Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua kila siku.Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa biashara yenye faida kubwa kwako kwa kuwa yanahitajika kwa wingi. Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka...
KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali.
Mifumo ya ufugaji kuku ambayo...
Anahitajika mtaalamu wa kilimo na mifugo mwenye elimu ya kuanzia ngazi ya stashahada mwenye ujuzi na uzoefu kwenye tasnia ya ufugaji wa kuku wa nyama wa kisasa.
Eneo la Mradi: Kazimzumbwi - Kisarawe (Pwani)
Anatafutwa mtu mwenye sifa:-
Mwenye ujuzi na uzoefu wa kusimamia na mradi wa ugugaji wa...
Ni jioni tulivu ,jumapili ya tarehe 14/7/2021 ni siku niliyoamua kwenda kumtembelea mjasiliamali anayejihusisha na ufugaji wa kuku wa kisasa , ilikuwa safari nzuri sana toka maeneo ya iringa mjini hadi iringa vijijini, kwa mfugaji na mjasiliamali huyu maarufu kama mzee mwenda ,
Ilikuwa ni...
HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER)
Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama mfugaji ni vyema ukajua ya kwamba wiki mbili za mwanzo katika uleaji wa kuku wa nyama ni muhimu...
Wakuu Kwema?
Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama za kuwafuga hawa Kuku 100.
Sababu ndio kwanza anaanza ningeomba Mchanganuo huo uwe katika mtiririko...
@farmersdesk_tanzania
KABLA UJANZA KUFUGA KUKU TAMBUA MBEGU BORA YA KUFUGA🐓
MBEGU BORA YA KUKU
KABLA hujaanzisha mradi wa ufugaji kuku, ni lazima utafute aina ya mbegu bora itakayo kuongezea kipato.
Kumbuka kuna aina nyingi za kuku na ni aina zuri zote. Ila kila mfugaji huwa na malengo sasa hayo...
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuweka ndoto za mafanikio kwenye swala zima la ufugaji kuku, swala ambalo watu wengi wanakosea kuingia kwenye ufugaji bila tathmini za kina HASA juu ya gharama na changamoto za ufugaji huo. Mara nyingi huwa tunaingia na mawazo...
Mwaka huu(2020) mwanzon niliamua kuanza ufugaji wa kuku chotara. Niliamua kuanza na kuku 120. Nlinunua vifaranga wa mwez mmoja
Changamoto
Magonjwa, hii ilkuwa changamoto ndogo magonjwa hayakuwa meng. Niliweza kuyatibu kwa wakati Ukuaji, niliambiwa wataanza kutaga wakifikisha miez minne.. lakn...
Habari zenu,
Naombeni msaada ,Ni njia gani za kufanya ili niweze kufuga KANGA kwenye banda la kuku ??
Na nitarajie changamoto gani na ninazikabili vipi ??
Wadau karibuni kwa majibu.....
Hey JF Members.
Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda vya chipss. Yeyote mwenye idea naomba msaada please!
BAADHI YA MASWALI NA MAHITAJI YA WADAU...
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc.
By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila natarajia kuongeza kuku within a week, projections ni kuwa na kuku 1,000, hapo ndio nianze kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.