Serikali ya Sudan imeishutumu Uganda kwa kumkaribisha kiongozi wa kikosi cha wanamgambo cha Rapid Support Forces (RSF), Mohamed Hamdan Dagalo maarufu kama Hemedti, ikisema hatua hiyo ni kinyume cha sheria za kimataifa na ni “kejeli kwa ubinadamu.”
Kupitia wizara yake ya mambo ya nje inayoiunga mkono jeshi la taifa, Sudan ilisema Uganda imepuuza wajibu wake wa kimataifa kwa kumpokea Dagalo, ambaye wapiganaji wake wanatuhumiwa kufanya mauaji na ukatili mkubwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea nchini humo.
Rais Museveni alikutana na Dagalo katika makazi yake ya urais mjini Entebbe, akisisitiza umuhimu wa mazungumzo na suluhisho la kisiasa la amani. Museveni, aliyeteuliwa na African Union kuwa mpatanishi kati ya jeshi la Sudan na RSF, alieleza mazungumzo ndiyo njia pekee ya kuleta utulivu wa kudumu.
=========
Sudan's government has denounced Uganda for hosting the leader of the paramilitary Rapid Support Forces (RSF), calling the meeting an "affront to humanity".
Sudan's foreign ministry, aligned with the nation's armed forces, said Uganda had flouted international law by welcoming RSF Commander Mohamed Hamdan Dagalo, whose fighters are accused of committing widespread atrocities throughout the continuing civil war.
On Friday, Ugandan President Yoweri Museveni said he met with Dagalo, also known as Hemedti, at his presidential home in the city of Entebbe.
Museveni, appointed by the African Union to mediate between Sudan's military and the RSF, said he emphasised "a peaceful political solution".
In a statement on Sunday, Sudan's foreign ministry said: "The Sudanese government condemns in the strongest terms the Ugandan government's reception... of rebel leader Mohamed Hamdan Dagalo, commander of the terrorist militia."
The statement denounced the meeting between Degalo and Uganda's president and said it was "an unprecedented move that is an affront to humanity as a whole, before it is an affront to the Sudanese people".
Source: BBC