Hapa sitaki kuamua kama mwekezaji alikuwa na makosa au lah
Lakini Kwa heshima ya mbunge Msukuma kufanya ule uhuni na polisi kukaa kimya ni jambo ambalo sio sahihi
Hawa polisi wetu wamekosa weledi na kuweza kuwakamata wavunja sheria na kuwashitak
Sasa hawa polisi watawakamataje wale...