ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    Kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake kuanza kusikilizwa Ijumaa na Jaji Mustapha Siyani

    Kesi Na.16/2021, Makosa ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake inayomkabili mwenyekiti @freemanmbowetz na wenzake 3, itaanza kusikilizwa Ijumaa ya wiki hii, katika Mahakama Kuu, Division ya Uhujumu Uchumi na Rushwa. Kesi hiyo, itasikilizwa na Jaji Mustapha Siyani.
  2. The Palm Tree

    Ufafanuzi wa kisheria watolewa kufuatia kujiondoa kwa Jaji Elinaza Luvanda kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi wa Freeman Mbowe na wenzake..

    Kufuatia kujitoa kwa Jaji Elinaza Luvanda anayesikiliza shauri linalowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake watatu katika kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi iliyoko mahakamu kuu DSM, baada ya mshitakiwa namba 3 Freeman Mbowe kuonesha "kutokuwa na imani" naye, wengi...
  3. Lituye

    Polisi na Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini hamkichukulii hatua CCM? Mnataka wamuue nani zaidi ndio mgundue Ugaidi wa CCM?

    Ni hivi karibuni tu mwanachama gaidi wa CCM bwana Hamza kutokana na ripoti za uchunguzi wa Polisi ameua Askari polisi wetu watatu na mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kujeruhi askari wengine na RAIA wema. Aliyekuwa mwenyekiti wa Vijana wa CCM bwana Kheri James alitamka hadharani kuwa Walimkosa...
  4. LIKUD

    Udhaifu wa hoja kwamba Hamza alitekeleza mauaji kwa sababu alidhulumiwa na polisi

    Kuna watu mitandaoni wanadai ya kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu ya kulipa kisasi baada ya kudhulumiwa madini yenye thamani kubwa siku Chache kabla ya tukio... Kwa wafanya biashara ya madini wanajua kwamba mfanya biashara ya madini anapo enda kuuza madini yenye thamani kubwa iwe...
  5. MAHANJU

    Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Anaandika Dotto Bulendu Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
  6. Ngaliwe

    Kwa hili, Bunge mmeliheshimisha Taifa

    Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa uhuru wa kujieleza kwa kila raia wake bila tashishwi ili mradi tu, uhuru huo hauingilii, kuvunja kutweza na kufanya dhalili haki ya watu wengine kutumia uhuru wao kama ulivyotolewa na katiba yetu. Ibara hiyo inatanabahisha wazi...
  7. Ngaliwe

    Haki iliyocheleweshwa inamuumiza Mbowe

    Wapenzi na mashabiki wa soka, wanajua ikitokea timu imeshinda huku timu pinzani ikicheza kwa kasi na kiu ya kubadili matokeo, delaying tactic hutumiwa na timu inayofaidika na matokeo ya wakati huo, na huwa kawaida mwamuzi hutoa adhabu kwa wanaochelewesha mchezo. Ikitokea wachezaji wa timu iliyo...
  8. M

    Kesi ya Mbowe bado inadaiwa haijafikishwa katika mahakama yenye uwezo wa kusikiliza kesi ya ugaidi

    Mim si Mwanasheria na sijui sharia na siamini kama sheria inaweza kutenda haki hasa hizi sheria za kigeni tulizorithi kutoka kwa wakoloni. Nilishanga malumbano ya jana mahakamani mimi sikuyaelewa ila nilielewa jambo moja tu kuwa kesi ya mwenyekiti wa taifa Mbowe bado haijapelekwa katika mahakama...
  9. Erythrocyte

    Kumekucha: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi kesi ya Ugaidi

    Mawakili wa Freeman Mbowe ambaye ni Mwamba wa siasa za Tanzania, anayeshitakiwa na serikali ya Tanzania kwa makosa ya Ugaidi wa thamani ya hela za madafu shilingi laki 6, Wameiwekea pingamizi kesi hiyo kwa madai kwamba Mahakama ya Uhujumu uchumi na Rushwa, ambako kesi hiyo imepelekwa haina uwezo...
  10. Emanuel Eckson

    Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
  11. M

    Hivi kesi ya Mbowe leo imeishaje pale Mahakama Kuu

    Nimefungua thread nyingi za wana CHADEMA na tangu asubuhi zilikuwa ni taarifa za kuwepo kesi hii. Baada ya hapo nikatarajia thread nyingi kuhusu mahakama ilichosema. Sijaona chochote badala yake kuna taarifa nyingi za vituko na matukio ya yaliyotokea mahakamani. Mara wamekuja mabalozi tele...
  12. M

    Ni nini hasa kinachochunguzwa ktk ugaidi wa juzi?

    Nini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa: 1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule? 2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi? 3. Ni je kuchunguza uwezekano wa ugaidi ule kutokea tena? 4. Ni je kuchunguza ule ugaidi wa mchana...
  13. Duplicate_90

    Jeshi la polisi wanalichukulia poa sana Neno ugaidi.. kwa akili yao finyu hawajui km wanaichafua nchi!

    Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani! Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
  14. Yericko Nyerere

    Tukio la Mauaji Dar, ni Ujambazi, Kisasi au Ugaidi? Tujifunze kitu

    Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio kubwa kimedani na linatulazimisha tuweke kando siasa zetu chafu tukae chini na tutafakari na...
  15. Omusolopogasi

    Kweli aombae hupewa: viongozi wameomba ugaidi, wameupata!

    Bandugu, Wahenga walisema, "Aombae hupewa". Juzi tu viongozi wetu wa juu kabisa waliiombea Tanzania ugaidi kwa kusingizia wapinzani wao wa kisiasa kuwa ni magaidi. Na kuwakamata na kuwasweka jela. Na kweli maneno yana nguvu ya kuumba. Uongo na ufedhuli wao umemuumba gaidi wa kweli. Bahati nzuri...
  16. figganigga

    Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news? Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic. ======== Mtu mmoja ambaye alionekana kufyatua risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam amedhibitiwa na Vyombo vya...
  17. J

    Askofu Dkt. Shoo: Mbowe alikuwa mbunge wangu na nimekuwa naye karibu sijawahi kuona tabia ya ugaidi kwake, nitashangaa sana!

    Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema...
  18. Erythrocyte

    Kwanini Lusubilo Mwakabibi pamoja na kushitakiwa kwa uhujumu uchumi lakini ameachiwa kwa dhamana?

    Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania, kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana. Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za...
  19. Prof Koboko

    Tuache kabisa kuchezea sheria za nchi kukomoana. Ugaidi si jambo dogo

    Wasalaam wanajukwaa, Naweza kudiriki kusema kwamba kuna mahali kama taifa tumeshiba sana tuna la amani na ulivyo na amani tuliyonayo ndiyo maana kikundi kidogo cha watu wachache wasiofikiria mbali hakioni aibu kumbambikia kiongozi mkubwa kesi mbaya ya ugaidi ilimradi tu akose dhamana akae...
  20. The Palm Tree

    Video: Maoni ya Wakili Peter Madeleka baada ya "commital proceeding" ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake

Back
Top Bottom