Alikuwa anakipigania chama kisidhulumiwe.Ni hayo tu kwa leo.
Kupigana hadharani ni kosa la jinai. Amekidhalilisha chama chako. Hiyo ni aibu yako!
Mwajibishe!
😄😃😁😅😆😀SAsa huyo uliemtaja ana integrity gani kuwawaji Isha wenzie?
😭😭😭😭😭Bora hao walipigana na wa kaachana.Samia yeye alituua kabisa kwenye MO29.
Watu wapuuzi kama msukuma ndiyo Samia anawafagilia sana.Ni hayo tu kwa leo.
Kupigana hadharani ni kosa la jinai. Amekidhalilisha chama chako. Hiyo ni aibu yako!
Mwajibishe!
labda sio ndani ya tanzagiza hii! Watamchukulia hatua huyo aliezichapa na mbunge! Well, form four results are out so, i'm going offline kwa muda usiojulikana! I'll be right back!Ni hayo tu kwa leo.
Kupigana hadharani ni kosa la jinai. Amekidhalilisha chama chako. Hiyo ni aibu yako!
Mwajibishe!