ufugaji wa kuku

  1. J

    Dawa gani inafaa hawa kuku wa mayai?

    Nina kuku wa mayai zaidii ya 800+.. lakini Kwa Sasa wanashambuliwa na ugonjwaa wakuharaa kinyesi cha njano na cheupee nimetumia dawa za kutosha, ushaurii kutoka Kwa wataalamu lakin wapii sijaona mabadili. Nimekuja hapa jukwaani naomba msaada Kwa yeyote mwenye njia nyingne mbadalaa namaansha...
  2. Mshana Jr

    Ufugaji wa Samaki au Ufugaji wa Kuku: Nini Kina faida Zaidi?

    Kuchagua kati ya ufugaji wa samaki na ufugaji wa kuku inaweza kuwa ngumu kwa sababu zote zina uwezo wa kuwa na faida kubwa. Lakini unaamuaje? Huu hapa ni muhtasari wa haraka wa kukusaidia: Ufugaji wa kuku: Faida: Ukuaji wa haraka (broilers ni tayari katika wiki 5-6), mahitaji makubwa ya nyama...
  3. Malaika wa Misukosuko

    Kuku ukiwafuga kwa matumizi ya Nyumbani hawapati shida yoyote ila ukiwageuza tu kuwa Business Project kila kitu hugeuka

    Habarini ndugu, Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila...
  4. M

    Ufugaji wa kuku umerahisishwa siku hizi

    Ushauri kwa wafugaji wenzangu mliopo humu Kuna App ya ufugaji itakusaidia mambo kadhaa. Itakusaidia katika ufugaji wako. 1. kuandaa fomula za vyakula vya kuku kwa kiasi utakacho na kuku wa umri na aina zote 2. Itakupa uwezo wa kupiga hesabu za makadirio ya ulaji wa kuku wako kwa kipindi fulani...
  5. Brigadier Isaac

    Msaada; Naomba kuelekezwa kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Habari za jioni , poleni na mahangaiko ya kutafuta riziki Kama kichwa Cha habari juu kinavyojieleza hapo juu. Mimi binafsi nilikuwa na Wazo la kuanza kufuga kuku hawa wamayai kwa ajili ya biashara Binafsi mawazo yangu ni kuanza na vifaranga sitini haya ni mawazo tu Sina experience yoyote na...
  6. ramadhan ndonja

    Naomba kupata elimu kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Nahitaji kufuga kuku wa kienyeji lakini nahitaji kujua changamoto ambazo huwa zinajitokeza na namna ya kuziepuka.
  7. Mfugaji123

    Mradi Ufugaji wa Kuku wa Mayai

    Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost) na hivyo kuweza kufaidika na soko kwa kuuza kwa bei shindani na pia kufaidika na economic of scales...
  8. Jr Simeo

    Naomba ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa. Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
  9. MKAMA SIMON

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Habari wakuu naomba mwenye viranga vya kuku wa kienyeji anaeuza tuwasiliane ,niko Mwanza.
  10. U

    Ufugaji wa kuku saso na ufugaji wa nguruwe

    wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani. NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
  11. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Kumekuwa na kasumba juu ya swala Zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji kuonekana kama ni swala lisilowezekana yaani kufuga kuku wa kienyeji mpaka kufikia idadi kubwa yani 1000, 2000 au hata 3000 Baada ya majaribio kadhaa ya kufuga hawa kuku sasa rasmi nmeingia kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji...
  12. thisisboman1

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia ufugaji wenye tija. Mimi nafuga mradi unajiendesha nimezingatia eneo la uwekezaji na namna Bora ya...
  13. P

    Business plan ya ufugaji wa kuku

    1. KUKU WA KISASA WA MAYAI 2. KUKU WA NYAMA 3. KUKU WA KIENYEJI Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka taarifa zote za fedha. Unaweza kuitumia unapoandaa mchanganuo wako wa kuombea pesa mahali au kuendeshea...
  14. JanguKamaJangu

    Serikali: Hatujapokea taarifa rasmi kuhusu ufugaji hatarishi wa kuku Broila

    Serikali imethibitisha kutopokea taarifa rasmi ya utafiti unaoonesha wafugaji wa kuku wanatumia dawa za antibayotiki na hivyo kiasi kikubwa cha dawa hizo kuonekana kwenye maini, kisha kuwa na madhara kwa watumiaji wa kitoweo hicho kwa kusababisha usugu wa vimelea vya dawa. Waziri wa Mifugo na...
  15. A

    SoC02 Jiajiri kupitia ufugaji wa kuku

    Kuku ni moja ya ndege wanaopatikana kwa idadi kubwa sana hapa nchini kwetu na hata duniani kote kwa ujumla,watu wengi wamekua wakifuga kuku kwa mazoea na sio kama biashara,hii imepelekea watu wengi kutokuona tija na faida katika ufugaji wa kuku.kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuku...
  16. Rupia Marko D

    Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Je kuchanganya kuku na bata pamoja kuna madhara gani katika ufugaji
  17. Rupia Marko D

    Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Suruhisho la kuku anayedonoa vifaranga na kuviua kabisa
  18. D

    Natamani Sana kuanza ufugaji wa kuku kibiashara lakini bado sijaamua nifuge aina gani ya kuku kati ya broiler na chotara

    Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa. Taarifa ninazoomba mnisaidie kushea ni tofauti ya ulaji wa broiler na Chotara, mtaji kiasi gani Kwa broiler au Chotara na...
  19. P

    Natafuta eneo lililo karibu na mjini la kufugia kuku wa nyama, niko mkoani Morogoro

    Ndugu wana JF, Naomba ushirikiano wenu, natafuta nyumba ya kuishi ambayo naweza kutumia ktk biashara ya ufugaji kuku wa nyama, mimi Nimefika mkoani hapa ni mgeni kidogo, kwa sasa nimefika mtaa wa pamba karibu na hospitali ya mkoa.
  20. hata mimi

    Wafugaji wa kuku wa kienyeji tukutane hapa

    Tujadili kuhusu kuku wa kienyeji -Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga? -Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
Back
Top Bottom