ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama nia ni kupambana na ugaidi, kwanini watuhumiwa wa Uamsho wako nje kisha anashikiliwa Mbowe?

    Jana Samia Suluhu ambaye nadhani ndie Rais wa Tanzania japo hakidhi vigezo vya kuwa Rais wa nchi yoyote ile alisema kuwa kwasasa dunia inakabiliwa na tatizo jipya la ugaidi. Yeye kwa maoni yake ugaidi ni tatizo jipya. Kama kweli ameweka nia ya kupambana na magaidi ni kwanini watuhumiwa wa...
  2. Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

    Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
  3. Kesi ya ugaidi wa Mbowe: Uamuzi wa Jaji wa pingamizi la upande wa utetezi kesho unaweza kuja na haya....

    Leo kumejitokeza utata mwingine tena mahakamani kwa shahidi No. 8 wa Jamhuri Askari Polisi aitwaye Jumanne. Kwamba, alipowakamata watuhumiwa na kuwapekua aka - seize [akachukua] mali za watuhumiwa kinyume cha sheria inayoongoza tendo hilo. Sasa upande wa utetezi ume - OBJECT tendo hilo na...
  4. K

    Kupasua Chungu na kufunga kwaajili ya kesi ya Ugaidi ya Mbowe kuna madhara kwa wasiotenda haki na vizazi vyao?

    Kuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine. Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila...
  5. Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ======= Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
  6. Wanaodhani ni Tigo tu wanajidanganya, lakini hata wanaotuchungulia nao wanachunguliwa

    Asalam-aleikhum Wana-JF! Niko kwenye mada tayari. Yule wakili wa TIGO ktk kesi ya Mbowe na wenzake jana tarehe 02/11/2021 amefunua uvundo (a can of worms) katika kampuni za simu na TCRA kwa upande mmoja na kwenye vyombo vya Dola na Serikali yenyewe kwa kiwango kinachotia wasiwasi. Kwa bahati...
  7. Q

    Kesi ya Mbowe: Hadi sasa sijaona ushahidi wowote unaoonesha kulikuwa na ugaidi

    Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lakini kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi. Shahidi badala ya kuthibitisha uhusiano wa silaha iliyokamatwa na mtuhumiwa anakuja kutuambia silaha zilizokamatwa ni nzima kwani silaha kuwa...
  8. IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano...
  9. Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

    Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine. Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 29/10/2021 UPDATES Mpaka sasa...
  10. Ilikuaje Power Kaaya kuhukumiwa haraka kwa kesi ya ugaidi?

    Hivi ilikuaje Power Kaaya aliyemaliza kutoa ushahidi leo mahakamani yeye na mwenzake walikamatwa haraka, wakashtakiwa haraka na kisha kuhukumiwa haraka kwa kesi ya Ugaidi bila kuunganishwa na Wenzake hawa kina Mbowe na Walinzi wake? Kwani kwa ushahidi huu aliotoa mbona hakuna utofauti wa kesi...
  11. Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

    Tayari baadhi ya Wadau wa Maendeleo, akiwemo Mwakilishi wa Ubalozi wa Canada wamewasili Mahakamani. Hadi saa 3:30 asubuhi hii Watuhumiwa walikuwa bado hawajaletwa Mahakamani. ==== Hatimaye Mbowe na wenzake wameletwa Mahakamani Jaji Joachim Tiganga ameingia Mahakamani Wakili wa serikali...
  12. Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake Watatu kuendelea tena tarehe 26/10/2021

    Hii ndio Taarifa mpya niliyoipata kutoka kwenye ofisi moja ya Ubalozi Jijini Dar es Salaam, nilipoenda kwa masuala ya kibiashara , Kwamba Yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Mtemi Isike , Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyojulikana huko Zanzibar , kesho atafikishwa kwenye Mahakama...
  13. M

    Sheikh Ponda afikisha ujumbe wa watuhumiwa wa Ugaidi 187 kwa Rais Samia

    “Mhe. Rais Watuhumiwa wa Ugaidi tunanyimwa Haki. Ukonga, Segerea tupo 187. Tumewekwa jela toka 2013. Mhe. jela miaka 8 ni kuadhibiwa bila ya kuthibitika kosa. Wewe kama mkuu wa nchi tunaomba ushauri wako tufanye nini ili tutendewe Haki?” Ujumbe huu nimepewa leo Ukonga na Segerea.
  14. Mwenendo wa matukio ya ugaidi, upinzani na vyombo vya ulinzi Tanzania

    Sina tafsiri halisi ya GAIDI ya Tanzania ila TERRORISM /noun the killing of ordinary people for political purposes. UGAIDI/jina[nomino] ni kuua watu wasio na hata kwa mlengo wa Kinshasa. MAANA YA HATIA Hatia ni ile hali ya kuvunja sheria au kuwa na kosa kisheria. MAANA YA BILA...
  15. Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

    Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Uamuzi huo ambao utatolewa na Jaji Mustapha Siyani (Jaji Kiongozi...
  16. Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi

    Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi, kwa bahati mbaya mshika manati ndiyo anapoteza zaidi. Nakumbuka miaka ya 2000 kuja 2005 ilikuwa ukipita mitaani chama kilichokuwa kwenye headlines ni CCM. Ndicho chama kilichokuwa kinatrend sana...
  17. W

    Historia ya Ugaidi Duniani

    Neno "gaidi", lilitumika kwa mara ya kwanza mnamo 1794 na mwanafalsafa Mfaransa François-Noël Babeuf, ambaye anaushutumu utawala wa Jacobin wa Maximilien Robespierre kama udikteta. Kabla ya Mapinduzi ya Ufaransa, wanafalsafa wa kale waliandika juu ya udhalimu, kwani dhuluma ilionekana kama...
  18. CHADEMA yaanzisha Harambee ya kuchangia familia za walioshitakiwa kwa ugaidi

    Taarifa ya sasa inaeleza kwamba Chadema kupitia BAWACHA inawaomba wananchi wote kuchangia Familia za Makomandoo Adamoo na wenzake, walioshitakiwa kwa tuhuma za ugaidi, ambao inadawa ulifadhiliwa na mshitakiwa mwenzao Freeman Mbowe kwa kitita cha Tsh Laki 6. Tayari mchakato wa kampeni hiyo...
  19. W

    Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni mwa karne ya 18.

    Ugaidi, kwa maana yake pana ni matumizi haramu ya vurugu za kimakusudi kufikia malengo ya kisiasa, haswa dhidi ya raia serikali iliyopo madarakani. Mbinu hii ya ugaidi Inatumika haswa kuleta vurugu wakati wa amani. Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni...
  20. Je, ugaidi anaotuhumiwa nao Mbowe ni ugaidi wa serikali?

    Je Ugaidi anaotuhumiwa nao mh Mbowe ni ugaidi wa serikali? Najaribu kutafakari kimyakimya kwa maandishi kuhusu mashataka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe. Nimejaribu kupitia rekodi mbalimbali za Mbowe tokea akiwa mwenyekiti wa vijana (BAVICHA) taifa, mpaka anakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…