Jumamosi nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kutembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana.
Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata...
Maendeleo ya taifa la Tanzania unategemea rasilimali pamoja na namna rasilimali zitakavyo simamiwa.Miaka ya hivi karibuni idadi kubwa ya vijana wanehitimu na wanaendelea kuhitimu katika shule za msingi na sekondari,vyuo na vyuo vikuu ndani na nje ya nchi. Ni jambo la kujivunia kutokomeza adui...
Kupanda kwa bei ya dhahabu, tanzanite na vyote made in Tanzania hakujawahi kuakisiwa popote positively katika nchi hii.
Kote upigaji ndiyo ulio kipaumbele.
Serikali kupitia LATRA ilitangaza bei mpya za nauli kwa kuzingatia diesel @ 2,800/- wakiyataka mabasi kutokutumia nauli hizo kabla ya 14...
Ninapata shida kidogo kuhusu kauli ya Prof Mkenda.
Wanaofaulu somo la Hisabati wanaajiriwa wapi?
Somo la hisabati linawasaidia nini wansfaulu kama wanashindwa kujiajiri na kuajiriwa?
Prof Mkenda, kwa ufahamu wako mkubwa tambua kuwa walimu wanao fundisha somo la Hisabati Form four walifeli...
Nina tatizo la waandishi wa habari wa Tanzania - huwa hawajui kufuatilia mambo, na mara nyingi wanaishi kwa ajii ya siku iliyopo tu.
Kuna wakati kurugenzi ya Habari ilitangaza kwamba Chancellor wa Germany Angela Melkel kaongea na Magufuli kujenga kiwanda cha mbolea mwaka 2022. Hakuna...
Bei ya mafuta ya petrol kupanda hadi kuvunja rekodi ya tangu tupate uhuru, leo hii kwa Dar ni sh 2510 kwa lita.
Mgao wa umeme
Mgao wa maji
Kipanda kwa vifaa vya ujenzi
Gharama za maisha Kupanda maladufu eg, sabuni, mafuta ya kula nk
Maisha magumu
Mgogoro wa kisiasa hasa swala la Mbowe na Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.