Siku moja baada ya kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Igunga, Fatma Omary na watu wengine wawili kwa ajali ya gari, tayari eneo la Inyala mkoani Mbeya sehemu hiyo imeanza kutafutiwa ufumbuzi.
Leo Alhamis, Septemba 15, 2022, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Juma Homera amezindua barabara...