Serikali ya Sudan imeishutumu Uganda kwa kumkaribisha kiongozi wa kikosi cha wanamgambo cha Rapid Support Forces (RSF), Mohamed Hamdan Dagalo maarufu kama Hemedti, ikisema hatua hiyo ni kinyume cha sheria za kimataifa na ni “kejeli kwa ubinadamu.”
Kupitia wizara yake ya mambo ya nje inayoiunga...