Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

Nikija kuwa Rais, sitoruhusu haya kwa mimi mwenyewe, mke wangu na hata wanangu..ngoja niamke nikaoge!
 
Mkuu kwani unapata faida gani kutetea ujinga? Hivi huoni ni Jambo zuri kujitegemea kiakili kuliko kutegemea akili ya mtu mwingine ifanye maamuzi ya akili yako Kuna Mambo ambayo yanahusu Taifa nivizuri mkatoa ushabiki wenu wa vyama
Kumbe na wewe huwa unawashangaa kama mimi, binafsi mimi mpaka sasa nashindwa kuelewa kabisa hawa machawa wana akili gani kuendelea kutetea ufisadi wa wazi wazi kiasi hiki? Hivi hawaoni hata aibu?

Kwa haya mabilion yanayoibiwa wao hawajiskii vibaya wala uchungu hata kidogo kuona taifa likiteketezwa na watu wachache?

Naamini kabisa kma wananufaika na ufisadi huu basi ni kwa kiasi kidogo sana.
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
sasa hii pimbi mlevi inajaribu kusema nini?
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
sasa hii pimbi mlevi inajaribu kusema nini?
 
Huu uzi comment namba 81
 
Huu uzi comment namba 81
 
Sikusema nilijibu swali. Elewa tofauti.

Nisingekujibu napo ungesema Kiranga anakwepa maswali.

Na pia nilikwambia "that doesn't mean much".

Wakati nyie mnafikiria hayo ma division mimi nilikuwa nasoma Big Bang Theory, cosmogony, depletion of the ozone layer by Chlorofluorocarbons, antibacterial resistance, Artificial Intelligence, computer chess, na kumtazama Peter Jennings ABC.

Miaka hiyo ya 1990s.

Hayo huwezi kuyajua kwa mitaala yenu ya division 1.

That's the difference between me and you.

Hujajibu bado rais wako Samia alipata division gani form 4 na form 6 kama kweli unafuatilia sana haya mambo?
Wewe unajisifu bure ila uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana. Level yake ni kwenye midahalo ya form 3 shule za kata.
 
TRA nao ni janga kubwa la taifa, kipindi kile watekaji 'wasiojulika' walipodhibitiwa ikadaiwa ni TRA walikuwa kwenye operation zao za kawaida ilhali wale mazuzu walikuwa wanajulikana kabisa kuwa ni polisi.
TRA wakakaa kimya wakaufyata.
Imagine taasisi muhimu kama TRA inatumika kukamilisha mission za kihuni kinyume na sheria kwa ajili ya maslahi ya watawala?

Leo hii tunashuudia TRA inafuta kumbu kumbu za mihamala kwenye kanzi data kwa ajili tu ya kuficha ufisadi unaofanywa na mtoto wa raisi?? Daaah....nimeumia sana kwakweli.

Haya hiyo TRA leo imepita huku mitaani kwetu eti inatukumbusha wanainchi tukalipe kodi ya robo inayoisha mwezi huu, hadi nimetamani niliponde gari lao mawe kwakweli.

Hivi kwa haya yanayoendelea nchini kuna haja gani ya sisi raia kuendelea kulipa kodi?
 
Wewe unajisifu bure ila uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana. Level yake ni kwenye midahalo ya form 3 shule za kata.
Hii ni ad hominem fallacy.

Pia ni non sequitur fallacy.

Na pia ni inferiority complex.

Mimi nikielezea maisha yangu nilivyoishi, ninavyoishi, tena sehemu tu deals zangu kubwa nisiziweke hapa kwa kutotaka kuonekana natamba, kikawaida tu, kama fact, kama kuleta my unique story tu, wewe tayari utaona nishajisifu.

Mimi sihitaji kujisifu, sihitaji validation yako, sina status anxiety zenu za kibongobongo.

Ila, kama hunielewi, nikianza kuelezea maisha yangu tu, kikawaida tu, factually, wewe mtu mwenye inferiority complex utaona najisifu.

Kwa sababu ya inferiority complex yako.

I am not responsible for your inferiority complex.
 
Wewe mpuuzi kumbuka Abdul ni mfanyabiashara mkubwa Kkoo
Sasa kama ni mfanya biashara mkubwa na hizo hela alizofanya manunuzi hapo ni hela zale za halali, kwanini TRA baada ya taarifa hizi kusambaa wakaamua kufuta kumbu kumbu zote zinazohusu muhamala huu kwenye data base yao?

Kwanin kuwepo na wasi wasi mkubwa hivyo mpaka kufuta taarifa za mihamala tena ndani ya muda mfupi sana!?

Nna uhakika leo hii kumbu kumbu za mihamala ya mabilion ya watu kama Mo au Bakheresa pale TRA ukienda unazikuta na wala hawawezi kuzifuta kwa sababu inahusisha pesa halali, sasa kwanin ya huyu Prince dully leo hii ifutwe na wakati ni mfanyabiashara mkubwa tu nchi hii?
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Hivi uchawa unakufanya hlunashindwa kufikiri tu au na kuona pia unakuwa kipofu
 
Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
UN kwa elimu ya form four mbona pasingekuwa na boda boda mtaani wote wangekuwa UN
 
Na video zote zile watu walizofanya verification bado hujaona ?

Kuitetea serikali ya huyu mama yenu ni kazi kubwa kama kumpa mtoto wa shule ya awali hesabu za integration!

Nchi ilipofika inahitaji total overhaul.

Mfano katika pitapita zangu kule mtandao wa X nimekuta account rasmi ya TRA Tanzania iko private sasa je inakuwaje account ya umma inakuwa private?

Nyinyi TRA Tanzania mtueleze humo mnaficha nini au hiyo ni account binafsi mtu anapost michepuko na vimada wake hataki tuone ?

Hebu jione maajabu hapo kutoka account hiyo tweets ziko protected na ni account ya taasisi ya umma na ukienda kwa tanpol wao wamefunga comments na bado wanapost taarifa sasa wanapost kwa akina nani na hawataki maoni hivi hawajui communucation ni two way traffic, kwamba kuna sender na receiver wa message na pia kuna feedback hawa watu basics za communication skills hawakusoma na wanatafuna pesa za walipa kodi??

Mimi nikachoshingaza tu ni kuona jinsi vile hawa machawa walivyokuwa na moyo wa kutetea ufisadi wa dizaini hii, haloo yapo mambo ya kutetea kuhusu utawala wa samia lakini sio hui ufisadi wa kufuru anaoufanya na mwanaye...

Hivi hawa watetezi wao wenyewe tu roho haziwaumi kuona watu wanaotetea wanakwapua mabilion wakati huo wenyewe maisha yao yakiedelea kuwa magumu?

Yaani unakuta mtu ana mwaka mzima hajawahi kuishika hata milion kumi mkononi, ila yuko hapa eti ameshupaza shingo anatetea ufisadi wa mabilion tena kwa hoja mufilisi kabisa eti hoo mama ake alifanya kazi UN .. like serious?

Na kuhusu TRA kitendo cha kufuta kumbu kumbu zote za huo muhamala kwenye kanzi data imeonekana ni taasisi ya ovyo sana ambayo kazi yake ni kupora kodi zetu na kupeleka kwenye mfuko wa Abdul...

..yaan kilichofanyika leo ni TRA kumlinda mwizi Abdul dhidi ya Watanzania, yaan kwa maana nyingine TRA ni chombo cha Abdul kujikusanyia pesa ndio maana anaimarisha anavyotaka tu.

Sasa mimi kama mtanzania nina sababu gani ya kuendelea kulipa kodi ilihali najua inaenda kwenye mfuko binafsi wa mtu?

Sioni sababu ya mimi kuendelea kulipa kodi.
 
Sa we umeisoma bibilia yako vizuri inasema hakuna aliye muona Mungu wala kusikia sauti yake, sa we vipi useme Yesu ni Mungu. Wangapi walimuona Yesu nikiwambia ukristo ni ukenge mnabisha.

Yohana 1:18 (NEN)
18Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote
Hahaha 🤣😂

hydroxo
 
Nchi yangu ilipofila serikali yake imekuwa ngumu kuitetea yani ata kuifichia aibu huwezi asee
 
Back
Top Bottom