kwenye ajira mashirika haya yanaajiri best brains tena masters leve yenye distinction.
Na ukiajiria mfano Wfp lazima watu wa worldbank Tanzania mfahamiane. Ila kwa hili la Mkuu kuajiriwa huko halina ukweli ila alipoajiriwa mradi wa hiyo NGO ulikuwa unafadhiliwa na Wfp

Siku hizi wanapenda kuajiri watu wasomi na watafiti ambao wamehudumu nao kama consultants. Kwa hiyo wewe na ki Astashahada chako huwezi ku qualify kuwa consultancy wa Unfpa.
Mkuu unamfahamu Veronica Sigalla au Joyce Gondwe ?
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Kwa hii Elimu yake ya form 4 division O
Ongela yake
 
Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant.

Sipo hapa kumtetea ila tunataka awe accused kwa vitu vya ukweli. Hii imetengenezwa.
Tumefika pabaya. Hata kama unamchukia mtu siyo kwa jinsi hii ya kuengeneza risiti fake kama ni kweli. Halafu hayo malipo ni mengi sana kwa kununua tiles unless wewe ni mfanya bihashara. Unanunua na kwenda kuuza kwenye landlocked countries.
 
Sasa hivi wameitoa kwenye mfumo lakini kabla hawajaitoa hivyo ndivyo ukweli ulivyokuwa.
Kuiba is one thing but covering up is completely different level.
 
Tumefika pabaya. Hata kama unamchukia mtu siyo kwa jinsi hii ya kuengeneza risiti fake kama ni kweli. Halafu hayo malipo ni mengi sana kwa kununua tiles unless wewe ni mfanya bihashara. Unanunua na kwenda kuuza kwenye landlocked countries.
Hiyo risiti ni original sio fake, wewe unaona fake kwasababu umeiangalia leo imeshatolewa kwenye mfumo, ungekua unapata taarifa kwa wakati ungeangalia jana usiku, leo tra wameshaitoa kwenye mfumo
 
Hiyo risiti ni original sio fake, wewe unaona fake kwasababu umeiangalia leo imeshatolewa kwenye mfumo, ungekua unapata taarifa kwa wakati ungeangalia jana usiku, leo tra wameshaitoa kwenye mfumo
TRA nao ni janga kubwa la taifa, kipindi kile watekaji 'wasiojulika' walipodhibitiwa ikadaiwa ni TRA walikuwa kwenye operation zao za kawaida ilhali wale mazuzu walikuwa wanajulikana kabisa kuwa ni polisi.
TRA wakakaa kimya wakaufyata.
 
Sio TRA tuu kote kumeshakamatwa, POLISI,JWTZ,MAHAKAMA na kila taasisi ya serikali
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Mkuu kwani unapata faida gani kutetea ujinga? Hivi huoni ni Jambo zuri kujitegemea kiakili kuliko kutegemea akili ya mtu mwingine ifanye maamuzi ya akili yako Kuna Mambo ambayo yanahusu Taifa nivizuri mkatoa ushabiki wenu wa vyama
 
Sio TRA tuu kote kumeshakamatwa, POLISI,JWTZ,MAHAKAMA na kila taasisi ya serikali
Tanganyika kwisha kabisa, ajuza huyo na mwanae wanaipelekesha Tanganyika nginjanginja na jambo la aibu ni wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwani yote haya wanayatambua japo najua tatizo la kutokuaminiana among them linakwamisha mambo. Kila wakikumbuka usaliti wa Mabeyo wanajua kwamba wengi patriotism ni zero mpango ni kila mtu kuangalia tumbo lake.
 
Back
Top Bottom